Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Mungu akiwa na sifa zote sawa, akipata maswali yanayoharibu uungu wake kwenye sifa moja tu, uungu wote unaharibika.

Huwezi kisema kwamba 1 + 1 = 3, halafu ukasema kwamba number theory bado ina hold kwa sababu namba nyingine zote zinajumlishika sawa.

Ukishapata 1 + 1 = 3, hiyo maana yake number theory yote hai make sense.

Ukiulizwa kuhusu sifa A ya mungu, jibi swali kuhusu sifa A. Usiseme mbona sifa nyingine zote ziko sawa. Hujaulizwa kuhusu sifa nyingine zote kuwa sawa.

Binadamu ana uovu. Hakuba pahali ambapo binadamu amedai au kudaiwa kwamba hana uovu as far as I know. Unachotaka kusema zaidi ni nini kuhusu hilo?

Wewe ulitoa tafsiri yako ya mabaya,kwamba ni mambo yale yanayompata mtu ambayo hataki yampata na ukasema kwa sababu ya sifa ya upendo ya Mungu ilitakiwa kwamba wawe hawapatwi na wasiyoyataka na wapate wanavyotaka wao. Ndipo nikakwambia hilo jambo litakuwa ni kinyume na sifa ya Mungu,kwa sababu Mungu ndiye mwenyekufanya alitakalo na kutofanya asilolitaka. Ndiyo maana nikakwambia tatizo hutaki kuzisikia sifa zengine za Mungu ndiyo matatizo yenyewe kama haya.
Ujue hata huko kuumba nayo ni sifa ktk sifa za Mungu ila sijawahi kuona ukiitaja hii,unaposema uungu wake utaharibika kwa kupata maswali yenye kuharibu sifa yake moja,hili jambo linachekesha.

Mie nimekuuliza swali jibu swali.
 
Wanaodai mungu yupo hawajathibitisha kwamba yupo, hawajatueleza imekuwaje mungu kaumba ulimwengu huu na sio mzuri zaidi usiowezekana kuwa na ubaya.

Mungu ni idea iliyopitwa na wakati. Iliyotungwa enzi za ujinga na kabla ya uchunguzi kuchukua hatamu katika maisha ya watu.

Ndiyo maana tunaona simple logical consistency tests mungu anashindwa kupasi.

Unaruhusiwa kuamini utakavyo,lakini ukumbuke usahihi wa unachokiamini haupimwi na imani kubwa uliyonayo kwa hicho unachokiamini.

Jiulize kwanini unapata shida kueleza kipi kilichokufanya imani uliyokuwa nayo mwanzo na kuamua kuwa atheist? Je,mambo yanayokufanya uzidi kuona upo sahihi kwa kusema hakuna mungu je,ndiyo mambo yaliyokufanya uache imani uliyokuwanayo mwanzo kabla ya kuwa atheist?
 
Uko sahihi 100%,mungu ni Idea inayowakilisha uoga wa mwanadamu!,hasa linapokuja swala la kifo,ni Idea ya kutunga inayopoteza mashiko kadri muda unavyosonga.

Faith and Religion will remain as a wishful thinking! Havina maana wala nafasi katika Ulimwengu huu kwa sasa.Enzi za ujinga zimepita ambapo mtu mmoja aliweza kuamka na kusema eti mungu kamtokea pangoni akiwa na mkewe! Kisha kuwalazimisha watu wote kukubali eti yeye ni mtume wa mungu! Na et kapewa maagizo na mungu!.

Hizi sio enzi za ujinga ambapo mtu mmoja ama kikundi kiliweza kuinuka na kusema mungu wa mababu zao ndiye mungu sahihi na wa watu wote!

Kwa kukosekana ushahidi wenye kuthibitisha ujinga unaousema ndiyo maana leo hadi waalimu waliyokufundisha bado wanao huo ujinga,na kusema hakuna mungu si jambo japya ambalo limeanza juzi tu kama unavyofikiri ni tokea kipindi cha huo ujinga lilikuwepo.
 
Kama ni muweza wa yote lakini si kwenye dunia hii, basi si muweza yote huyo.

Maana hawezi yote kwenye dunia hii.

Ni muweza wa yote hata kwenye Dunia hii ila amemuachia Shetani Ibilisi afanye yake then yeye (Mungu) akirudi amuangamize Shetani.

Ni sawa na U.S.A. leo ingeamua iache Dunia iende yenyewe bila ya kuwa na "kiongozi". Ukweli ungebaki palepale kuwa U.S.A. ina uwezo wa kuwa "kiongozi" wa Dunia ila haijawa kwasababu ambazo wangekuwa wanazijua wao wenyewe.
 
Unaruhusiwa kuamini utakavyo,lakini ukumbuke usahihi wa unachokiamini haupimwi na imani kubwa uliyonayo kwa hicho unachokiamini.

Jiulize kwanini unapata shida kueleza kipi kilichokufanya imani uliyokuwa nayo mwanzo na kuamua kuwa atheist? Je,mambo yanayokufanya uzidi kuona upo sahihi kwa kusema hakuna mungu je,ndiyo mambo yaliyokufanya uache imani uliyokuwanayo mwanzo kabla ya kuwa atheist?

Unaposema napata shida kuelezea kipi kilichonifanya imani niliyokuwa nayo mwanzo na kuamua kiwa atheist naona unakuwa incoherent kwani sentensi haina maana.

Natumai unamaanisha kipi kilinifanya niache imani niliyokuwa mwanzo.

Kama ni hivyo, sielewi kwa nini unasema napata shida wakati ulishaniuliza swali hili na nikakujibu vizuri tu, kimsingi ukasema umeingua choo cha kike na hukunikusudia mimi.

Sasa unaingua choo cha kike tena?
 
Ni muweza wa yote hata kwenye Dunia hii ila amemuachia Shetani Ibilisi afanye yake then yeye (Mungu) akirudi amuangamize Shetani.

Ni sawa na U.S.A. leo ingeamua iache Dunia iende yenyewe bila ya kuwa na "kiongozi". Ukweli ungebaki palepale kuwa U.S.A. ina uwezo wa kuwa "kiongozi" wa Dunia ila haijawa kwasababu ambazo wangekuwa wanazijua wao wenyewe.

Kwa nini mungu amuachie shetani afanye mabaya kama yeye kweli ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Unamfananisha mungu wako na USA? USA haina uwezo wote, haina ujuzi wote na haina upendo wote. Inaruhusiwa kuwa na mapungufu kwa sababu hizo.

Mungu wako, kabla hajaumba ulimwengu, kabla shetani hajakuwepo, huyu mungu alipokuwa anaamua aumbe ulimwengu gani, alikuwa na uchaguzi wa kuumba dunia ambayo haiwezekaniki kuwa na shetani wala mabaya, kwa nini hakuchagua kuumba ulimwengu huo?
 
Inaamaana mtu asiseme kuwa imani yake kama ni ya kweli?

Unaruhusiwa kusema kwamba mimi naamini Yesu Kristo kuwa mungu, au mimi naaamini allah kuwa mungu.

Huo ni ukweli wako. Katika mawazo yako, unaamini kwamba Yesu Kristo ni mungu, au Allah ni mungu.

Atakayekubishia imani yako, ama haelewi imani, au ana matatizo mengine.

Lakini unapoanza kusema hakuna njia na kweli na izima isipokuwa Yesu tu, au la ila ai lalah (hakuna mungu isipokuwa Allah) unaondoka katika imani yako binafsi kama ya kwako binafsi tu na kuelezea kwamba imani hiyo ni ukweli universal kwa wote.

Ukishaingia katika universal declarations inabidi tuanze kuuliza maswali.
 
Hakujua kwasababu Mungu hakutuumba kama machines/robots. Ametupa uwezo wa kuchagua.

Mungu siyo dictator.

Jibu lako linamaanisha God is not all knowing.

Pia unasema hajatuumba kama machines/robot na katupa uwezo wa kuchagua, if only god is not all knowing.

If god is all knowing, then tunakuwa machines/robots with no free will.
 
Kwa nini mungu amuachie shetani afanye mabaya kama yeye kweli ana uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?

Unamfananisha mungu wako na USA? USA haina uwezo wote, haina ujuzi wote na haina upendo wote. Inaruhusiwa kuwa na mapungufu kwa sababu hizo.

Mungu wako, kabla hajaumba ulimwengu, kabla shetani hajakuwepo, huyu mungu alipokuwa anaamua aumbe ulimwengu gani, alikuwa na uchaguzi wa kuumba dunia ambayo haiwezekaniki kuwa na shetani wala mabaya, kwa nini hakuchagua kuumba ulimwengu huo?
Sumu anasema mungu hakujua kama shetani atamgeuka.

Tayari ameshaonyesha huyo mungu hajui vitu vyote. God is not all knowing. Hajui future.

Hapo kuna mungu tena au umebaki ubishi tu for the sake of it.
 
Last edited by a moderator:
Sumu anasema mungu hakujua kama shetani atamgeuka.

Tayari ameshaonyesha huyo mungu hajui vitu vyote. God is not all knowing. Hajui future.

Hapo kuna mungu tena au umebaki ubishi tu for the sake of it.

Hahaha,

Mungu mjua yote ambaye hakujua kwamba shetani atamgeuka.

Hilarious.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha,

Mungu mjua yote ambaye hakujua kwamba shetani atamgeuka.

Hilarious.

They still don't see how contradicting that is. This is what we're dealing with.

Imani juu ya huyu personal god is outdated. Watu hata wajaribu Eastern philosophies -- impersonal god.
 
Kwanza ningependa nijue jinsi mnavyoweza kum-Quote mtu hoja kwa hoja ili nikujibu vizuri ila kwavile sijui nitajaribu kuyatenganisha majibu kwa aya.

Mungu alituumba kwa nia njema tuishi maisha yenye amani na yasiyo na kufa, shetani akaja akasema njia ya Mungu siyo sahihi njia yake yeye (shetani) ndiyo sahihi. Kumbuka wakati hayo yanatokea Malaika wengine walikuwa wakitazama. Mungu angeweza kumuangamiza shetani wakati uleule lakini wale Malaika wengine waliokuwa bado wako upande wa Mungu kama Mungu angetumia nguvu wangehisi njia ya Mungu kweli ina makosa ndo maana kamuangamiza shetani ili ukweli usijulikane.

Kwahiyo alichokifanya Mungu ni kumruhusu shetani aonyeshe njia yake yeye ili tujionee (wanadamu na malaika) ni nani aliyekuwa sahihi, Mungu au shetani. Na hadi Dunia ilipofikia leo hii ni wazi kabisa njia ya Mungu ndo ilikuwa sahihi. Wewe mwenyewe unalalamika Dunia ilivyo leo simply because njia ya shetani siyo sahihi, ile njia ya Mungu ndo ilikuwa sahihi. Kwahiyo baada ya kudhihirika njia sahihi wakati utafika Mungu atauondoa kabisa utawala wa shetani na tutaanza maisha mapya ya Dunia mpya.

Sikumfananisha Mungu na U.S.A. I was just trying to elaborate. Wote hapa tunafahamu U.S.A. ndiye police wa Dunia yetu kwasababu ya sababu zake inazozijua yenyewe. U.S.A. ingeweza kuamua isiwe police wa Dunia kama wangekuwa na sababu zao. Hali kadhalika kwa Mungu, aliamua kumuacha shetani atawale Dunia hii kwasababu alikuwa na sababu zake ambazo nimeshakuelezea.

Mkuu Kiranga, Mungu alishauumba huo ulimwengu usiyo na mabaya wala shetani. Shetani alikuja baadaye (maana ya neno shetani ni mpinzani) kwasababu Mungu alitupa uwezo wa kuchagua mazuri na mabaya. Shetani alikuwa ni malaika mwema hapo mwanzoni kabla hajaamua kuasi. Mungu hakutuumba kama robots/machines. Mungu siyo dictator.

Ahsante.
 
Last edited by a moderator:
Sumu anasema mungu hakujua kama shetani atamgeuka.

Tayari ameshaonyesha huyo mungu hajui vitu vyote. God is not all knowing. Hajui future.

Hapo kuna mungu tena au umebaki ubishi tu for the sake of it.

Hahaha,

Mungu mjua yote ambaye hakujua kwamba shetani atamgeuka.

Hilarious.

Wakuu, nadhani hiyo "kujua yote" mnaitafsiri vibaya.
 
They still don't see how contradicting that is. This is what we're dealing with.

Imani juu ya huyu personal god is outdated. Watu hata wajaribu Eastern philosophies -- impersonal god.

Hakuna contradiction yoyote hapo.

Unaji-Contradict wewe mwenyewe.

Kwa mzazi aliyejipanga vyema akiamua kuwa na mtoto atakuwa "ameshayajua yote" kuhusu huyo mtoto kutilia ndani atasoma vipi, atakula vipi na kuishi vipi kwa ujumla wake ila mwisho wa siku mwamuzi wa yote ni mtoto mwenyewe.

CC; Kiranga.
 
Umesema mungu hakujua kama shetani atamgeuka. Hii inamaanisha mungu hajui vitu vitakavyotokea. God is not all knowing.

Mzazi wa mtoto hajui vitu vitakavyomtokea mtoto kwa sababu hana uwezo huo wa kujua mambo yajayo. Hata mtoto mwenyewe hajui mambo yatakayomtokea kwa sababu yeye pia hana uwezo huo.

Sifa moja ya mungu ni kwamba ni mjuzi wa yote. God is all knowing. Mfano, Je mungu anajua kama Sumu ataenda motoni au peponi? Au kama kesho Sumu atasafiri au la?

Unaposema hakujua, unaua sifa moja ya huyu mungu kwamba god is not all knowing.

Unaelewa sasa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom