Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Mungu akiwa na sifa zote sawa, akipata maswali yanayoharibu uungu wake kwenye sifa moja tu, uungu wote unaharibika.
Huwezi kisema kwamba 1 + 1 = 3, halafu ukasema kwamba number theory bado ina hold kwa sababu namba nyingine zote zinajumlishika sawa.
Ukishapata 1 + 1 = 3, hiyo maana yake number theory yote hai make sense.
Ukiulizwa kuhusu sifa A ya mungu, jibi swali kuhusu sifa A. Usiseme mbona sifa nyingine zote ziko sawa. Hujaulizwa kuhusu sifa nyingine zote kuwa sawa.
Binadamu ana uovu. Hakuba pahali ambapo binadamu amedai au kudaiwa kwamba hana uovu as far as I know. Unachotaka kusema zaidi ni nini kuhusu hilo?
Wewe ulitoa tafsiri yako ya mabaya,kwamba ni mambo yale yanayompata mtu ambayo hataki yampata na ukasema kwa sababu ya sifa ya upendo ya Mungu ilitakiwa kwamba wawe hawapatwi na wasiyoyataka na wapate wanavyotaka wao. Ndipo nikakwambia hilo jambo litakuwa ni kinyume na sifa ya Mungu,kwa sababu Mungu ndiye mwenyekufanya alitakalo na kutofanya asilolitaka. Ndiyo maana nikakwambia tatizo hutaki kuzisikia sifa zengine za Mungu ndiyo matatizo yenyewe kama haya.
Ujue hata huko kuumba nayo ni sifa ktk sifa za Mungu ila sijawahi kuona ukiitaja hii,unaposema uungu wake utaharibika kwa kupata maswali yenye kuharibu sifa yake moja,hili jambo linachekesha.
Mie nimekuuliza swali jibu swali.