Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Unakemea maovu huku wewe mwenyewe unatenda maovu,akili zako ni za hovyo kama huyo Mwanamke.wewe na huyo mwanamke wote ni wauaji.Mmh!!
Nadhani ilinishangaza sana lakini nilijitahidi kuuzuia mdomo wangu......ndio maana nikasema wewe ungeweza....??
Nini maana ya urafiki wenu,mtu kakuheshimu kakukaribisha mpaka kwake lakini wewe ulicho mtendea na unyama.
Na ipo siku jamaa atajua atakuona kavu sana.