Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

Nehi95

Member
Joined
Jun 11, 2024
Posts
61
Reaction score
128
Nilikuwa katika shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku, basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye lile begi na sio mara ya kwanza kulifua huwa ninalipekuwa na kulikagua mara nyingi tu lkn sijawahi kuona kitu ambacho sikutarajia.

Basi nilivomaliza nikiwa nimeshika lile begi nikamuomba Mungu kama utani vile nikamwambia Mungu hebu tenda muujiza nikikagua hili begi nikute pesa basi nikapekua we maajabu nakuta Noti ya elfu 10 pamoja na silver za mia nne nilishangaa sana.
 
Umaskini mbaya sana.

Kama wewe ni wa kike bila shaka hapo angetokea mtu akakuita mahali akuweke akupe angalau elfu 20 ungemsusia yote achakarike nayo .πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…