Madhara ya kukariri yanaonekana wazi kabisa. Habari ya incest kuwa dhambi au dhambi nyingine yoyote hutambulika kwa kuwepo kwa law kuhusu hicho ukiitacho dhambi. Kama hakuna sheria inakokataza kula kitimoto utasemaje kula kitimoto ni kosa ?
Una kichwa kidogo sana lakini nitajitahidi kukuelewesha.
Unaposema hakukuwa na sheria maana yake kula kitimoto ilikuwa ni sawa, (incest ilikuwa ni sawa ni si dhambi kwa sababu hakukuwa na sheria).
Lakini sheria ikaletwa kwamba incest si sawa hivyo incest ikawa dhambi.
Hapo kuna vitu viwili, kwamba jambo linaweza kuwa jema leo na baya kesho. Hivyo mungu hana absolute set of rules zinazosimamia matendo yetu kiasi kwamba jambo moja linakuwa dhambi jana, leo na kesho.
Unasema uovu ni relative, not absolute. This shows god is fickle, not sure and certainly cannot predict the future nor is he/she/it intelligent enough to design an intelligent system that abides by a set of absolute rules.
In other words, kwa anayeelewa theolojia, umeshamkana huyo mungu wako. Tatizo hujui na huelewi.
Kweli atheism Ina assassinate brain ya believers wake.
Atheism is a lack of belief, not a belief.
Hivyo hivyo dhambi ya incest inatambulika panapokuwepo na moral laws kuhusu jambo husika. Moral laws ziliwekwa na Muumba na Mara alipoziwekwa incest ikawa ni dhambi according to the moral laws applicable. Kigumu nini kushindwa kuelewa hoja wazi namna hii ?
Kigumu ni wewe kushindwa kuelewa implication ya unachokisema.
Unaposema hakukuwa na moral laws juu ya incest, unamaanisha incest ilikuwa ni sawa. Zilipokuja hizo moral laws then incest ndiyo ikawa dhambi.
Unachosema ni kwamba kabla ya kuja amri kumi za mungu, kuua, kusema uongo, kudharau wazazi etc zilikuwa si dhambi kwa sababu amri za mungu hazikuwepo. Unaona argument yako inavyokuwa fyongo.
Unachosema ni kwamba moral laws are not absolute. You are simply saying there is no such thing as a sin.
Soma tena mara mbili labda utaelewa.