Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuna mtu kashaweza kuthibitisha mungu yupo?
Au bado longolongo kama kawaida?
Leo kimepiga kitu just outside Kathmandu. Tetemeko la ardhi.7.8 on the Richterscale. At least 15 aftershocks of 4.5 or higher on the Richter scale.Watu angalau 876 wameshakufa, wengine kibao wanahofiwa kuwa wamefukiwa.
I mean, do you understand what is the force of a 7.8 magnitude earthquake?
Kitu kimepiga Nepal, watu wamekufa mpaka India huko, watu 34 angalau.
Kitu kimepiga just outside of Kathmandu, watu wamekisikia mpaka Calcutta. Do you know how far is that? If not look that up on the map.
Why would a loving godhead allow that type of devastation?
Wiki iliyopita ilikuwa Papua New Guinea
Bado mnaamini mungu yupo tu?
Unataka mpaka lipige kwenu ndio ujue hizi habari zamungu mwenye uwezo wote na upendo wote ni uzushi tu?