Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Haujajibu swali mkuu na wala mie sijasema kuwa hao watu ni vitoweo.

Jibu swali.

Nimeuliza swali simple sana, kama una uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi Nepal lililoua watu zaidi ya 1000 (and counting), utazuia au utaacha?

Sijapewa jibu.

Umekuja na mfano wa wanyama kuuliwa na binadamu kwa sababu ni vitoweo, ndiyo maana nikauliza, hao binadamu zaidi ya 2000+ waliokufa Nepal ni vitoweo vya nani?

Get it?
 
Hiyo assumption ya kwamba watu wakifa wanakuwa vitoweo umeipataje ? Kabla hatujajua wanawakuwa vitoweo vya nani tujulishe umejuaje kuwa wanakuwa vitoweo ?
Tiririka na kariri zako...

Mwenzako katoa rationale kwamba wanyama wanakufa kwa sababu ni vitoweo vya binadamu akijaribu kujibu swali nililokuuliza (ambalo hujajibu).

Ndiyo maana nikamuuliza, kama wanyama wanakufa kwa sababu ni vitoweo, je binadamu ni vitoweo vya nani?

Mpaka sasa hujajibu swali nililokuuliza.

Uugwana ni kusema sijui kuliko kuzungukazunguka.

Pope Francis was asked a similar question in his visit to Philippines. He simply said he does not know the answer. That's honesty. Hakujaribu ku-rationale something that does not make sense to justify his religious beliefs.

Sasa hapa nyie a simple question mnazungukazunguka.

Where is the answer? Where is the honesty in you people?
 
Soma biblia takatifu anza mwanzo moja usome uumbaji utapata jibu kama Mungu yupo au hayupo na kama hayupo utuambia ulimwengu nan kaumba na je pumzi unayovuta na kutoa imetoka wapi?

Help me understand hapo mwanzo.

Mungu alimuumba Adam na Hawa.

Adam wakapata watoto.

Hao watoto walizaa na nani?

Is incest a sin?
 
Siwezi kuthibitusha chochote. Hivyo Kama sina uwezo wa kukuthibitishia sio Mungu tu Bali na kitu kingine chochote Ina maana hicho nitachoshindwa na nimekiri kwako kuwa sina uwezo, kinakuwa hakipo ?

Hapana,

Lakini hata ambavyo havipo navyo huwezi kuthibitisha.

Sasa unajuaje kwamba usichoweza kuthibitisha hiki huwezi kuthibutisha lakini kipo na kile huwezi kuthibitisha lakini hakipo?
 
Mm nadhan hakuna mwanadamu mwenye haki ya kujadili Mungu yupo au hayupo maana kuwepo kwa mwanadamu tu na kuvuta pumzi na vtu vilivyoko dunian tayar n maajabu na ukimuulza mwana damu yeyote kwann au vimetokea wapi hana jibu au ukimuuliza mwanadamu yeyote uwepo wa ulimwengu,jua,mwezi na nyota vimetokea wapi kamwe hawezi kukupa jbu lolote.

Kuwepo mwanadamu kama ni maajabu kuna uhusiano gani na uwepo wa mungu?
 
Duh halafu kumbe muda wote naumiza kichwa kumbe siyo huyu Mungu ninayemjua unamzungumzia wewe unamsemea mungu?God and god are so diffent God exist but god does not exist
 
Unajua Mungu n wa huruma sna na mwenye haki na usawa na ndo maana anakupa hadi Uhuru wa kumpinga na kuona kama hayupo but I hope one day you will get the truth but you will be late
 
Hapo mwanzo kulikuwa na neno naye neno alikuwa kwa Mungu to that extent is realy God was there even before the creation of the earth
 
In the absence of other proof the thumb alone would convince me the God's existence sir Issac newton quoted, sasa hao ndo wanasayansi waliotufikisha tulipo mpaka kujua kuandika, kusoma, na kujua dunua ilivyo na hesabu zote anaamini Mungu yupo pamoja na uwezo wake wote na akili alizokuwa nazo high IQ. Kuna kitu gan au kuna sayansi gan ambayo wakina newton hawajagundua?zinachomoza now n kukopi na kupest hakuna jipya asili ni wao lakn anaamin umwepo Wa Mungu how come mtu wa kawaida ashindwe kuamin uwepo wa Mungu kama mageneus wanaamini?
 
Kwanin wanadamu tusikae nakutafuta ukwel kwanza hivi nalalaga saa ngapi?hvi kwann nkilala sijitambui mpaka ntakapoamka?hvi mtu akifa naenda wapi au au kwann mtu anakufa?tungepata majbu hayo kwanza n kweli tukieza kupata ndo watu warudi kujiulza je Mungu yupo?
 
Nimeuliza swali simple sana, kama una uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi Nepal lililoua watu zaidi ya 1000 (and counting), utazuia au utaacha?

Sijapewa jibu.

Umekuja na mfano wa wanyama kuuliwa na binadamu kwa sababu ni vitoweo, ndiyo maana nikauliza, hao binadamu zaidi ya 2000+ waliokufa Nepal ni vitoweo vya nani?

Get it?

Swali lako lina makengeza, unatakiwa mmuuliza swali nawewe uwe na uwezo wa kutafakari.
Nini kinaweza kumfanya MTU kuamua kufanya au kutofanya kitu ?
Je ? Uwezo pekee ndiyo waweza kuamua MTU afanye au asifanye

Swali lako umeuliza kana kwamba maamuzi juu ya kufanya au kutofanya jambo hutegemea uwezo wa MTU wa kufanya jambo husika. Hapa naona iko shida mukichwani mwako ...
 
Help me understand hapo mwanzo.

Mungu alimuumba Adam na Hawa.

Adam wakapata watoto.

Hao watoto walizaa na nani?

Is incest a sin?

Kufikiri ni majanga kwenu wakana mungu ? Dhambi huja pale palipo na sheria, utawezaje kutambua dhambi/kosa kabla ya sheria kuwepo ?
Hiyo incest kuwa a sin umetumia nini kuitambua ?
Jitahidi kujikita katika kutafakari kabla hujabonyeza post !
 
Wakristo si wanakubali na kusema kila siku kuwa Yesu ALIKUFA kwa ajili ya madhambi yenu?
Sasa Km Yesu ni mungu! Vipi ashindwe kusamehe tu madhambi Mpaka Akubali KUUAWA KIFO kibaya namna ile?
 
Ni kosa kusema Mungu hupanga maisha yako ya kesho maana wewe sio robot wala Mungu sio dectator. Bali amekupa wewe maamuzi ya kuamua kesho yako.
 
Nimeuliza swali simple sana, kama una uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi Nepal lililoua watu zaidi ya 1000 (and counting), utazuia au utaacha?

Sijapewa jibu.

Umekuja na mfano wa wanyama kuuliwa na binadamu kwa sababu ni vitoweo, ndiyo maana nikauliza, hao binadamu zaidi ya 2000+ waliokufa Nepal ni vitoweo vya nani?

Get it?

Nilichosema ni kwamba tunaua wanyama na kuwafanya vitoweo(sijasema kwamba wanyama wao wana haki ya kuuliwa kwa sababu ni vitoweo),ndipo nikakuuliza je,ushawahi kufikiri kuokowa maisha ya hao wanyama?
 
Hapana,

Lakini hata ambavyo havipo navyo huwezi kuthibitisha.

Sasa unajuaje kwamba usichoweza kuthibitisha hiki huwezi kuthibutisha lakini kipo na kile huwezi kuthibitisha lakini hakipo?

Kuna kitu ambacho kinatokea nafsi mwangu kinachohusiana na kuamini Mungu. Hivyo nawe ukitaka uthibitusho ni kuamini naamni Mungu atajidhirisha kwako pia Kama ambavyo amewahi kujidhihirisha kwa waumini wenzako wengi.

Nashukuru kwamba umekubali kwamba uwezo wangu wa kuthibitisha au kutothibitisha hauwezi kuondoa uwepo wa kitu au kufanya kiwepo kitu kisichokuwepo.
Nimekueleza wazi kwamba Mungu hujidhirisha kwangu Mara nyingi katika nyendo za maisha yangu lakini pia kupitia maandiko ya Biblia nimepata kufahamu kuwa yeye ndiye muumba wa ulimwengu na vyote viluvyomo.
Na uthibitisho zaidi ni pale ambapo maandiko ndani ya biblia yamezungumzia kuhusu mwanzo wa ulimwengu na nyakati na vyote vilivyomo ulimwenguni ikiwa ni pamoja na dunia na vilivyomo.
Lakini Sayansi imethibitisha ukweli kwamba ukimwengu Una Mwanzo na Wakati pia Una Mwanzo.
Hivyo kwangu sayansi imetujuza kitu ambacho waamini Mungu tulikuwa tumejuzwa na Mungu mwenyewe.
Wakati sayansi bado inahangaika kujua chanzo cha uhai na haijui kabisi nini maana na madhumuni ya maisha/uhai lakini Mungu amekwisha toa majibu ya maswali hayo.
Sasa ni zamu yako uniambie ni kwa vipi kushindwa kwangu kukuthibitishia kuwepo kwa Mungu na kukiri kwako ya kwamba sina uwezo wa kuthibitisha chochote kumekufanya wewe uhitimishe kuwa hicho nilichoshindwa kuthibitisha hakipo !
Mimi siwezi kuhangaika kabisa na ambavyo havipo na sijajua kwa yakini Kama akili yangu itaanzia wapi kuhangaika na visivyokuwepo. Sipati mantiki ya namna MTU anavyoweza au asivyyoweza kuthibitisha acha kuhangaika na kisichokuwepo ! Labda Kama yeye maamuzi yake hayana mwongozo wa kanuni za hekima na maamuiz yake ni matokeo ya vinasaba kusakata rhumba mwili mwake...
 
Wakristo si wanakubali na kusema kila siku kuwa Yesu ALIKUFA kwa ajili ya madhambi yenu?
Sasa Km Yesu ni mungu! Vipi ashindwe kusamehe tu madhambi Mpaka Akubali KUUAWA KIFO kibaya namna ile?

Kwanini unafikiri kufa msalabani ni matokeo ya kushindwa kusamehe dhambi ? Kifo kibaya ndiyo nini ? Vipi kuhusu kufufuka kwake ?
Akili yako inashindwa kuelewa ukuu na Elimu iliyopo katika kufa na kufufuka kwake?
Pasipo kufufuka kwa Yesu Kristo imani kwa Mungu wako inafaida gani wakati kaburi lingekuwa ndiyo mwisho ?
 
Ungekuwa na uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi Nepal ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya 1000 (including watoto), ungezuia au ungeacha?

I bet hutajibu hili swali.

Mwanao mpenzi aliyeondoka miaka 2 au 70 iliyopita, akaenda Somalia kwenye kila aina ya shida kuanzia njaa vita magonjwa, kukataliwa etc. Amepata nauli ya kurudi kwako kwenye nchi ya amani upendo furaha etc. Ungezuia asije kama uwezo huo unao?
 
Ningekua na uwezo wa kumzuia kutokwenda Somalia, ningemzuia in the first place.

Mpaka sasa sijajibiwa hili swali.
 
Back
Top Bottom