Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

Kweli kuna tatizo la ajira, nafasi 2 zagombaniwa na watu 890+, wote wameitwa Dodoma (Chakula, usafiri, kulala juu ya muombaji) F6 Leavers JIFUNZENI

JPM alivuruga mifumo ya ajira,aliua sekta binafsi, na akazuia serikali isiajiri.
Bado Kuna funza zinamsifu
Wapuuzi kama huyu huwa hawakosekani katika jamii hizi akili fupi sijui tutazitokomeza namna gani!! Lazima tuje na mpango mkakati wa kuzimaliza kabisa kwa usalama na maendeleo ya nchi yetu kumbaf
 
Wewe kwa akili zako mbovu hizo unaambini hao waombaji 7,600 hawana ajira? Then utakuwa hutumii ubongo wako vizuri, hao waote ajira wanazo, wanachotafuta ni ‘greener pasture’ , jaribu kuelewa hii concept kwanza.
Green pasture ya ajira ya contract ya mwaka mmoja mmoja?toka hapo nje angalia juu na useme hakika mimi nilipewa kichwa kwa ajili ya kufugia nywele tu.
 
Jambo la kwanza ni mfumo wa elimu ufumuliwe wote mtoto asome mpk la saba baada ya hapo 4m 1 mpk 4 iwe ni vyou vya fani tu alafu wale wataka faulu vizuri wakasome 5&6 hapa ndo tunatakiwa kupika cream.
Ila hao wazazi wa kurithisha watt mali ndo waha wanauza mashamba mpk na makaburi ya babu zetu au?!
Na hao watt unaotaka wsrithishwe mali Ni hawa wanawaza ngono( kucha wanaomba connection) au kuna wengine tutegemee?
Ukipata chance ya kukutana na mmiliki wa bus za machame inv muulize haso alizopitia mpk kufika hapo
Uchumi haijengwi kwa entity moja,kukiwa na fani kwani ndio itawapa pesa ilhali watu hawana pesa?

Pamoja na huo ushauri ni lazima kila sekta ya uchumi ifanye Kazi na ipewe uzito unaostahili,kuanzia michezo,kilimo hadi Uvuvi .
 
VETA, VETA, VETA ziboreshwe, ziwe na Wakufunzi wa kutosha Watoto wapelekwe huko waweze kujiajiri wenyewe.

Elimu kwa njia ya vitendo pekee ndio suluhisho.
Kwani mtaani kuna upungufu wa mafundi? Hizi cheap mind zitawamaliza..

The economy as a whole should be dealt with its complehensity..

Kila mtu akiwa fundi ujenzi,gereji,kushona then what?
 
Sasa ukakute kakijana jobless kakiwa mtandaoni kusifia usajili wa simba na Yanga Utadhani nchi haina shida ya ajira.

Vijana ACHENI ushabiki maandazi pambaneni kujikwamua kiuchumi. Hao unawasifia wanatengeneza hela wewe unazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Labani og demigod @et al
 
Sasa ukakute kakijana jobless kakiwa mtandaoni kusifia usajili wa simba na Yanga Utadhani nchi haina shida ya ajira.

Vijana ACHENI ushabiki maandazi pambaneni kujikwamua kiuchumi. Hao unawasifia wanatengeneza hela wewe unazidi kudidimia kwenye dimbwi la umasikini.

Labani og demigod @et al
Kwa Tanzania kwa hali hii ni lazima kwanza kufumua Sera za uongozi mzima wa CCM na Nchi,vinginevyo utawalaumu vijana bure.

Chukulia mfano kandarasi za miradi ya maji ambayo juzi kati SAMIA alisimamia utiaji saini,zile kandarasi zote Hamna Mtanzania hata mmoja-na zile ndio ajira zenyewe bado kandarasi nyingi za barabara, majengoni ngozi nyeupe-na ndizo ajaira zenyewe.
 
Back
Top Bottom