Nkwesa Makambo
JF-Expert Member
- Aug 26, 2011
- 4,763
- 1,319
Kwa nini uovu uwe paired na wema?
Kwa nini huyo unayemsema kuwa mungu hakuumba ulimwengu ambao wema tu unawezekana, uovu hauwezekani kama mnavyosema alivyoumba ulimwengu ambao wanadamu tunaweza kwenda mbele tu katika muda, hatuwezi kurudi nyuma?
Tunarudi kule kule.
If complexity must be created, then god must have created man.
But because god created man, god must be even more complex than man.
Therefore god himself needs a creator. Because complexity must be created.
And his creator needs a creator, ad infinitum, ad absurdum.
Kwa hiyo kusema kanuni inahitaji muweka kanuni kutafanya hata mungu naye ahitaji muumbaji. Kwa nini uishie kwa mungu? That is a fiat, an assumption. A wrong a priori argument that takes an immense leap of faith into the unknown, without an inkling of reasonable or logical justification.
Kama kanuni inahitaji muweka kanuni, muweka kanuni katoka wapi?
Poa, hata nikilubali kwamba mungu ndiye kipomo cha uovu na uzuri, swali langu la msingi haliondolewi na kukubali huku.
Swali linauliza, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na ipendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote na upendo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Swali hili halitegemei kama mungu ndiye standard ya uzuri na uovu ama la. In fact, swali limeanza kwa kukupa benefit of the doubt na kukubali kwamba mungu ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote. By definition, from those qualities, mungu huyu ndiye standard ya uzuri na ubaya. Kwa hiyo hilo, kwa msingi wa swali, halina mjadala. Sijui mjadala unataka kuuanzishia wapi.
So katika ulimwengu wako ambao mungu ndiye standard ya uzuri na ubaya, mungu huyu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kwa nini kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wote ea kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani bila ya kupoteza chochote kile?
Hujajibu swali hili, unajalibu kuliepa kwa habari ambazo hata hazina dispute katika msingi wa swali langu.
Hakuna kurudi kule kule, ni mbinu za kitoto kukwepa kujibu hoja.
Umetengeneza hoja za Complexity must be creates and so forth wewe mwenyewe unahitimisha kwamba God must be created!
Tatizo la hoja yako uliyotunga ni assumption kwamba God is a creation, labda uandike kwanini umehitimisha kwamba God ni ceartion ili upate hiyo ad infinitum kwa ajili ya kinga kwa hoja mfu !
Ama kuhusu swali la kwanini Mungu awake ulimwengu wa aina inayokuudhi lina maana umejua kuwa yupo kwa kuamini uwepo wa kitu kiitwacho wema na ubaya. Sasa kwa sababu hiyo swali linakosa nguvu kwa kuwa tayari yupo, labda sasa uniambie unahoji kuhusu upendo, nguvu na uwezo wote ; na hiyo ni hoja mpya na sitegemei itoke kwa atheist...
Huwezi kuona dispute kwa kuwa unapouliza maswali unamajibu unatotegemea ukipewa majibu usiyotegemea unazima kitengo cha mantiki na kuweka habari ambazo unafikiri zitatuhamisha kwenye hoja ili kuanzisha mjadala mwingine.