Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

Kweli Mungu anatenda, nimepata elfu kumi niliyoisahau kwenye begi siku nyingi

Nilikuwa ktk shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku...basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye Lile begi na sio mara ya kwanza kulifua Huwa nnalipekuwa na kulikagua mara nyingi tu lkn sijawahi kuona kitu ambacho sikutarajia...bas nilivomaliza nikiwa nimeshika Lile begi nikamuomba Mungu kama utani vile nikamwambia Mungu hebu tenda muujiza nikikagua hili begi nikute pesa basi nikapekua wee maajabu nakuta Noti ya elfu 10 pamoja na silver za mia nne nilishangaa sana
Kwa hiyo hilo 10000 ameliweka Mungu mwenyewe. That's great
 
Haihitaji elimu ya Kimungu kujua kuna shida mahali kawaone Madokta ndugu
Hata ww tu kuja jamii forum kupambana na mtu usiyemjua kaandika Uzi akiwa na maana gani Ili kupunguza stress zako pia ni shida kwako
 
Ulilimwagia maji ya mwamposa?

Nimesoma huku mapigo ya moyo yanaenda kasi,, nikajua umekuta minoti imejaa kwenye begi lote aiseee 😁
Humuoni Mungu kwenye maisha Yako sababu hata vidogo anavyokutendea kama kukupa afya na hata kuamka salama tu ni muujiza ila huoni uwepo wake unategemea muujiza ya manabii wa uongo kina mwamposa ndo Mungu katenda
 
Umaskini mbaya sana.

Kama wewe ni wa kike bila shaka hapo angetokea mtu akakuita mahali akuweke akupe angalau elfu 20 ungemsusia yote achakarike nayo .😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ungekuwa tajiri ungekuwa bize na umbea wa jf kweli bila shaka hata bando umekopa....ila kiboko ya mwanadamu kumuheshimu Mungu ni kifo tu ukute hapo hata elfu kumi tu huna....ila nimewaweza Leo maana sijawahi kuleta Uzi ukafikisha reply nyingi kama Leo, hahahaha 🤣 my
 
Nilikuwa ktk shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku...basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye Lile begi na sio mara ya kwanza kulifua Huwa nnalipekuwa na kulikagua mara nyingi tu lkn sijawahi kuona kitu ambacho sikutarajia...bas nilivomaliza nikiwa nimeshika Lile begi nikamuomba Mungu kama utani vile nikamwambia Mungu hebu tenda muujiza nikikagua hili begi nikute pesa basi nikapekua wee maajabu nakuta Noti ya elfu 10 pamoja na silver za mia nne nilishangaa sana
Hakika Mungu wetu ni mwema sana na mwenye huruma, Imani yako imekulinda. Pokee kadiri ya imani yako
 
Mkuu huna haja ya kujibu kila mtu. Anaeona tofauti wew ungana na hoja yake.. chekacheka tu! Ibadili mada kuwa utani kwake maisha yaendelee

Mkuu huna haja ya kujibu kila mtu. Anaeona tofauti wew ungana na hoja yake.. chekacheka tu! Ibadili mada kuwa utani kwake maisha yaendelee
Ni kwel tatizo humu Kila mtu anajifanya tajiri Kila mtu ana kazi au biashara kubwa kumbe wengi muda huu wako vijiwe nongwa na kwenye kahawa
 
Nilikuwa katika shida kubwa ya kiuchumi kazi hakuna sikuwa na chochote siku moja nimeamka sijui hata familia itakula Nini ndanii nilikuwa na mkaa tu wa buku, basi Ili kupoteza mawazo nikaona nikusanye nguo chafu pamoja na begi la mgongoni nikafue basi nikatoa vilivyokuwemo kwenye lile begi na sio mara ya kwanza kulifua huwa ninalipekuwa na kulikagua mara nyingi tu lkn sijawahi kuona kitu ambacho sikutarajia.

Basi nilivomaliza nikiwa nimeshika lile begi nikamuomba Mungu kama utani vile nikamwambia Mungu hebu tenda muujiza nikikagua hili begi nikute pesa basi nikapekua we maajabu nakuta Noti ya elfu 10 pamoja na silver za mia nne nilishangaa sana.
Huo ni muujiza mkubwa, kama hujawahi kutokewa na Hali ngumu huwezi fahamu.
Binafsi naelewa, jambo la msingi usisahau kutoa fungu la kumi maana hiyo pesa imetoka mbinguni direct.
 
Labda nikuulize swali, kwahiyo unaamini Mungu aliweka hiyo elf 10 kwa begi na akakuonyesha baada ya kuomba?

Hosea 12:13

"Na kwa nabii BWANA alimtoa Israeli katika Misri,
Na kwa mkono wa nabii alihifadhiwa. "

Mungu hutumia watu kuokoa na kuhifadhi watu wake
 
Back
Top Bottom