Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Then you haven't explained the contradiction I posed.
Huwezi kusema 1 + 1 = 7, lakini number theory haina tatizo kwa sababu 8 + 2 bado ni 10. Kwa sababu 8 + 2 = 8 + (1 + 1) and if 1 + 1 = 7, then 8 + 2 becomes 15.
Ili mungu wako asimame na kuwa valid, inabidi asiwe na tatizo ambalo halijatatuliwa popote. Mungu wako ni kama meli kibwa sana ya Titanic inayoelea, ikitoboka sehemu moja tu na maji yakaingia ndani, meli yote unazama.
Mimi nakuonyesha meli yako ina tobo, hii meli yote inazama kwa kuwa kuna sehemu ina tobo. Wewe unaniambia usijali hapo kwenye tobo, angalia huku kote hakuna tobo. Namna hiyo utazamisha meli.
Ukishaona 1 + 1 = 7 unaona kuna tatizo na number theor yote. Huwezi kusema hilo tusijali kwa sababu 8 + 2 bado ni 10.
Any contradiction on gods characteristics question the validity of the entire god idea.
What you need to do before declaring that god as valid is to remove that contradiction.
Unaongea sana..we umeniuliza mungu wangu ana upendo,uwezo na ujuzi? Nikakubali na nikakuongezea na sifa zake nyengine, sasa hiyo contradiction unayozungumzia wewe ni ipi?