KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #41
Hapo nimekulewakama hakuna 'stock out' kwa wapewa huduma hakuna tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nimekulewakama hakuna 'stock out' kwa wapewa huduma hakuna tatizo.
Ulifanya jambo jema kama mwanaumeLeo nimekumbuka kiss hiki cha miaka kadhaa nyuma.....
Nilikuwa na rafiki yangu mpendwa alikuwa na mchumba ambaye ni shemeji yangu ambapo walikuwa mbioni kufunga ndoa.....na maandalizi na harakati za hapa na pale yalishaanza.....
Ni Shem ambaye tulizoeana kwa kuwa mara kadhaa nilikuwa nikifika kwa rafiki yangu nawakuta ingawa walikuwa hawaishi pamoja........
Siku moja na pita pita mitaa ya kariakoo nakutana na rafiki yangu wa siku nyingi tulisoma naye shule ya msingi miaka mingi iliyo pita.....katika harakati za kuchangamkiana tukajikuta tunapanga siku ya kuonana ili tuongee mengi zaidi maana aliniambia anaishi maeneo ya kigamboni.......
Basi weekend moja nikamtaarifu kuwa naenda kumtembelea na yeye alifurahi sana akaniambia kuwa itakuwa vizuri pia umjue Shemeji yako maana na yeye amekuja leo......nikamwambia Sawa.....
Masaa kadhaa nikawa nimefika aliponielekeza nishukie akamtuma kijana kuja kunichukua kuelekea nyumbani kwake.....si haba ilikuwa nyumba ya kisasa......
Wakati tukiendelea na maoengezi ya hapa na pale akamuita Shem aje nimsalimie.....laahaulah!! Ni yule mchumba wa rafiki yangu kule mtaani.....cha ajabu yule mwanamke hakuonesha mshtuko wowote nami nikauchuna kimya.....
Mida ilipotimu nikaaga nikaondoka zangu......Ile picha pale iliniachia maswali mengi sana lakini nikaamua kukaa kimya na kuendelea na maisha yangu......
Mpaka nahama pale mtaani Yule rafiki yangu alikuwa hajafunga ndoa bado na Yule bibie na kule kwa jamaa yangu kigamboni sikuulizia lolote kuhusu yeye na Yule bibie........
DAH!
KWELI KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI........
Unamaanisha wote wanaibiana.....??
Tulia tu mkuu inawezekana hao wote ni michepuko tu.
Lakini ni wachache watakaoelewa mantiki ya kukaa kimyaUlifanya jambo jema kama mwanaume
Labda pengine tafsiri yangu ya uchafu ni tofauti na walio wengi lakini kwangu kwa wapenzi kutoa penzi nje ni zaidi ya uchafuView attachment 3102539bado naangalia sioni uchafu hapo
Inategemeana nikoje na marafiki zangu, na tabia zao siwezi kuona rafiki mwema akiangukia mtu asie sahihi japo kuna kuumbuka vilevile wauane au wasiachane aibu itakuwa kwangu, bora kupiga kimya tu hamna namnaKwa shuhuda kama mimi kuweza kubakia nalo rohoni
aya sawa mr ki nguoni mwakoLabda pengine tafsiri yangu ya uchafu ni tofauti na walio wengi lakini kwangu kwa wapenzi kutoa penzi nje ni zaidi ya uchafu
Mwisho wa siku ionekana wewe ndio mchonganishi unayetaka waachane. Aka! Hata mimi ningekula buyu. Au uambiwe na wewe unamtongoza/ulimtongoza akakukataaHapana mkuu......
Unajua haya mambo ya mahaba yanaonekana mepesi lakini kwenye utekelezaji yanakuwa magumu Sana....
Hakika ubora kukaa kimya maana mapenzi yana siri kubwaInategemeana nikoje na marafiki zangu, na tabia zao siwezi kuona rafiki mwema akiangukia mtu asie sahihi japo kuna kuumbuka vilevile wauane au wasiachane aibu itakuwa kwangu, bora kupiga kimya tu hamna namna
Hakika......Mwisho wa siku ionekana wewe ndio mchonganishi unayetaka waachane. Aka! Hata mimi ningekula buyu. Au uambiwe na wewe unamtongoza/ulimtongoza akakukataa
Unakaa kimya lakini yeye anajishtukia.Hakika ndugu.....ndio maana nikaamua tu kukaa kimya maana dunia hii
Yule mwanamke ni mkavu..... baadae alinifuata akaniomba nimstiri......Unakaa kimya lakini yeye anajishtukia.
Hapana mkuu..... baadae aliniomba nimstiriHao ni mapacha wewe ndio umechanganya madesa
Huyo hashindwi hata kukupa na weweYule mwanamke ni mkavu..... baadae alinifuata akaniomba nimstiri......
Wewe ni mnoko kama wanoko wengine tuLeo nimekumbuka kiss hiki cha miaka kadhaa nyuma.....
Nilikuwa na rafiki yangu mpendwa alikuwa na mchumba ambaye ni shemeji yangu ambapo walikuwa mbioni kufunga ndoa.....na maandalizi na harakati za hapa na pale yalishaanza.....
Ni Shem ambaye tulizoeana kwa kuwa mara kadhaa nilikuwa nikifika kwa rafiki yangu nawakuta ingawa walikuwa hawaishi pamoja........
Siku moja na pita pita mitaa ya kariakoo nakutana na rafiki yangu wa siku nyingi tulisoma naye shule ya msingi miaka mingi iliyo pita.....katika harakati za kuchangamkiana tukajikuta tunapanga siku ya kuonana ili tuongee mengi zaidi maana aliniambia anaishi maeneo ya kigamboni.......
Basi weekend moja nikamtaarifu kuwa naenda kumtembelea na yeye alifurahi sana akaniambia kuwa itakuwa vizuri pia umjue Shemeji yako maana na yeye amekuja leo......nikamwambia Sawa.....
Masaa kadhaa nikawa nimefika aliponielekeza nishukie akamtuma kijana kuja kunichukua kuelekea nyumbani kwake.....si haba ilikuwa nyumba ya kisasa......
Wakati tukiendelea na maoengezi ya hapa na pale akamuita Shem aje nimsalimie.....laahaulah!! Ni yule mchumba wa rafiki yangu kule mtaani.....cha ajabu yule mwanamke hakuonesha mshtuko wowote nami nikauchuna kimya.....
Mida ilipotimu nikaaga nikaondoka zangu......Ile picha pale iliniachia maswali mengi sana lakini nikaamua kukaa kimya na kuendelea na maisha yangu......
Mpaka nahama pale mtaani Yule rafiki yangu alikuwa hajafunga ndoa bado na Yule bibie na kule kwa jamaa yangu kigamboni sikuulizia lolote kuhusu yeye na Yule bibie........
DAH!
KWELI KUISHI KWINGI NI KUONA MENGI........
Hakika.Sasa uchafu uko wapi hapo mkuu?