Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Unakemea maovu huku wewe mwenyewe unatenda maovu,akili zako ni za hovyo kama huyo Mwanamke.wewe na huyo mwanamke wote ni wauaji.Mmh!!
Nadhani ilinishangaza sana lakini nilijitahidi kuuzuia mdomo wangu......ndio maana nikasema wewe ungeweza....??
Waafrika mnajulikana kwa kuficha maovu na kuishi kwa uongo uongo.Mwisho wa siku ionekana wewe ndio mchonganishi unayetaka waachane. Aka! Hata mimi ningekula buyu. Au uambiwe na wewe unamtongoza/ulimtongoza akakukataa
Dogo kwani uvinza ni kuchafu🤣🤣🤣😁😁😁 nimesoma title ,nikajua kuna mtu kashuka uvinza .
Utayaweza ya walimwengu kaka mkubwa🤣🤣Dogo kwani uvinza ni kuchafu🤣🤣🤣
Kwa hiyo sisi wenye diploma ya kuzama ni wachafu, dogo🤣🤣Utayaweza ya walimwengu kaka mkubwa🤣🤣
Hapana kaka mkubwa hakuwezi kuwa kuchafu , kungekua ni kuchafu wanadamu wote tungekua wachafu ,home sweet home🤣🤣🤣Kwa hiyo sisi wenye diploma ya kuzama ni wachafu, dogo🤣🤣
Alikuwa anajiandaa kufunga ndoa lakini alikuwa bado hajamuoaKwani siyo wewe uliyosema rafiki yako mmoja anajiandaa na kufunga ndoa
Hapo ilitakiwa na wewe akupe upige hata show moja ili umtunzie siriHapana ni yeye kabisa....maana baada ya pale alinitafuta akaniambia nimstiri.....
Kuna uwezekano mkubwa ,mmoja akabebeshwa mimba isiyo ya kwake🤔Alikuwa anajiandaa kufunga ndoa lakini alikuwa bado hajamuoa
Hauoni ni wakati muafaka wa wewe kufanya Jambo ukamuokoa rafiki yako asitumbukie kwenye mtumbwi wa vibwengo.Alikuwa anajiandaa kufunga ndoa lakini alikuwa bado hajamuoa
Unaweza ukaona unamuokoa kumbe ndio mnavunja urafiki na kujenga uadui wa kudumu....haya mambo ya mapenzi ni mazito kuliko yanayoonekanaHauoni ni wakati muafaka wa wewe kufanya Jambo ukamuokoa rafiki yako asitumbukie kwenye mtumbwi wa vibwengo.
Dah!!Kuna uwezekano mkubwa ,mmoja akabebeshwa mimba isiyo ya kwake🤔
Ningefanya hivyo heshima ingepungua alafu angeniona punguaniHapo ilitakiwa na wewe akupe upige hata show moja ili umtunzie siri
Inaonekana bado hauna muda mwingi kwenye ulingo wa mapenzi......labda nikukumbushe kuwa kwenye ulimwengu huu moja ya mambo ambayo ni magumu kushaurika ni mapenzi mara nyingi ni mpaka mtu aone mwenyeweUnakemea maovu huku wewe mwenyewe unatenda maovu,akili zako ni za hovyo kama huyo Mwanamke.wewe na huyo mwanamke wote ni wauaji.
Nini maana ya urafiki wenu,mtu kakuheshimu kakukaribisha mpaka kwake lakini wewe ulicho mtendea na unyama.
Na ipo siku jamaa atajua atakuona kavu sana.
Kwa sababu anafanya huku akimaliza anaiosha na kuipeleka kule wewe huwezi kuona uchafu, ila kuna uchafu mwingi hapo.Sijaona uchafu..
Umeshajiuliza akija kufahamu ulikua unajua na ulikaa kimya unafikiri urafiki wenu hautavunjika?Unaweza ukaona unamuokoa kumbe ndio mnavunja urafiki na kujenga uadui wa kudumu....haya mambo ya mapenzi ni mazito kuliko yanayoonekana