Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Sasa we Hap unataka mserereko wew [emoji3][emoji3]Hao 900 najitolea kuwap mahali pa kulala wawili wakiwa wanafukuzia hizo interview zao wawili tu ambao hawajitoshelezi maana gheto hapa tuko wawili aje na pesa ya kula tu pakulala papo