kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Kifo ni nini?
Kifo ni neno la kiswahili lililokubaliwa kutumiwa na jamii likimaanisha pale mwili unapofeli kwa kwa njia zote, hali hiyo tunaita kifo.
Kwanini kila kiumbe kife?
Viumba/viumbe vyote vinakufa kutokana na kuzeeka.
Au kwa tafsiri nyingine tunakufa/vinakufa kutokana na muda/wakati, kwa maana hiyo wakati ukisimama na vitu vinabaki vilevile pasipo kubadilika, na kama wakati ukirudi nyuma basi hata waliokufa watakuwa tena kuwa hai kwa utaratubu maalum.
Au iulize hiyo hiyo sayansi kifo ni nini hasa?
Swali hili nimeshakujibu.
Alafu ukumbuke kuwa kwa kukosa majibu ya baadhi ya maswali kusiwe kigezo cha kusema mungu yupo! Huko ni kutokutaka kufikiria na kujiwekea mpaka, maana naona wewe uoga wako ndio mungu wako.
Sasa hapa ndio unatizama kiwango cha mtu cha elimu yake.
Ukisema Viungo Kufeli na kuzeeka kwa fikra zako ndio umetoa jibu la kifo?
Kwanini viungo vifeli GHAFLA bila maradhi yyt? Mtoto wa miaka 5 anapokufa GHAFLA ni kiungo gani kimezeeka?
Unasema WAKATI KUSIMAMA!
Wakati Upi? Na kipi Kinachosimamisha huo Wakati?
Umeandika vitu vya ajabu kuliko mtoto wa shule ya msingi.
Halafu unajifanya Mpenda sayansi na Facts.!
Mwenye Kutaka Fact anaweza kusema "wakati ukirudi nyuma basi hata waliokufa watakuwa tena kuwa hai kwa utaratubu maalum."??
HII Fact umeitoa wapi? Au wewe ndio wale mnaoishi wa Zile theories za Mad scientists wasiojua hata faida kupiga mswaki ?
Ukisema wewe ni mtu wa FACT then remain with THE FACT!
Dont bring your bedtime stories then claim to be The fact finder.
Hujajibu swali langu Hata 1%!
KIFO NI NINI?
Leta Fact kuhusu kifo ambacho unakishuhudia Kwa viumbe tofauti
Au nikurahisishie kwa mfano.
Manake watu wengine bila mifano mnawezs kukesha humu msiweze kuelewa kipi mtu anauliza.
Ukiambiwa mtoto kafa kifo cha Asili (nature death) HII MAANA YAKE NINI?
Huyo mtoto hajaugua! Hajapata ajali, wala hakuwa na Birth defects za aina yyt.
Kwanini AFE?
Stories za kina Kalikalanje hapa sio mahala pake.
Na of course Huwezi kutaka kumfundisha Mtoto wa darasa la tano QUANTum physics hali ya kuwa hata definition ya Physics haijui.
Wewe imeshindwa kutambua basic things like DEATH leo utaweza kupata kutambua FACTS ABOUT GOD ALMIGHTY?
Dont make me laugh pal.
Swali la Ziada.
Unaweza kunionyesha Intelligence ni kitu gani?
Thats you homework for today.
And please dont just puke out!
To save the embarrassment Think deep before you answer.
Nakusubiri.