Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kweli Mungu ni muweza wa yote?

Kifo ni nini?

Kifo ni neno la kiswahili lililokubaliwa kutumiwa na jamii likimaanisha pale mwili unapofeli kwa kwa njia zote, hali hiyo tunaita kifo.

Kwanini kila kiumbe kife?

Viumba/viumbe vyote vinakufa kutokana na kuzeeka.
Au kwa tafsiri nyingine tunakufa/vinakufa kutokana na muda/wakati, kwa maana hiyo wakati ukisimama na vitu vinabaki vilevile pasipo kubadilika, na kama wakati ukirudi nyuma basi hata waliokufa watakuwa tena kuwa hai kwa utaratubu maalum.

Au iulize hiyo hiyo sayansi kifo ni nini hasa?

Swali hili nimeshakujibu.
Alafu ukumbuke kuwa kwa kukosa majibu ya baadhi ya maswali kusiwe kigezo cha kusema mungu yupo! Huko ni kutokutaka kufikiria na kujiwekea mpaka, maana naona wewe uoga wako ndio mungu wako.

Sasa hapa ndio unatizama kiwango cha mtu cha elimu yake.

Ukisema Viungo Kufeli na kuzeeka kwa fikra zako ndio umetoa jibu la kifo?

Kwanini viungo vifeli GHAFLA bila maradhi yyt? Mtoto wa miaka 5 anapokufa GHAFLA ni kiungo gani kimezeeka?
Unasema WAKATI KUSIMAMA!
Wakati Upi? Na kipi Kinachosimamisha huo Wakati?

Umeandika vitu vya ajabu kuliko mtoto wa shule ya msingi.
Halafu unajifanya Mpenda sayansi na Facts.!

Mwenye Kutaka Fact anaweza kusema "wakati ukirudi nyuma basi hata waliokufa watakuwa tena kuwa hai kwa utaratubu maalum."??
HII Fact umeitoa wapi? Au wewe ndio wale mnaoishi wa Zile theories za Mad scientists wasiojua hata faida kupiga mswaki ?

Ukisema wewe ni mtu wa FACT then remain with THE FACT!
Dont bring your bedtime stories then claim to be The fact finder.

Hujajibu swali langu Hata 1%!

KIFO NI NINI?

Leta Fact kuhusu kifo ambacho unakishuhudia Kwa viumbe tofauti
Au nikurahisishie kwa mfano.
Manake watu wengine bila mifano mnawezs kukesha humu msiweze kuelewa kipi mtu anauliza.

Ukiambiwa mtoto kafa kifo cha Asili (nature death) HII MAANA YAKE NINI?
Huyo mtoto hajaugua! Hajapata ajali, wala hakuwa na Birth defects za aina yyt.
Kwanini AFE?

Stories za kina Kalikalanje hapa sio mahala pake.

Na of course Huwezi kutaka kumfundisha Mtoto wa darasa la tano QUANTum physics hali ya kuwa hata definition ya Physics haijui.

Wewe imeshindwa kutambua basic things like DEATH leo utaweza kupata kutambua FACTS ABOUT GOD ALMIGHTY?

Dont make me laugh pal.

Swali la Ziada.

Unaweza kunionyesha Intelligence ni kitu gani?

Thats you homework for today.

And please dont just puke out!

To save the embarrassment Think deep before you answer.

Nakusubiri.
 
kuna viumbe wa ajabu sana, yaani kwa nguvu zako zote umeshupaza shingo kuwa Mungu Hayupo! Kisa? you believe in science and the scientists! you are betting the only life you have, kwa mtu mwenye hekima mada kama hizi ni bora ukae kimya, kuliko kujifanya wewe sijui ni adheist and you don't believe in the existence of your creator, ndio hapo na amini kwamba shetani hufanya kazi kwa kupitia watu kama ambavyo mungu pia hufanya, so nimegundua kwamba unaweza kubishana na kiumbe humu mpaka siku inaisha kang'ang'ania tuu Mungu hayupoo, Kumbe the devil himself is at work, you guys you are possessed with demons and before you know it you will find yourself spending eternity in hell.. sishangai kuona wapinga kristo maana kuna ma-agenti wa kuzimu kila mahali, hata humu jf wamejaa na elimu zao za giza.. anaanza na elimu ya kujitambua anakupeleka kwenye the so called 'meditation' atarukia kweye kuongea na roho za wafu, na kufanya Astro Projection Mpaka Unakua Mchawi Huru and trust kuna stage utafika hutatamani kuacha
 
asante jirani ila huko nyumba ya pili sitii maguu kamwe...mana hata akili ya kawaida tu ya uwezo wa chini ya kufikiri haikubali kumkataa mungu..huu ulimwengu jinsi ulivoumbwa complex hivi burebure tu..mambo mengi ya ajabu na maarifa ya hali ya juu yamepangiliwa kiufundi hayawezekaniki kukosa aliyeumba na kuyaratibu.nikienda chumbani kwangu nikakuta kuna gunia la mkaa kitandani lazima nishtuke kuwa kuna aliyeliweka..akitokea mtu akasema hakika hilo gunia limetokea tu from nature nitamwona punguani...hvyo hvyo kwa ulimwengu na vilivyomo kuna muumbaji lazima.naamini nina moyo na unasukuma damu japo sijawahi kuuona,naamini dunia ni umbo kama la tufe na inalizunguka jua japo sijafanya safari ya kwenda nje ya dunia kushuhudia hayo.daktari akiniambia nina vidudu vya maleria kaona yeye kwenye darubini yake naamini kabisaa na ananipa dawa napona..sasa kwa mambo madogo hivi nayaamini kwa nini la mungu nilikatae eti kwa kuwa simuoni?? ethiests mna tumia akil ndogo sana kumkana Mungu..jirani toka huko uliopo njoo uishi upande huu

Yo very true Mkuu!!! 100%Perfect
 
Umenena vyema, maana hata mimi nilikuwaga mkristo. kutokana na haya maswali nikaona kama sisi Ndio tuliomuumba Mungu kwenye akili zetu.
Hebu jiulize kama shetani yupo atakuwa na dhambi gani wakati Mungu anamuumba alijua kabisa ikifika tarehe fulani atamuasi.
Lakini akamuumba tu! Na kadhalika sisi vivyohivyo kabla ya kuzaliwa anajua kuwa mimi nitampinga. Je? Huyu Mungu burudani yake ni mateso yetu au.

Kila kitu huja kwa sababu, Mungu Yupo na Yu Hai, In-ur lifetiMe try to reason hv hamna kitu ya ku witness uwepo wa munguM
 
kuna viumbe wa ajabu sana, yaani kwa nguvu zako zote umeshupaza shingo kuwa Mungu Hayupo! Kisa? you believe in science and the scientists! you are betting the only life you have, kwa mtu mwenye hekima mada kama hizi ni bora ukae kimya, kuliko kujifanya wewe sijui ni adheist and you don't believe in the existence of your creator, ndio hapo na amini kwamba shetani hufanya kazi kwa kupitia watu kama ambavyo mungu pia hufanya, so nimegundua kwamba unaweza kubishana na kiumbe humu mpaka siku inaisha kang'ang'ania tuu Mungu hayupoo, Kumbe the devil himself is at work, you guys you are possessed with demons and before you know it you will find yourself spending eternity in hell.. sishangai kuona wapinga kristo maana kuna ma-agenti wa kuzimu kila mahali, hata humu jf wamejaa na elimu zao za giza.. anaanza na elimu ya kujitambua anakupeleka kwenye the so called 'meditation' atarukia kweye kuongea na roho za wafu, na kufanya Astro Projection Mpaka Unakua Mchawi Huru and trust kuna stage utafika hutatamani kuacha

Mungu ana mpinzani ambae ni shetani na ndio maana tunamtoa kwenye uwezo wa yote omnipotent Yani wana compete na devil kuendesha the whole universe (kifikra)
 
Hivi kwanini kuna Uislamu,Upagani,Ukristo,Ubudha,Ushinto nk Mungu haoni kama hii ni kasoro
Imani hzi ni tamaduni za watu tamaduni hizi huendesha maisha ya jamii husika Kuwah kuvumbuliwa maandishi au uandishi kulifanya middle east kunakili au kuandika vitabuni mila na desturi zao kama muongozo ktk maisha yao kweli wamefanikiwa kiasi kikubwa kwa miongozo yao kutumika sehemu kubwa ya ulimwengu huu yani Muslim and christian
 
Big up!,hiki ndicho watu wengi hawakijui humu!
 
kwa hiyo unadhani misingi ya maisha iliwekwa na nani? mungu yupo ila kinachotupa tabu ni jinsi anavyo fanya kazi
 
ni bora uamini tu kuwa Mungu yupo uende umkose haikugharimu chochote, kuliko useme hayupo then umkute sijui utamwambiaje.
ila maswala ya imani ni mazito sana na ndio maana nchi zenye udini wanaongoza kwa vita.

mimi naamini Mungu yupo, ni mkuu na muweza hayo maswali mengine sihitaji zaidi kuyafahamu, as long naimani nikiomba hitaji langu linatimia, Napata amani moyoni nikitambua yupo mtetezi hilo linatosha.
 
Mkuu kuamini mungu yupo hakungarimu chochote usipomkuta?? Je huo muda unaopoteza kumuabudu je hizo pesa unaowapa Hao servant wake Je hio akili yako unavyoilaza kwa kila jambo ukitegemea support from him? Mangapi umeshindwa kupambanua na ukamuachia mungu ambae haja leta positive effect kwa hilo jambo ulilomuachia Yani unataka tu useme kuabudu hakugharimu kitu khaa really u kidding me kwa taarifa yako unaona somalia ilivyo poor sasa wale wanamjua mungu hewa haswaa ndo mana bongo zao zimelala kila jambo ni kumuachia tu mtu ambae hae exist physically
 
Utawala wa Mungu sio wa kutumia nguvu(kulazimisha) ni utawala uliosimama. Kumbukumbu la torari 30:19 inasema...

"Nazishuhudia mbingu na nchi juu yenu leo,kua nimekuwekea mbele yako uzima na mauti,baraka na laana,basi chagua uzima ili uwe hai wewe na uzao wako"

Mungu ametuumba watu huru wenye utashi. Kila ufanyalo ni matokeo ya hiari yako. Hawezi kukulazimisha kumuamini au kumchagua yeye lakini anaweza kukushawishi umuamini na ndiomaana uamuzi wa mwisho unabaki kwako. Amekwambia uchague uzima na mauti,baraka na laana mwisho akamalizia chagua uzima.

Binadamu natural ameumbwa na uoga, kuogopa hasara/hatari na hupenda furaha.

Eti eh sasa mbona tunaambiwa He is Alpha n Omega also omnipotent, omnipresent,omniscience They give him all power under universe Kwann kama ni muweza na mpangaji wa yote apende viumbe wake baadhi wengine awabague ...Tena ubaguzi huu anaueleza kwa mtu mweusi Bible imedai black people are cursed
 
Mkuu embu weka wazi hili eneo ulosema "black people are cursed" limeandikwa wapi mkuu tukajichotee maushahidi kwamba hawa watu weupe wanatupumbaza.
 
Mungu ni muweza wa yote ndio,na hata nyie atheist tayar anaijua kesho yenu.Alishajua hapo kabla kuwa mtakuja kupitia hii 'stage' alaf mtamrudia tena.

Muda ukifika utarudi tu kwake.

Na hao alowatengenezea moto vipi, hakuwajua au ndio tuseme aliwajua lakini akaamua tu wawepo ili wakateseke. Nakuuliza hivo maana maandiko mnayesema ni yake yanasema wapo watakaoenda motoni. Je? Mateso ya wanadamu ni burudani ya huyo mungu?
 
Mkuu embu weka wazi hili eneo ulosema "black people are cursed" limeandikwa wapi mkuu tukajichotee maushahidi kwamba hawa watu weupe wanatupumbaza.
Ngoja ni trace then ntakups aya clearly but unakumbuka rutu alikaa uchi mbele za watoto wake weupe walificha nyuso zao kutomuangalia pakikuwepo na mtoto mweusi ambae alitazama utupu wa babake na alilaaniwa (Hadithi hizi za vitabu vya mungu)
 
Mkuu kuamini mungu yupo hakungarimu chochote usipomkuta?? Je huo muda unaopoteza kumuabudu je hizo pesa unaowapa Hao servant wake Je hio akili yako unavyoilaza kwa kila jambo ukitegemea support from him? Mangapi umeshindwa kupambanua na ukamuachia mungu ambae haja leta positive effect kwa hilo jambo ulilomuachia Yani unataka tu useme kuabudu hakugharimu kitu khaa really u kidding me kwa taarifa yako unaona somalia ilivyo poor sasa wale wanamjua mungu hewa haswaa ndo mana bongo zao zimelala kila jambo ni kumuachia tu mtu ambae hae exist physically[/

Hawa jamaa wakikosa baadhi ya majibu ya vitu wanajiwekea mipaka kwa kumuweka mungu ambae hawajui hata kama yupo.
 
Mkuu embu weka wazi hili eneo ulosema "black people are cursed" limeandikwa wapi mkuu tukajichotee maushahidi kwamba hawa watu weupe wanatupumbaza.

Hujui kwamba mungu wako amelibariki taifa la Israel kuliko mataifa yote? Endelea kutafakari alafu uulize tena.
 
Back
Top Bottom