Kweli Mungu ni muweza wa yote?


Unaongea sana..we umeniuliza mungu wangu ana upendo,uwezo na ujuzi? Nikakubali na nikakuongezea na sifa zake nyengine, sasa hiyo contradiction unayozungumzia wewe ni ipi?
 
Unaongea sana..we umeniuliza mungu wangu ana upendo,uwezo na ujuzi? Nikakubali na nikakuongezea na sifa zake nyengine, sasa hiyo contradiction unayozungumzia wewe ni ipi?

Kama huwezi kufuatilia argument lazima uandike "unaongea sana".

Una uwezo wa kufuatilia argument?



Kama ana uwezo, upendo na ujuzi wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanaweza kutokea?

Kitu gani kimemfanya asiumbe ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Kwa nini bakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Uwezo anao, upendo anao, ujuzi anao sababu ya kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani anayo, kwa nini hakuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
 

Hebu fafanua unaposema mabaya unakuwa una maana gani?una maana ya mambo ambayo mtu hayapendi yawepo ama kumtokea au maana gani hasa hebu eleza hayo mabaya hasa ni nini?

Pili ni kipi ambacho ndiyo unasema ni sababu ambayo mungu anayo ya kumfanya aumbe ulimwengu usio na mabaya?

Tatu inamaana mungu hana sababu ya kuumba ulimwengu huu kama ulivyo(kama unavyosema alivyo na sababu ya kuumba ulimwengu usio na mabaya)?
 

kumbuka kwamba mungu kampa mamlaka shetani ya kuitawala dunia basi nawe ni mmoja kati ya watu wanao tumiwa na shetani .nafikiri utakuwa umenipata
 
kumbuka kwamba mungu kampa mamlaka shetani ya kuitawala dunia basi nawe ni mmoja kati ya watu wanao tumiwa na shetani .nafikiri utakuwa umenipata

kama mungu wenu mwenyewe kampa mamlaka shetan ya kutawala dunia sas kwa nn uyo mungu wenu ana kiherehere cha kutishia watu kuwachoma moto wakimfata uyo shetan aliyepewa mamlaka na mungu mwenyewe??????
 
1. Must come from an agent yes , agent need not necessary come into being also.
2. God is eternal...
3.I am not talking about god of gaps

You have pre assumed that god also come into being to construct such a claim .
God is eternal.

on one side God is eternal..... on another side God must come from an agent..... someone is all mixed up the two are mutually exclusive event my friend.

just to be curious which agent is responsible for God creation as you claimed?
 
on one side God is eternal..... on another side God must come from an agent..... someone is all mixed up the two are mutually exclusive event my friend.

just to be curious which agent is responsible for God creation as you claimed?

Usidandie train kwa Mbele, nani kakwambia The God must come from agent ? Angalia kwa makini nilikuwa najibu swali....
Niambie nini chanzo cha uhai kwa ninyi hakuna Mungu ?
 

Mabaya ni yote ambayo yanawapata watu bila ya wao kupenda na yote wanayoyapenda ambayo hawayapati.

Mungu muweza yote alitakiwa kuwawezesha wote kutopatwa na wasiyoyataka na kupata yote wanayoyataka.

Zaidi ya hapo, kuna habari kama za watoto wanaokufa katika matetemeko ya ardhi, kwa magonjwa, kwenye vita etc. Kwa nini mungu kaumba ulimwengu unaoruhusu hayo huku wezi wanaoiba mali za umma wanaishi mpaka miaka tisini na kufa salama wakkwa usingizini?

Kuhusu sababu uliyoianzia kuiukia na upili, nakurudisha kwa mungu mwenyewe anavyosemwa. Wengine wanapotosha au kupotoka kwa kufikiri mimi nataka mungu aumbe uimwengu ninaotaka mimi. Lakini ukweli ni kwamba nataka mungu awe consistent tu. Kuwa consistent maana yake ni kutobadilika katika mambo ya msingi. Mungu mwenye upendo wote, ujuzi wote na uwezo wote, iki kuwa consistent na hizo tabia, anatakiwa awaepushe wote anaowapenda na mabaya. Akishindwa kuwaepusha na mabaya, anajitia doa katika uwezo, ujuzi ama upendo wake. Kwa kuwa mungu huyo ana control yote (ujuzi wote na uwezo wote) na upendo wote, hakuna sababu ya mabaya kuwezekana. Kwa nini yawezekane wakafi mungu muumba wa dunia ni ki yume na mabaya? Kama mungu hana mabaya kabisa, mabaya yametokea wapi? Na kama mabaya yamewezekana, ni kweli huyu mungu ana upendo wote? Upendo wote hauwezi hata kuwaza mabaya, sasa mungu kaumbaje ulimwengu wenye mabaya bila kuchafuliwa uoendo wake wote na mabaya haya? Hata ukitaka kumlaumu shetani, shetani katoka wapi? Mungu hakujua atakavyokuwa? Kwa nini alimuumba?

Habari yako uliyoianza kwa utatu kwa kuuliza kama mungu ana sababu ya kuumba uimaengu huu, wewe unaweza jutoa sababu gani ya mungu kuumba ulimwengu ambao una mabaya? Kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana kwa sababu hakuweza kuumba usio mabaya? Kama hakuweza basi hawezi yote. Ama aliweza bali hakutaka tu? Kama hakutaka basi hana upendo wote.
 

Huwezi kupata maana halisi ya maisha yako ikiwa utajiangalia wewe mwenyewe tu...waza nje ya box!
 

Mkuu kwanza tuwekane sawa na hiyo tafsiri yako ya mabaya. Kwa nilivyo elewa maana yake ni kwamba Mungu aondoe mambo yote ambayo watu hawataki yawatokee na kuwafanyania vile wanavyo taka au wanayoyataka wao.

Je hivyo nilivyoelewa mie ndivyo hasa ulivyokusudia au ndiyo ulivyo maanisha?
 

Wewe ndugu kubali tu kwamba huweI kujibu unachoulizwa!,maswala ya kusema ""tukabaliane hapo kwanza ni udhaifu tayar"",

We uliulizwa iweje mungu mwenye uwezo wote na upendo wote aache watoto wakifa wakiwa wachanga na katika majanga,unakwepa na kusema tukubaliane nini?.
 

Kuna niliposema tukubaliane??

We mfuata mkumbo bora utulie tu na ufinyu wako wa kuelewa mambo. We umeulizwa ilikuwaje ukaacha imani yako na ukawa mkanaji mungu? Et unasema:
"Sikuwa na imani yoyote kabla,..lakini inawezekana nilikuwa nafuata mkumbo tu.Kwamba kwa sababu baba na mama wamenikea katika
mazingira ya kikatoliki ama kiislam basi na mimi nikajikuta nafuata dini ama Imani hiyo."


Sasa sijui ndiyo ulijibu ni nini yani maelezo yanajipinga hata Kiranga atakuwa kaona hapo,yote ni kutotaka kueleza ni kipi kilichofanya kuacha dini yenu na kuwa wakanaji mungu,halafu mnajiita watu wenye uhuru wa mawazo.
 
Last edited by a moderator:

Tatizo hujui kusoma na kama unajua basi huelewi,nilipojibu hivyo nilimjibu kwa maswai yake mengine ambayo kwa wenye akili kama zako wameyauliza lakini kama umeelewa wala usingeuliza.Tulia ufundwe kijana.

Hata kama nikisema kwa nini niliacha imani yangu( kama unavyong'ang'ania) haita saidia kukupa uwezo wa kuthibitisha kwamba kuna mungu.Kwa maana hilo ndilo swali ambalo hujajibu tangu mwaka juzi sijui una tatizo gani.Ukipewa majibu unaaimba poo kwa kusema ohh tuelewane kwanza.Poor you!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwanza tuwekane sawa na hiyo tafsiri yako ya mabaya.

Ona unachoandika?,huu mwaka wa ngapi tunajadili humu mambo haya mapaka leo hujui tafsiri ya mabaya?.Tutarudia mpaka lini ?,kuna watoto humu?.
Je hivyo nilivyoelewa mie ndivyo hasa ulivyokusudia au ndiyo ulivyo maanisha?

Aisee ona huyu!,unajaza uzi tu! Hivi unajiitaje Greater thinker ikiwa hata kujibu hoja unauliza kama umeelewa swali?,Kuna mtu humu mwenye muda wa kurudiarudia maswali.Kama hukuelewa waache walioelewa wajibu.Unapoteza muda ndugu!.
 

Hiyo akili uliyonayo hata wewe mwenyewe haikutoshi,umeoneshwa utumbo uliyowahi kujibu matokeo yake unaandika tena utumbo.

Halafu unaposema sijathibitisha kama mungu yupo unakuwa unathibitisha ni jinsi gani ulivyokuwa ni mfuata mkumbo.
Na ndiyo umuhimu wa kuuliza kwanini uliacha dini yako na kuwa mkanaji mungu ndipo unapoonekana,kwa sababu wewe hadi sasa hauna uthibitisho wa kuthibitisha kuwa mungu hayupo na ndiyo maana nauliza ni kipi kilichokupelekea kusema hakuna mungu hali ya kuwa hakuna ushahidi huo.
 

Tulia upate faida ya kwanini mnaona hoja yenu haijibiwi...sawa mtoto?!
 

Idadi yenu inazidi kukua tu siku baada ya siku.Kweli hizi ni nyakati za mwisho
 

Yale yale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…