Sio kwenye begi tena?Huo ni muujiza mkubwa, kama hujawahi kutokewa na Hali ngumu huwezi fahamu.
Binafsi naelewa, jambo la msingi usisahau kutoa fungu la kumi maana hiyo pesa imetoka mbinguni direct.
Ndivyo ilivyo kokote kwenye watu wengi. So.. relax kabisa mkuu. Maisha tuliyonayo ni mafupiNi kwel tatizo humu Kila mtu anajifanya tajiri Kila mtu ana kazi au biashara kubwa kumbe wengi muda huu wako vijiwe nongwa na kwenye kahawa
Imetoka mbinguni direct ikaenda kwenye begi kama vile mikate na samaki ilivyotoka from no where ikajaa kwenye vikapuSio kwenye begi tena?
Dah! mbinguni kuna benki kweli? kwamba ukiomba unashushiwa directImetoka mbinguni direct ikaenda kwenye begi kama vile mikate na samaki ilivyotoka from no where ikajaa kwenye vikapu
Hosea 12:13Imetoka mbinguni direct ikaenda kwenye begi kama vile mikate na samaki ilivyotoka from no where ikajaa kwenye vikapu
Njoo huku mkuranga tulime matikiti acha ndoto za miujiza
Nina kazi aisee ikitokea tu changamoto wkt Fulani na ww pia unaweza shangaa hayo matikiti yakaenda mrama usishangaeNjoo huku mkuranga tulime matikiti acha ndoto za miujiza
Watu wasio na ImaniSio kwenye begi tena?
imani ni nini?Watu wasio na Imani
Kuna ujinga mwingi sana, hata Mungu anawasikitikia kwa kukosa maarifaHuo ni muujiza mkubwa, kama hujawahi kutokewa na Hali ngumu huwezi fahamu.
Binafsi naelewa, jambo la msingi usisahau kutoa fungu la kumi maana hiyo pesa imetoka mbinguni direct.
Kama mtu hajawahi kupitia kwenye hali ambayo anasimuliwa ni vigumu kuelewa au kukubali.Mnaosema afanye kazi
Hivi hamjui kupata hiyo kazi nayo ni kazi?
Haukuuliza hata kama kuna mtu medondosha, kwahiyo ukasema, Mungu amenidondosheaKama mtu hajawahi kupitia kwenye hali ambayo anasimuliwa ni vigumu kuelewa au kukubali.
Mleta mada namuelewa sana, niliwahi pitia hali kama yake.
Siku moja nilikuwa kwenye ofisi moja ya Posta nilikuwa natuma barua, mkononi nilikuwa na hela ya kutuma hela halafu ndio sikuwa na hela ya kula/kutumia na sikuwa najua nitapaje hela kwa siku hiyo.
Wakati nafanya process pale kaunta kuweka makabrasha vizuri, kubandika stamp then ikanilazimu kurudi kukaa kwenye benchi ili nimalizie na kukabidhi. Kurudi tu nyuma kwenye benchi wakati naketi ghafla nikaona elfu kumi imedondoka chini sehemu ya wateja kuandaa hizo nyaraka, moyo ukashtuka nikaokota nikatulia nikaendelea na process.
Uzuri hapakuwa na mteja mwingine zaidi yangu ambaye ningehisi ndio kadondosha, nilipomaliza nikaondoka huku moyoni nikiwa tayari nishaipigia bajeti ya matumizi kwa siku ile.