Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Ni muweza wa yote hata kwenye Dunia hii ila amemuachia Shetani Ibilisi afanye yake then yeye (Mungu) akirudi amuangamize Shetani.

Ni sawa na U.S.A. leo ingeamua iache Dunia iende yenyewe bila ya kuwa na "kiongozi". Ukweli ungebaki palepale kuwa U.S.A. ina uwezo wa kuwa "kiongozi" wa Dunia ila haijawa kwasababu ambazo wangekuwa wanazijua wao wenyewe.

Hakujua kwasababu Mungu hakutuumba kama machines/robots. Ametupa uwezo wa kuchagua.

Mungu siyo dictator.

Hakujua kuwa atamgeukq baadae?

This is too low kijana! Kama umekiri kwamba mungu(kama yupo)hakujua kwamba shetani atamsaliti basi na mimi naufunga mjadala!
 
Hakuna contradiction yoyote hapo.

Unaji-Contradict wewe mwenyewe.

Kwa mzazi aliyejipanga vyema akiamua kuwa na mtoto atakuwa "ameshayajua yote" kuhusu huyo mtoto kutilia ndani atasoma vipi, atakula vipi na kuishi vipi kwa ujumla wake ila mwisho wa siku mwamuzi wa yote ni mtoto mwenyewe.

CC; Kiranga.

Mzazi hata hajui kama mtoto ni wake au si wake. Hiyo DNA yenyewe haina 100 percent certainty.

Utasemaje mzazi atajua yote?

Wanasema you can plan a pretty picnic, but you can't predict the weather.

Unaweza kupanga mwanao awe an Olympian runner, akazaliwa ana asthma hawezi hata ku trot.

Mzazi atajipanga vipi ili kujua yote?

Unafahamu "kujua yote" (omniscience) ni nini au unajibu tu?
 
Last edited by a moderator:
Unaposema napata shida kuelezea kipi kilichonifanya imani niliyokuwa nayo mwanzo na kuamua kiwa atheist naona unakuwa incoherent kwani sentensi haina maana.

Natumai unamaanisha kipi kilinifanya niache imani niliyokuwa mwanzo.

Kama ni hivyo, sielewi kwa nini unasema napata shida wakati ulishaniuliza swali hili na nikakujibu vizuri tu, kimsingi ukasema umeingua choo cha kike na hukunikusudia mimi.

Sasa unaingua choo cha kike tena?

Umenifananisha mkuu sijawahi kusema "choo cha kike".
 
Unaruhusiwa kusema kwamba mimi naamini Yesu Kristo kuwa mungu, au mimi naaamini allah kuwa mungu.

Huo ni ukweli wako. Katika mawazo yako, unaamini kwamba Yesu Kristo ni mungu, au Allah ni mungu.

Atakayekubishia imani yako, ama haelewi imani, au ana matatizo mengine.

Lakini unapoanza kusema hakuna njia na kweli na izima isipokuwa Yesu tu, au la ila ai lalah (hakuna mungu isipokuwa Allah) unaondoka katika imani yako binafsi kama ya kwako binafsi tu na kuelezea kwamba imani hiyo ni ukweli universal kwa wote.

Ukishaingia katika universal declarations inabidi tuanze kuuliza maswali.

Kwahiyo hata wewe unaposema suala la mungu ni uzushi huwa unakosea na unapaswa kuulizwa maswali.
 
Bado sijapata tafsiri ya maovu,nimeuliza humu kuwa je,sie binadamu tunapowauwa wanyama na kuwala nao ni uovu au sio uovu?
 
Hujapata tafsiri ya maovu au unaiwekea makengeza tu hutaki kuisoma?

Sijakwambia kwamba katika ulimwengu ulioumbwa na mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote, kiumbe yoyote kupatwa na chochote asichokitaka na kukosa chochote anachokitaka ni uovu?

Sinakwambia kwa jibu lisilo mjadala wala milinganyo kwamba binadamu kuua wanyama katika ulimwengu huu ni uovu?

Unataka jibu gani zaidi?
 
Bado sijapata tafsiri ya maovu,nimeuliza humu kuwa je,sie binadamu tunapowauwa wanyama na kuwala nao ni uovu au sio uovu?

Uovu ni relative term kutegemea na mila, desturi na imani za jamii husika.

Unapouliza kama kuua wanyama ni uovu au si uovu, swali lako linakuwa vague.

As I have mentioned kwamba uovu ni relative, namaanisha kwamba kitendo cha kuua mnyama na kumla ni uovu au si uovu kutegemeana na jamii moja na nyingine.

Kwa mfano kwa mmasai hiyo si uovu. Ni mfumo wa maisha yao kula nyama.

Lakini kwa a Jainist monk, huo ni uovu kwani ni kinyume na imani yao.

Ndiyo maana nasema swali liko vague. Unapouliza kama ni uovu, you have to be specific. Je ni uovu with respect to what?

Kuna post mtu alisema kwamba incest ilikuwa si dhambi lakini leo ni dhambi. Hapo anaonyesha dhambi ya incest ni relative with time na mazingira and not absolute. This is a point that shows God is not intelligent in the first place.

Hii inaonyesha suala la "uovu" ni social construct. Jamii husika inaeka mila na desturi zake in place zinazosema jambo fulani ni uovu au si uovu. Si mungu.

Hivyo kitu kinapokuwa relative to that point, then in the real sense, it does not exist.

Mpaka sasa hatupewa jibu juu ya Problem of evil with respect to Nepal's earthquake.

Mnaruka na kukimbia maswali. Pope Francis alikua mkweli alipoulizwa hili swali akasema hajui. Hapa ni kurukaruka bila kutoa majibu.
 
Madhara ya kukariri yanaonekana wazi kabisa. Habari ya incest kuwa dhambi au dhambi nyingine yoyote hutambulika kwa kuwepo kwa law kuhusu hicho ukiitacho dhambi. Kama hakuna sheria inakokataza kula kitimoto utasemaje kula kitimoto ni kosa ?
Kweli atheism Ina assassinate brain ya believers wake.

Hivyo hivyo dhambi ya incest inatambulika panapokuwepo na moral laws kuhusu jambo husika. Moral laws ziliwekwa na Muumba na Mara alipoziwekwa incest ikawa ni dhambi according to the moral laws applicable. Kigumu nini kushindwa kuelewa hoja wazi namna hii ?
 
Jamii IPI ambao binadamu ni kitoweo halali hata mahotelini ni sehemu ya menu ?
 
Mpaka sasa.

Hakuna aliyethibitisha kwamba mungu yupo.

Hakuna aliyefafanua imekuwaje mungu mwenyebuwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao unaruhusu uovu.

Je, aliweza kuumba ulimwengu ambao haunanuovu ila hakutaka tu?

Kama aliweza kuumba ilimwengu huo na hakutaka tu, basi hana upendo wote.

Au alitaka kuumba ulimwengu huo ila hakuweza tu?

Kama alitaka ila hakuweza tu, basi huyo si muweza yote.

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote ambaye hapo hapo kaishia kuumba ulimwengu huu wenye mabaya na maovu ni contradiction ambayo haijapatiwa ufumbuzi mpaka sasa.
 
Problem of evil in respect to Nepal " Galileo alisema ni kitu cha ajabu Sana kufikiri Mungu alituumba na kuweka ubongo na fikra then atukataze kutumia"
Wewe umeamua kutokutumia ubongo na fikra ndiyo sababu unaona problem of evil kwenye Nepal 7.8 quake ...
Huoni uovu kwenye theruji inapoanguka simply kwamba binadam kwa kutumia ubongo na akili kujihami dhidi ya theruji ! Siku binadam akijua namna ya kujihami kwa kutambua maeneo ambayo kimsingi ni maeneo ya quake na akagundua umuhimu wa quake kiuchumi na kiecolojia sidhani Kama utakuwa na swali la namna hiyo.
Hoja ya "problem of evil" imekuwa Ina evolve kadri ya hoja za kuichambua zinapopatikana kutoka kwa waamini Mungu na wanafalsafa.
Kuiandika problem of evil with respect to Nepal's earthquake bado inakuwa vague japo kwa kuwa na assassinated brain huwezi ona...
Kuna mambo mengi ambayo yanahusika na ukiitacho problem of evils ambayo ni matokeo ya maamuzi na matendo ya kibinadam.
With assassinated brain huwezi kutafakari zaidi ya kuangalia tetemeko ambalo ni natural na maafa ambayo mengine ni makosa ya kibinadam ambapo binadam angetumia akili ipasavyo ingewezekana kabisa kukawepo na tetemeko pasipo kuwepo maafa.
Narejea tena kukumbusha, hatutumii ubongo wa papa Francis katika kijenga hoja zetu.
 
Madhara ya kukariri yanaonekana wazi kabisa. Habari ya incest kuwa dhambi au dhambi nyingine yoyote hutambulika kwa kuwepo kwa law kuhusu hicho ukiitacho dhambi. Kama hakuna sheria inakokataza kula kitimoto utasemaje kula kitimoto ni kosa ?

Una kichwa kidogo sana lakini nitajitahidi kukuelewesha.

Unaposema hakukuwa na sheria maana yake kula kitimoto ilikuwa ni sawa, (incest ilikuwa ni sawa ni si dhambi kwa sababu hakukuwa na sheria).

Lakini sheria ikaletwa kwamba incest si sawa hivyo incest ikawa dhambi.

Hapo kuna vitu viwili, kwamba jambo linaweza kuwa jema leo na baya kesho. Hivyo mungu hana absolute set of rules zinazosimamia matendo yetu kiasi kwamba jambo moja linakuwa dhambi jana, leo na kesho.

Unasema uovu ni relative, not absolute. This shows god is fickle, not sure and certainly cannot predict the future nor is he/she/it intelligent enough to design an intelligent system that abides by a set of absolute rules.

In other words, kwa anayeelewa theolojia, umeshamkana huyo mungu wako. Tatizo hujui na huelewi.

Kweli atheism Ina assassinate brain ya believers wake.

Atheism is a lack of belief, not a belief.

Hivyo hivyo dhambi ya incest inatambulika panapokuwepo na moral laws kuhusu jambo husika. Moral laws ziliwekwa na Muumba na Mara alipoziwekwa incest ikawa ni dhambi according to the moral laws applicable. Kigumu nini kushindwa kuelewa hoja wazi namna hii ?

Kigumu ni wewe kushindwa kuelewa implication ya unachokisema.

Unaposema hakukuwa na moral laws juu ya incest, unamaanisha incest ilikuwa ni sawa. Zilipokuja hizo moral laws then incest ndiyo ikawa dhambi.

Unachosema ni kwamba kabla ya kuja amri kumi za mungu, kuua, kusema uongo, kudharau wazazi etc zilikuwa si dhambi kwa sababu amri za mungu hazikuwepo. Unaona argument yako inavyokuwa fyongo.

Unachosema ni kwamba moral laws are not absolute. You are simply saying there is no such thing as a sin.

Soma tena mara mbili labda utaelewa.
 
Jamii IPI ambao binadamu ni kitoweo halali hata mahotelini ni sehemu ya menu ?

Suala la binadamu kuwa kitoweo limetoka wapi? Nimehoji juu ya earthquake ya Nepal, napewa mfano wa binadamu kuuwa wanyama kama kitoweo. Does that justify an earthquake in Nepal that has killed 5000+ people?

Kuhusu canibalism, kawasome watu wa Papua New Guinea. Fungua akili yako kidogo.
 
Problem of evil in respect to Nepal " Galileo alisema ni kitu cha ajabu Sana kufikiri Mungu alituumba na kuweka ubongo na fikra then atukataze kutumia"
Wewe umeamua kutokutumia ubongo na fikra ndiyo sababu unaona problem of evil kwenye Nepal 7.8 quake ...
Huoni uovu kwenye theruji inapoanguka simply kwamba binadam kwa kutumia ubongo na akili kujihami dhidi ya theruji ! Siku binadam akijua namna ya kujihami kwa kutambua maeneo ambayo kimsingi ni maeneo ya quake na akagundua umuhimu wa quake kiuchumi na kiecolojia sidhani Kama utakuwa na swali la namna hiyo.
Hoja ya "problem of evil" imekuwa Ina evolve kadri ya hoja za kuichambua zinapopatikana kutoka kwa waamini Mungu na wanafalsafa.
Kuiandika problem of evil with respect to Nepal's earthquake bado inakuwa vague japo kwa kuwa na assassinated brain huwezi ona...
Kuna mambo mengi ambayo yanahusika na ukiitacho problem of evils ambayo ni matokeo ya maamuzi na matendo ya kibinadam.
With assassinated brain huwezi kutafakari zaidi ya kuangalia tetemeko ambalo ni natural na maafa ambayo mengine ni makosa ya kibinadam ambapo binadam angetumia akili ipasavyo ingewezekana kabisa kukawepo na tetemeko pasipo kuwepo maafa.
Narejea tena kukumbusha, hatutumii ubongo wa papa Francis katika kijenga hoja zetu.

Pope Francis amesoma falsafa na theolojia zaidi yako wewe mmatumbi.

Anapoulizwa swali la problem of evil na kusema hajui inabaki pale pale kwamba hili ni swali zito katika imani juu ya uwepo wa mungu.

Katika makelele uliyoandika hapo juu, hakuna sehemu umesema kama ungezuia earthquake au la.

Ungekuwa na uwezo wa kuzuia mauaji ya Rwanda 1994, ungezuia au ungeacha?

Ungekuwa na uwezo wa kuzuia a 7.8 earthquake in Nepal, ungezuia au ungeacha?

Mind you wewe ndiyo unasema una upendo juu ya watu wako.

Sasa ungezuia au ungeacha? A very simple question. Hutaki kujibu kwa sababu jibu litaonyesha hicho inachoita mungu ni katili zaidi ya makatili.
 
Hakuna aliyefafanua imekuwaje mungu mwenyebuwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akaumba ulimwengu ambao unaruhusu uovu.

Je, aliweza kuumba ulimwengu ambao haunanuovu ila hakutaka tu?

Kama aliweza kuumba ilimwengu huo na hakutaka tu, basi hana upendo wote.

Au alitaka kuumba ulimwengu huo ila hakuweza tu?

Kama alitaka ila hakuweza tu, basi huyo si muweza yote.

Mungu muweza yote, mjuzi wa yote ambaye hapo hapo kaishia kuumba ulimwengu huu wenye mabaya na maovu ni contradiction ambayo haijapatiwa ufumbuzi mpaka sasa.

Hakuna atakayetoa majibu ya haya maswali.

Kibaya zaidi, hawa wanaosema wana morals kwa sababu wanaamini kuna mungu, hawatakubali hata kwamba hawana majibu.

Honesty! Talk about honesty!
 
Una kichwa kidogo sana lakini nitajitahidi kukuelewesha.

Unaposema hakukuwa na sheria maana yake kula kitimoto ilikuwa ni sawa, (incest ilikuwa ni sawa ni si dhambi kwa sababu hakukuwa na sheria).

Lakini sheria ikaletwa kwamba incest si sawa hivyo incest ikawa dhambi.

Hapo kuna vitu viwili, kwamba jambo linaweza kuwa jema leo na baya kesho. Hivyo mungu hana absolute set of rules zinazosimamia matendo yetu kiasi kwamba jambo moja linakuwa dhambi jana, leo na kesho.

Unasema uovu ni relative, not absolute. This shows god is fickle, not sure and certainly cannot predict the future nor is he/she/it intelligent enough to design an intelligent system that abides by a set of absolute rules.

In other words, kwa anayeelewa theolojia, umeshamkana huyo mungu wako. Tatizo hujui na huelewi.

Atheism is a lack of belief, not a belief.

Kigumu ni wewe kushindwa kuelewa implication ya unachokisema.

Unaposema hakukuwa na moral laws juu ya incest, unamaanisha incest ilikuwa ni sawa. Zilipokuja hizo moral laws then incest ndiyo ikawa dhambi.

Unachosema ni kwamba kabla ya kuja amri kumi za mungu, kuua, kusema uongo, kudharau wazazi etc zilikuwa si dhambi kwa sababu amri za mungu hazikuwepo. Unaona argument yako inavyokuwa fyongo.

Unachosema ni kwamba moral laws are not absolute. You are simply saying there is no such thing as a sin.

Soma tena mara mbili labda utaelewa.

Pamoja na kuwa na assassinated brain Nitazidi kutumia wewe Kama ubao wa kufundishia wengine.
All started with Genesis 1. In the bigining ... There was no dhambi, dhambi ilipoingia ndipo Mungu akaleta prescription yake. Hata wewe waeza soma lini sheria kuhusu incest iliingia na kuanza kutumika.
Kuna sheria ya mitandao inasubiri signature ya Mh. Raisi kwa akili yako hiyo sheria ilitakiwa kuwapo tangu mitandao inaanza au kabla ya mitandao kuwepo.
Kweli assassinated brain ni majanga.
 
Hakuna atakayetoa majibu ya haya maswali.

Kibaya zaidi, hawa wanaosema wana morals kwa sababu wanaamini kuna mungu, hawatakubali hata kwamba hawana majibu.

Honesty! Talk about honesty!

Atheism is lack of belief, do you believe in lack of belief or you do not believe ?
Umekaririshwa atheism is a lack of belief... Kweli ninyi ni assassinated brain
 
Back
Top Bottom