Kweli kuwaelewa wanawake ni ngumu, wanachanganya sana!

Ni kitendo cha kawaida kwa baadhi ya wanawake, wala usiogope kwani huo ni msisimko mkali ni sawa na badhi ya wanaume waking chupi tuu wanakojoa.
Kurushwa hayo maji kwa mujibu wa jarida la Lancet sio kwamba amefika kileleni, ongeza bidii au tumia Bukavu ya Chugga wa tik tok.
 
😁😁
 
Suala la mwanamke kufika kileleni tunavyosakamwa wanaume utafikiri ni hasara yetu. Mimi nishamaliza haja zangu, mwanamke hajafika, sasa ni shida ya nani hiyo. Wanawake wafanyie kazi tatizo lao.
Hii nayo ni mpya! kwahiyo tufanyieje kazi wakati ni swala la maumbile?
 
-ingia kwenye mahusiano na mwanaume ambaye una hisia nae, sio kuangalia pesa tu
-fanyeni mazoezi ya viungo mishipa iweze kusafirisha damu vizuri mwilini.
-kuleni matunda na vyakula vyenye virutubisho. Sio chipsi na soda tu kila siku.
-weka akili yako kwenye tendo, sio jamaa anapiga in-outs wewe unawaza atakuachia shilingi ngapi wakati wa kuondoka
-zungumza na mwenzako maeneo yanayokupandisha mzuka wakati wa tendo, sio kumwacha tu afanye predictions.

Mnarusha tu lawama kwa mwanaume kama vile nyie hamuwajibiki kwa lolote
 
sawa sawa
 
Back
Top Bottom