Kweli Mungu ni muweza wa yote?


You big headed man , ni sheria pekee inaweza tambua uwepo wa dhambi au kosa. Ndiyo sababu mnaambiwa ni Mungu pekee anayehusika na morals na Moral laws na si vinginevyo.
Hakuna swala la relative au lah kuuwa tembo ni kosa pale ambapo kuna sheria inayotambua hivyo. Unafikiri kwa kutumia nini ?

Habari ya dhambi na uwepo wake huna unachoweza kufundisha umekaririshwa vibaya. Huwezi kutambua dhambi pasipo sheria hata hilo huwezi jifunza ? Ubongo umeganda kabisa ?
 

Huelewi concept ya dhambi kuwa absolute au relative na implication yake katika imani.

Badala ya kuonyesha ujinga wako in a public forum, nenda kasome ujifunze.

Usipoelewa mtafute mchungaji aliyesoma philosophy akusaidie.

You need help kwanza kuelewa vitu usivyojua na pili kutoka katika hilo box la utumwa wa imani.
 

Kukusaidia tu, biblia imeandikwa miaka na miaka baada ya kifo cha huyo yesu. Hivyo kuna chances kimekuwa manipulated.

Pili, kasome nani wameandika na jiulize kwa nini yesu mwenyewe hakuandika chochote.

Tatu, kasome ni nani aliwatafuata hao walioandika na kufanya compilation na kuja na biblia.

Nne, jiulize madhumuni ya huyo aliyefanya hiyo compilation at that time ni nani?

Tano, nenda katafute vitabu vilivyoandikwa na wanahistoria wa kipindi hicho juu ya yesu. (Josephus is a forgery).

Sita, nenda kasome juu ya historia ya hata sura tu ya yesu, son of god, ambayo nayo ni utata mtupu.

Mwisho, come to a rational conclusion juu ya uwepo wa "yesu" na si kukariri hovyo kama vile hauna ubongo.
 

Wewe ndiye usiye elewa na hujui mpango wa Mungu tangu alipomuumba mwanadamu. Hivyo habari ya dhambi ni Giza totoro kwako.
Kama hujui kwamba dhambi ni pale MTU anapoenda kinyume na sheria ya Mungu basi omba ufundishwe bureee.
Huna cha kunifundisha kuhusu habari za Mungu wakati naelewa fika habari za Mungu hasa kwa wakristo zinahitaji reasoning na sio kukariri.
Wewe ndiye mtafute mchungaji anayesoma philosophy akuambie kwamba kuua tembo ni kosa pasipo sheria inayokataza...
Ninyi ni mindless msiofundishika. Wasomaji wanaona wenyewe na kutafakari na kugundua ukweli ulipo kwenye mjadala.
Wewe endelea kukariri square root ya -1 na vinavyoambatana navyo habari ya Mungu na mafundisho yake omba msaada usaidiwe.
Kaa kwenye box hilo mnalokaririshwa mambo ukichomoza kichwa unalazimishwa ufikiri.
 

Uno unavyojianika utupu kichwani mwako.
Biblia ni mkusanyiko wa maandiko. Sio kitabu kimoja Bali ni vitambu vingi vilivyoandikwa na watu tofauti tofauti...
Vipo vilivyoandikwa kabla ya kuzaliwa kwa Bwana Yesu Kristo na vilivyoandikwa baada ya kuzaliwa na kuhusu maisha na matendo yake.
Polee Sana Mkuu. Wewe hayo yanakusaidia kufisha na kukufsnya uwe zoba hujijui tu.

Jiangalie ulivyojianika.
...viliandikwa baada ya huyo Yesu kufa.
....soma historia Kuhusu uwepo wa Yesu.
Unabwabwaja tu Kama umekuwa switched on...
 

Nimekupa a simple homework ya kukusaidia tu.

Nenda kahoji juu niliyokuandikia hapo juu.

Ukipata majibu si tu utaacha ukristo, bali utajiona mjinga kufungwa kamba miaka yote hiyo.

Na kama ni mstaarabu utakuja hapa kunishukuru kukutoa utumwani.
 
Nimekupa a simple homework ya kukusaidia tu.

Nenda kahoji juu niliyokuandikia hapo juu.

Ukipata majibu si tu utaacha ukristo, bali utajiona mjinga kufungwa kamba miaka yote hiyo.

Na kama ni mstaarabu utakuja hapa kunishukuru kukutoa utumwani.

Hujui hata biblia ni kitu gani then wajitia ualimu wa biblia.
Kwani unafikiri uliyosoma wewe Mimi sijayasoma ? Unajidhalilisha. Umerukaruka wewe ulipotua ukahamia kwenye uhalali wa kumwamini Yesu Kristo. Too sad.
Kuacha Ukristo usubiri nami ubongo ugande Kama wako.
Ukristo ndiyo world view pekee yanye mashiko kwa watu tunaojua kureason.nikiacha Ina maana nisimwamini Mungu na madhara ya kutomwamini Mungu ni kuamini chochote.unakuwa Kama zombies tu. Hamjielewi
 

Kuna binadamu billion 7. Wakristo hawazidi billion 2. Huwezi kusema wakristo ndiyo wanajua kureason. Ni ujinga kusema hivyo.

Nimekuambia ukasome na kujifunza kwa faida yako na labda hata watoto wako.

Ni juhudi zako binafsi kukubali au kukataa maarifa.

Siwezi kukusaidia kama unabisha.
 

Wewe unayeamini ulimwengu kuzuuka tu unajinasibu kuwa hata na chembe ya maarifa ? Labda Kama upu.mbavu umepata maana mpya.
Mimi sitegemei maarifa yangu pekee katika kuitafuta kweli.
Ninasoma nimejifunza ndiyo sababu nakupa vitu ambavyo hujawahi kuvikariri kabisa.
Wengi ni Kama wewe wameamua kuto kureason ethier kwa kuandaliwa na mazingira kwa muda mrefu au kwa imani walitonayo ambayo inawapa nafuu ya kukwepa sheria ya Mungu Kama wewe.
Hongera kwa imani yako
 
Nimekupa a simple homework ya kukusaidia tu.

Nenda kahoji juu niliyokuandikia hapo juu.

Ukipata majibu si tu utaacha ukristo, bali utajiona mjinga kufungwa kamba miaka yote hiyo.

Na kama ni mstaarabu utakuja hapa kunishukuru kukutoa utumwani.

Labda Kama ubongo umeganda kiasi cha kuahindwa kung'amua unapoambuwa kuwa Ukristo ndiyo world view yenye mashiko.
Hao billion 7 wapo wahindu na world view yao. Wapo atheist na world view yao. Wapo waislam na world view yao etc etc.
Kama akili yako haitaki kuelewa hilo sio tatizo langu.
 

How do you know ni world view yenye mashiko?

Have you studied the rest of the other world views to come to a conclusion that Christianity is the righteous one?

Are there chances that your faith is flawed and may be the rest of 5bn people are not wrong?

You are not any different to an atheist from a non-Christian faith.

I wish I could dumb it down maana huna akili ya kuelewa nachoandika.
 

Nakuuliza kuhusu uthibitisho, unajibu kuhusu imani.

Huelewi uthibitisho wala imani.
 
Nakuuliza kuhusu uthibitisho, unajibu kuhusu imani.

Huelewi uthibitisho wala imani.

Usichokielewa unaita imani.umegeuza neno imani ndilo chaka la kuficha udhaifu wako wa kureason. Unaambiwa personal encounter wewe unasema ni imani ! Wataka nikupe Yale ambayo ndiyo mambo ambayo nimetendewa na Mungu wangu ? Utaelewa wewe kichwani mwako dunia ni material only ?
Usinidingizie kunako matatizo yako ya kufikiri
 

Kujua ni world view yenye mashiko huhitaji kuwa professor, ukijua sababu za wewe kuwapo na nini mustakabari wa maisha yako haya na yajayo Kama binadam. Majibu yanapatikana kwa mafundisho ya Kikristo.

Ndiyo

Hakuna chances kwa kuwa ninayoyaamini na kuyasimamia sioni aibu kuyasema.

Huwezi kwamba unaweza tambua mabaya yoyote kwa kuota tu. Yaweke hapa upate unachokikosa kwenye dini yako ya hakuna mungu
Ni mtazamo wako japo ni mbovu sina cha kufanya kwa kuwa ndicho kitu ambacho Mungu alikiweka kiweze kututofautisha wanadamu.
Ni kweli sina akili ya kuelewa kile unachoandika kwa kuwa wewe hutumii akili. Ukiombwa ufafanuzi ili utumie japo akili kidogo hutaki.
 
Nawapa saluti kwa kubishania jambo lile lile bila ufumbuzi wowote!
 

Unakataa kitu ulichoandika mwenyewe, ambacho kina ushahidi wa maandishi hapa JF!

You are simply irredeemable.
 
Unajuaje kama I am a vegeterian and an animal rights activist? Hivyo nishawahi kufikiri kuokoa lakini sina uwezo wa kuzuia watu kuwaua.

Mpaka sasa hujajibu swali nililouliza.

Bado haujajibu swali,ulichokifanya ni kuuliza swali "unajuaje kama" hilo si jibu na ni utoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…