KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
- Thread starter
- #21
Kwanini ndugu......😁😁😁 nimesoma title ,nikajua kuna mtu kashuka uvinza .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini ndugu......😁😁😁 nimesoma title ,nikajua kuna mtu kashuka uvinza .
noma sana mkuuKwanini ndugu......
Walikuwa wote kwenye mchuano bado anapima..au huenda kuna wengine pia bado wanawekwa kwenye mzani. Anacheza kama cr7Kwa hali niliyoiona inawezekana kidumu akawa ni yule jamaa wa kigamboni maana huyu wa mtaani hadi nyumbani anatambulika kabisa
AsanteWewe ni mpumbavu
Naweza kukuelewa....baada ya lile tukio akazidi kuwa rafiki yangu mpaka rafiki yangu akawa anashangaa.....Walikuwa wote kwenye mchuano bado anapima..au huenda kuna wengine pia bado wanawekwa kwenye mzani. Anacheza kama cr7
Kumbe ni ile kuoshwa akapakuliwa mwingine!! Kama sahani za hotelini tu heading inashtua kuliko yaliyomo,😁😁😁 nimesoma title ,nikajua kuna mtu kashuka uvinza .
Hizi shosho midia zinawapa wasiojiamini ujasiri wa kusema ambayo huwezi kumwambia mtu uso kwa usoWewe ni mpumbavu
Bado kidogo na wewe utunukiwe 😁Naweza kukuelewa....baada ya lile tukio akazidi kuwa rafiki yangu mpaka rafiki yangu akawa anashangaa.....
Mmh!!Kumbe ni ile kuoshwa akapakuliwa mwingine!! Kama sahani za hotelini tu heading inashtua kuliko yaliyomo,
Haya yapo sana kwa kizazi cha sasa.Wewe bado mtoto mdogo....kuwa uyaone
Kabisa,nilikuja mbio nione uchafu ila nikakuta usafi wa kutisha😆Kumbe ni ile kuoshwa akapakuliwa mwingine!! Kama sahani za hotelini tu heading inashtua kuliko yaliyomo,
Hapana mkuu......kweli adui wa mwanaume ni mwanaume. Sasa ulishindwa nini kuwasanua wana kama wameyakanyaga?!
Kuweza kuliwa huku na kule au kuweza kutunza siri?Mmh!!
Nadhani ilinishangaza sana lakini nilijitahidi kuuzuia mdomo wangu......ndio maana nikasema wewe ungeweza....??
Hakika ndugu.....ndio maana nikaamua tu kukaa kimya maana dunia hiiHaya yapo sana kwa kizazi cha sasa.
Kikulacho bado ana mengi ya kushangaa usaliti imekuwa jambo la kawaida sana tena asie msaliti anaonekana mnafiki sanaKabisa,nilikuja mbio nione uchafu ila nikakuta usafi wa kutisha😆
kama hakuna 'stock out' kwa wapewa huduma hakuna tatizo.Mimi nimeona uchafu ndugu kuona Yule mwanamke anagawa huduma huku na huku.....
Tulia tu mkuu inawezekana hao wote ni michepuko tu.Hakika ndugu.....ndio maana nikaamua tu kukaa kimya maana dunia hii
Kwa shuhuda kama mimi kuweza kubakia nalo rohoniKuweza kuliwa huku na kule au kuweza kutunza siri?