Kweli mapenzi ni uchafu. Wewe ungefanyaje?

Kweli mapenzi ni uchafu. Wewe ungefanyaje?

Story kama hii ilitokea kwa kaka yangu kabisa wa damu, alikua kampenda binti ya kimeru, mzuri, shepu shepu, mweupeeeeee alishaanza kutangaza ndoa, sasa kuna jamaa tunafahamiana ni tomboy maarufu tu, mabinti na wanawake wanamshobokea sana na yeye anapita nao hasa wakiwa weupe ndo ugonjwa wake, siku hiyo akanicheki akasema nakuja Kigamboni na mtoto mkali tupeleke beach iliyotulia, nikasema poa, nikiwa pale beach ndo anakuja na mchumba wa kaka yangu, wameshikana mikono kwa raha zao, nikawasalimia kwa uchangamfu lakini binti alipoteza confidence, baadae nikawaaga nimepata dharula nikarudi home nikaona sio kweli acha nimsanue bro, aah kudadadeki yule binti nyokaaaaa kumbe tukiwa pale akamtext bro akamwambia mimi nimemuita kwangu Kigamboni cha ajabu nimemtongoza, amenikataa ila nimemwambia nitamuharibia😬😧 halafu huku kwa mshikaji tomboy akamwambia mimi sijapenda uwepo wake sababu niliwahi kumtongoza miaka ya nyuma akanikataa 🙌

Sitaki kusema ilikuaje ila mimi na bro hatukuongea kwa miaka miwili, yule tomboy tulimalizana kisela hakukua na changamoto kubwa,

MUHIMU: Ukiona mambo hayapo sawa kwenye mahusiano ya watu piga kimya, kaa mbali ipo siku wahusika watagunduana na wewe utabaki salama.
Mm hata shemeji yangu aliwe siwez ongea kwan k yake yangu
 
Mi na mwanangu mmoja ameoa ila mke wake anajitongozesha kwa marafiki wa mume wake dada kama anapepo la ngono kanusurika tu kwa sisi ambao tuna moyo wa kukinai wake za jamaa zetu ila sijui kama amenusurika kwa marafiki wa jamaa wenye tamaa.

Sasa huyo mwanangu anavyo msifia mke wake akiwa mbele yetu huwa moyoni naishia kumuonea huruma tu maana mwanamke anamvua nguo mbele ya marafiki zake bila yeye kujua.
 
Wanawake sio wa kuwamini broo
 
Ni fedheha kubwa kwa kweli.......
 
Walijiharibu wenyewe ndugu kwa kuokotana barabarani.....kama mmoja wao ingekuwa amemuoa nisingekaa nalo rohoni lakini wote ni wazinzi nikaona haina haja
Kwani siyo wewe uliyosema rafiki yako mmoja anajiandaa na kufunga ndoa
 
Back
Top Bottom