Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kuna mtu kashaweza kuthibitisha mungu yupo?

Au bado longolongo kama kawaida?

Leo kimepiga kitu just outside Kathmandu. Tetemeko la ardhi.7.8 on the Richterscale. At least 15 aftershocks of 4.5 or higher on the Richter scale.Watu angalau 876 wameshakufa, wengine kibao wanahofiwa kuwa wamefukiwa.

I mean, do you understand what is the force of a 7.8 magnitude earthquake?

Kitu kimepiga Nepal, watu wamekufa mpaka India huko, watu 34 angalau.

Kitu kimepiga just outside of Kathmandu, watu wamekisikia mpaka Calcutta. Do you know how far is that? If not look that up on the map.

Why would a loving godhead allow that type of devastation?

Wiki iliyopita ilikuwa Papua New Guinea

Bado mnaamini mungu yupo tu?

Unataka mpaka lipige kwenu ndio ujue hizi habari zamungu mwenye uwezo wote na upendo wote ni uzushi tu?
 
Hoja zako ni matokeo ya kukariri na kuwa na ulemavu wa kutafakari.
Ukiulizwa ueleze sababu za kimantiki zinazokufanya uhitimishe na kuhusianisha uwepo wa majanga na kutokuwepo kwa Mungu ..unabaki na longolongo kibao maana jibu halipo kwenye kariri zako.
Eleza mantiki ya kuhusianisha uwepo wa Mungu na majanga ya asili ?
 
Kuna mtu kashaweza kuthibitisha mungu yupo?

As far as I'm concerned no one yet has been able to demonstrably prove or disprove whether god exists or not.

All I see is people going around in circles repeating the same thing over and over.

Leo kimepiga kitu just outside Kathmandu. Tetemeko la ardhi.7.8 on the Richterscale. At least 15 aftershocks of 4.5 or higher on the Richter scale.Watu angalau 876 wameshakufa, wengine kibao wanahofiwa kuwa wamefukiwa.

Why would a loving godhead allow that type of devastation?

Some may argue that was Satan's work:smile-big:.

If true, that means Satan got the better of god.

Hahahaaa that shit doesn't even make sense to me.
 
Muombe akupe utajiri kama Dewji

Watoto wako wamepata hasara. Tumepewa uwezo wa kuwa chochote tunachotaka, Ni sisi hatujaamua kuutumia huo uwezo tuliopewa.

Life is all about choices, Wewe umechagua kuamini hayupo. Sisi tumechagua kuamini yupo.

Machaguo yetu yanatokana na uwelewa ama knowledge tuliyonayo juu ya mambo yanayotuzunguka. Utofauti unatokana pia na Mazingira. Kama unamtoto ukamlea ktk misingi yako ya sasa, kuna possibility kubwa ya yy kuwa kama wewe... Lakini pia haitozuia mdogo wake kuwa tofauti na wewe au mkubwa wake...

Sote tumeathiriwa na Mazingira tuliyokulia.

Lakini naamini, In the Midst of all these Misunderstandings na kila kitu. Ukweli Upo, na Umejitenga.

Ipo siku tutaujua tu.
 
Kuna mtu kashaweza kuthibitisha mungu yupo?

Au bado longolongo kama kawaida?

Leo kimepiga kitu just outside Kathmandu. Tetemeko la ardhi.7.8 on the Richterscale. At least 15 aftershocks of 4.5 or higher on the Richter scale.Watu angalau 876 wameshakufa, wengine kibao wanahofiwa kuwa wamefukiwa.

I mean, do you understand what is the force of a 7.8 magnitude earthquake?

Kitu kimepiga Nepal, watu wamekufa mpaka India huko, watu 34 angalau.

Kitu kimepiga just outside of Kathmandu, watu wamekisikia mpaka Calcutta. Do you know how far is that? If not look that up on the map.

Why would a loving godhead allow that type of devastation?

Wiki iliyopita ilikuwa Papua New Guinea

Bado mnaamini mungu yupo tu?

Unataka mpaka lipige kwenu ndio ujue hizi habari zamungu mwenye uwezo wote na upendo wote ni uzushi tu?

Watakuambia intelligent design au god works in mysterious ways.

Hapo hapo watakuambia kuna free will.
 
Ukiulizwa ueleze sababu za kimantiki zinazokufanya uhitimishe na kuhusianisha uwepo wa majanga na kutokuwepo kwa Mungu ..unabaki na longolongo kibao maana jibu halipo kwenye kariri zako.

Ungekuwa na uwezo wa kuzuia tetemeko la ardhi Nepal ili kuokoa maisha ya watu zaidi ya 1000 (including watoto), ungezuia au ungeacha?

I bet hutajibu hili swali.
 
Watakuambia intelligent design au god works in mysterious ways.

Hapo hapo watakuambia kuna free will.

Tatizo kubwa ni kuzima kitengo cha kureason mmebakiza cha kukariri na kudecode kariri zenu. Atheist kujibu hoja ni mwiko kabisa imani yenu inawakataza ?
Swali lililopo ni kutoa sababu za kimantiki zilizowafanya mhusianishe kutokuwepo au kuwepo kwa Mungu dhidi ya majanga au mabaya yanayotokea duniani
Mbona sioni majibu ?
Yaelekea ninyi mnamzungumzia "God of the gap " ambaye ni kweli hayupo
 
As far as I'm concerned no one yet has been able to demonstrably prove or disprove whether god exists or not.

All I see is people going around in circles repeating the same thing over and over.

Some may argue that was Satan's work:smile-big:.

If true, that means Satan got the better of god.

Hahahaaa that shit doesn't even make sense to me.

Tatizo la binadam kuto jua faida za hayo majanga isiwe ndiyo sababu ya kumuua Mungu ninyi watu
Sayansi inayo mengi Sana ambayo haiyajui ni Bahati mbaya kwa atheist matatizo yenu ya kutafakari yanapelekea mufikie hitimisho la mungu kutokuwepo.

Tatizo jingine ni pale kila anayeamini kwamba hakuna ushahidi wa kuwepo kwa Mungu anajificha nyuma ya sayansi (kwa ujinga tu) kana kwamba hakuna mungu ni matokeo ya utafiti wa kisayansi.
Kuna waamini Mungu wengi ambao wamefanya mskibwa Sana kwenye sayansi. Kilichokuwa kikubwa kwao kila walipogundua jambo walikiri ukuu na uwwzo mkubwa Sana wa kihekima ya Mungu muumbaji wa kile wakichogundua.
Sasa kizazi kimeibuka cha waliogeuza sayansi ni kichaka cha kujificha udhaifu wa kutafakari kwao kwa kutaka kulazimisha kuwepo kuhitilafiana Kati ya Sayansi na Mungu , kana kwamba huwezi kuwa Mwanasayansi na kuamini uwepo wa Mungu.
Ni mtazamo wa kijuha Sana tena Sana.
 
Soma biblia takatifu anza mwanzo moja usome uumbaji utapata jibu kama Mungu yupo au hayupo na kama hayupo utuambia ulimwengu nan kaumba na je pumzi unayovuta na kutoa imetoka wapi?
 
The bible is a unique and quite different from other books that why each person translate differently according to his/her concioussness
 
Why is the bible unique?

What makes it unique?

How many books have you read to say that the bible is unique?

How is the Bible unique compared to the Dhammapada?
 
Tatizo kubwa ni kuzima kitengo cha kureason mmebakiza cha kukariri na kudecode kariri zenu. Atheist kujibu hoja ni mwiko kabisa imani yenu inawakataza ?
Swali lililopo ni kutoa sababu za kimantiki zilizowafanya mhusianishe kutokuwepo au kuwepo kwa Mungu dhidi ya majanga au mabaya yanayotokea duniani
Mbona sioni majibu ?
Yaelekea ninyi mnamzungumzia "God of the gap " ambaye ni kweli hayupo

Ukishasema kuna mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliyeumba huu ulimwengu wenye shida na mabaya mengi tayari wewe ndiye unakuwa umeshindwa ku reason.

Umeshindwa ku reason kwa sababu unakubali contradiction.

Imekuwaje mu gu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezelana?

Hujajibu hili swali.

Na kama hujajibu, huwezi kusema unaheshimu reason.
 
Tatizo la binadam kuto jua faida za hayo majanga isiwe ndiyo sababu ya kumuua Mungu ninyi watu

Tunamuua mungu? Mungu anawezaje kuuliwa?

Sayansi inayo mengi Sana ambayo haiyajui

Hilo ni dhahiri.

ni Bahati mbaya kwa atheist matatizo yenu ya kutafakari yanapelekea mufikie hitimisho la mungu kutokuwepo.

Taratibu ndugu. Usiweke kila anayehoji uwepo wa mungu kwenye kapu la wakana mungu. Si kila mhojaji ni mkana mungu.

Tatizo jingine ni pale kila anayeamini kwamba hakuna ushahidi wa kuwepo kwa Mungu anajificha nyuma ya sayansi (kwa ujinga tu) kana kwamba hakuna mungu ni matokeo ya utafiti wa kisayansi.

Hivi kuna "anayeamini kwamba hakuna ushahidi wa kuwepo kwa Mungu"? Kwa hiyo hilo nalo ni suala la imani na si ujuzi?
 
Ukishasema kuna mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote aliyeumba huu ulimwengu wenye shida na mabaya mengi tayari wewe ndiye unakuwa umeshindwa ku reason.

Umeshindwa ku reason kwa sababu unakubali contradiction.

Imekuwaje mu gu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezelana?

Hujajibu hili swali.

Na kama hujajibu, huwezi kusema unaheshimu reason.
Longolongo tupu wala haikusadii.
Contradiction ya uwezo, upendo na ujuzi wote ni kutokana na uzito wako wa kutafakari tuu.

Bado hujaweka hoja ya kimantiki kuonyesha namna ambavyo ulimwengu wenye uwezekano wa maovu unaondoa uwepo wa mungu zaidi ya kuzunguka zunguka na kariri zako zisizo mantiki za kuondoa uwepo wa mungu kwa kuwa ulimwengu ambao ungependa mungu aumbe haupo.
Ulivyo mkavu wa kureason. Umeambiwa unajuaje kuwepo kwa maovu ? Ni kanuni gani unatumia kutambua mema na mabaya na kanuni hiyo imetokana na nini / nani kiasi cha kuifanya wewe nami tuweze kuitumia kutambua maovu ?

Hutoi majibu lakini unataka upewe majibu kwa hoja ambazo kimsingi zinahitaji maelezo ya ziada kueleweka na kuweza kujibiwa.
Katika hakuna mungu mnatumia kanuni gani kutenga wema na ubaya ?
Hiyo kanuni nani/nini kimeiweka ?
Swali lako litajibiwa pale utaoifafanua kanuni ilitotumika na ni kanuni ya nani au nini ?
 
Tunamuua mungu? Mungu anawezaje kuuliwa?

Hilo ni dhahiri.

Taratibu ndugu. Usiweke kila anayehoji uwepo wa mungu kwenye kapu la wakana mungu. Si kila mhojaji ni mkana mungu.

Hivi kuna "anayeamini kwamba hakuna ushahidi wa kuwepo kwa Mungu"? Kwa hiyo hilo nalo ni suala la imani na si ujuzi?

"God of the gaps" anauwawa Mara nyingi Sana. Kuna story ya wa ujerumani nicha inasimulia jinsi kichaa alivyopita penye kundi LA wakana mungu na kuwaambia namna walivyomuua mungu kwa mikono yao...

Sijui tofauti ya mkana mungu maana ya atheist na mkosa uelewa wa kuwepo au kutokuwwpo kwa mungu agonists kwa kadri kuwepo kwa Mungu aliyeumba ulimwengu na vijazavyo.
 
Tunamuua mungu? Mungu anawezaje kuuliwa?

Hilo ni dhahiri.

Taratibu ndugu. Usiweke kila anayehoji uwepo wa mungu kwenye kapu la wakana mungu. Si kila mhojaji ni mkana mungu.

Hivi kuna "anayeamini kwamba hakuna ushahidi wa kuwepo kwa Mungu"? Kwa hiyo hilo nalo ni suala la imani na si ujuzi?

Yes...wapo waliokosa ushahidi wa kuwepo mungu.
Kama ni ujuzi uweke wazi lakini kadri ya ufahamu wangu hiyo ni imani...
 
Longolongo tupu wala haikusadii.
Contradiction ya uwezo, upendo na ujuzi wote ni kutokana na uzito wako wa kutafakari tuu.

Bado hujaweka hoja ya kimantiki kuonyesha namna ambavyo ulimwengu wenye uwezekano wa maovu unaondoa uwepo wa mungu zaidi ya kuzunguka zunguka na kariri zako zisizo mantiki za kuondoa uwepo wa mungu kwa kuwa ulimwengu ambao ungependa mungu aumbe haupo.
Ulivyo mkavu wa kureason. Umeambiwa unajuaje kuwepo kwa maovu ? Ni kanuni gani unatumia kutambua mema na mabaya na kanuni hiyo imetokana na nini / nani kiasi cha kuifanya wewe nami tuweze kuitumia kutambua maovu ?

Hutoi majibu lakini unataka upewe majibu kwa hoja ambazo kimsingi zinahitaji maelezo ya ziada kueleweka na kuweza kujibiwa.
Katika hakuna mungu mnatumia kanuni gani kutenga wema na ubaya ?
Hiyo kanuni nani/nini kimeiweka ?
Swali lako litajibiwa pale utaoifafanua kanuni ilitotumika na ni kanuni ya nani au nini ?

Mwenye upendo wote na uwezo wote anaachia anaowapenda wapatwe na mabaya au haachii?

Kwa nini mwanadamu aweze hata kufikiri kwamba hili ni baya, hapa nimeonewa, sijatendewa haki etc.

Hilo wazo tu lilitakiwa lisiwepo kama mungu mwenye uwezo wote na upendo wote yupo kweli.
 
Watakuambia intelligent design au god works in mysterious ways.

Hapo hapo watakuambia kuna free will.

Mtu akisema god works in mysterious ways anakwambia hajui analoluongelea, maana yake anaweza kuwa anaongea kwamba mungu yupo, wakati hayupo.
 
Kuna mtu kashaweza kuthibitisha mungu yupo?

Au bado longolongo kama kawaida?

Leo kimepiga kitu just outside Kathmandu. Tetemeko la ardhi.7.8 on the Richterscale. At least 15 aftershocks of 4.5 or higher on the Richter scale.Watu angalau 876 wameshakufa, wengine kibao wanahofiwa kuwa wamefukiwa.

I mean, do you understand what is the force of a 7.8 magnitude earthquake?

Kitu kimepiga Nepal, watu wamekufa mpaka India huko, watu 34 angalau.

Kitu kimepiga just outside of Kathmandu, watu wamekisikia mpaka Calcutta. Do you know how far is that? If not look that up on the map.

Why would a loving godhead allow that type of devastation?

Wiki iliyopita ilikuwa Papua New Guinea

Bado mnaamini mungu yupo tu?

Unataka mpaka lipige kwenu ndio ujue hizi habari zamungu mwenye uwezo wote na upendo wote ni uzushi tu?

Watu wakitaja vyao vinavyowafanya waseme mungu yupo unapinga na kusema hivyo vitu havithibitishi uwepo wa mungu hivyo walete ushahidi,ila ajabu wewe nae unakuja na habari za tetemeko la ardhi kama ndiyo kitu kinachokufanya useme hakuna mungu lakini huna ushahidi wa kuthibitisha kuwa hakuna.
 
Back
Top Bottom