Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Nakuuliza kuhusu uthibitisho, unajibu kuhusu imani.
Huelewi uthibitisho wala imani.
Kwanini unaona wewe tu ndiyo unayetakiwa kupewa uthibitisho kwa vitu usemavyo havipo kwa kutumia hisia zako bila kutoa ushahidi wenye kuthibitisha kwa kutokuwepo kwa hivyo usemavyo havipo?
Halafu pia neno imani ni neno ambalo mmejaribu sana kulitolea tafsiri potofu ili kuendana na hisia zenu lakini mmeshindwa, hivyo kuwa mpole unapolitumia hilo neno