Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Kumtia makofi girlfriend? Dah watu tumeumbwa tifauti, sijuhi kama inasaidia chochote.
 
kuwa katika mahusiano na binti wa chuo...pengne umri sawa..,level sawa usiweke tegemeo lolote lile just enjoy tu ..yamenikuta haya
 
Sio mwanamke wa kumwamin ni mama yako tu,,,binadamu yeyote haaminiki kivyovyote
 
Story yako inanikumbusha Makovu niliyonayo mkuu wanawake syo wa kuwapa dhamana hata kdogo.
Pole sana mkuu, we janga lako lilikuwaje hebu nipe in brief tupeane moyo. Wanawake wanaumiza sana hisia hasa ukiwa umechukulia kiungwana sana!
 
Staying under one roof,....!!! Hujaoa mzee
Ni makubaliano tu mzee, We hujaona couples zinakaa mageto for years mpaka wanapoamua ku make it official kwa harusi. Yaweza kuwa ni njia moja ya kuenzi kile mlichonacho miyoyoni mwenu. Its all love and respect.
 
Ni mtazamo ila unaegemea kwenye ukweli kwa 90%.Wanawake hamuaminiki.
Mimi namuamini Mama angu Mzazi tu.
I should live with it now kuwa sitakiwi kuweka stakes zozote kwa mwanamke. Its the 2nd time im doomed in the similar manner. Bora umfadhili muhuni huwa hatutupani ila kumfadhili mwanamke ni sawa na kujaza sukari baharini ukitegemea concetration ya chumvi iondoke kwenye maji!
 
Hayo nakubali na yote nimeweza mtimizia kwa kipindi chote toka tumeanza ila ilo la uhuru wa kupitiliza hapana. Kuna limits lazima ziwepo unless kama mtu huna mpango nae mnafurahishana tu. Ila katika uhusiano serious siwezi kunyamaza nikiona dalili za demu wangu anaelekea kuchepuka na mtu baki kwa kigezo cha
uhuru. Labda kama kwako wewe inafaa, ila kwangu fanya yote isipokuwa nisijue kuwa una lengo hilo.

Labda kama uhuru wa kuchit ndio alokuwa anautaka na sikuwa muelewa katika hilo.
Sio hivyo tu ila nimekuwa mwaminifu kwake kwa kiwango cha lami, password zote anazo, simu yangu yupo free nayo hata akitaka ashinde nayo. Most of the times nipo nae, namjali nampenda, nampa zawadi, namtia vizuri ila kama yote hayakuwa na maana kwake nina kosa gani hapo.
 
Too bad na hii ndio aina ya maisha nitakayo anza kuishi. Demu atakuwa kitu additional tu in my timespace. Mishe zangu kwanza then yeye kama ataona namna gani aende ustawi akalalamike tu. Shiettt!!! Akishindwa aache wenzake wataweza yani no kubembelezana tena!

Nadhani ukiwa na demu mmoja unajikuta unamjali sana kuliko anavyostahili na hili linawapa picha tofauti kuwa labda sio jambo la kawaida. Wao wamezoea kusumbuliwa kihisia ndio wanakuwa stable. Maybe! Maana ma player huwa hawasumbuliwi na wanawake in most cases tena ndio wanapendwa balaa. Ila sie decent guys ndio kuchwa kutwa vilio tu.
 

Duh, kweli mapenzi yana wenyewe sasa huyo demu kapata faida gani kumuumiza jamaa. Tatizo huwa mnaishi kwa hisia na zinabadilika muda wowote ila hamtakagi kuwa wazi. Zile hisia zikiisha ni vimbwanga mtindo mmoja na hazinaga refill.

Anyway, i've learnt my lesson katika hilo. Wanawake ni wa kupita tu kama moshi wa fegi. Hata awe sweet na hisia kama nn sijui at a certain point zitaisha na atalianzisha upya kwengine and you can't do shit about it, instead you'll be the only one burning from the inside. Yeye wala hana habari anakula vyake na mwengine ambae zimechipua huko too bad ila its the harsh reality so tutatumiana tu maana hamna namna!
 
Pole sana,
Ila usimwamini mwanamke hata kama unamtania. Pia lazima uumizwe ili ukomae.
Kila mmoja amesha au ataumizwa siku moja in his/her lifetime
Nimeumia kweli kweli, ni hatari mno hawa watu!
 
Be a Decent Guy anyway. Don't let the bitterness steal your sweetness.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…