Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Ni kweli hachungwi ila subiri aje kukutia ugonjwa ndio utaona faida za kuwa mfuatiliaji wa mambo.
Hujanielewa. Wewe ulikosea sehemu moja tu, binti hakuwa mwaminifu, ila ulikuwa unamlazimisha kuwa mwaminifu kwa kumchunga but still aliendelea kufanya mambo yake . You can't keep someone who doesn't want to be kept. Ukiona mtu anazingua, muache aende, sio unaamua kumtrack afu unampiga bit ili aendelee kukaa na wewe, si unaona ilivyokucost. Mtu akiamua kuwa na mtu mwingine muache tu aende, hata ukimdunda haisaidii, kwani lazima akupende? Upendo wa kweli haulazimishwi
 
[emoji3] [emoji3] Sijui nguvu ya mapenzi kwamba wewe uko vizuri sana?why msioane sahivi awe ex? Kwa hiyo kumtii mwanaume ni kukubali kuishi naye chumba kimoja na huku hamjaoana? huo utii wa mtaa gani ndugu. Mapenzi yawe na mipaka.

Usilazimishe mtazamo wako kuwa ndio njia sahihi mkuu, pokea mitazamo tofauti in a positive way. Dogo mwenyewe ndio alipendekeza just kwa upendo mwanzoni tu wala mi sikulazimisha. Tukawa tumestay fresh no ngendembwe. Sio kwamba alikuwa mjinga kuona kwamba hajaolewa na mimi na akae na mimi sehemu moja isipokuwa ni ule upendo tu na hisia alizokuwa nazo juu yangu ndio zilimsukuma kuwa hivyo. Ndio dhana ya nguvu ya mapenzi ilipo we kama hujawahi kufanya sacrifice yeyote kwa ajili ya umpendaye basi usitake kuona wanaofanya hivyo ni wajinga!
 
This makes sense to me.
 
Hii noma sana.... mwanamkee akishakuwa yuko busy na insta fb and other popular social chatting... hesabu apo mnashare papuchi

Ndio maana silipendagi hilo lo fb maana ndipo usaliti ulipolalia humo. Tutafanyaje na kile kidude kipo integrated kwenye miili yao. At least kingekuwa peripheral unaweza king'oa akakosa fursa ya kumpa mtu mwengine kijambazi.
 
This makes sense to me.
Uaminifu au heshima aliyonayo mtu juu yako, haipimwi when you are round, but when you are away from her. Mkiwa karibu anapretend Uaminifu kwa sababu anakuogopa, Mkiwa mbali anafanya yake. Nakafanyiaga sana kazi haka kamsemo "I respect a man who respects me when I'm not around.
 
Nielewe umpe Uhuru usiopitiliza,,,kama yote uliyoyasema unamfanyia ni sawa maana ukwel unaujua zaod ww kulko sisi unaotuelezea Ila yte kwa yte same he,,sahau,piga buku mambo mazur yaja mbele,,,Ila ukumbuke kua usipomkuna mwanamke wako vzr ni ngumu sana kukuambia kwamba hujanikuna wengine wanamezeaga tu kimya kimya Ila akijaribu nje akakunwa aaaaaagh kwako kwa heri...
 
Tatizo ni kuwa most people think that their smart enough to cheat over and over wakiwa mbali in a sense that hawataonekana wanakosea without thinking that cheating itself has an impact katika uhusiano.
Ku cheat ni tabia mbaya kama zilivyo zingine na ni kumfanya yule aliekuamini kujiona mjinga wa mwisho bila kujali kuwa hata wewe unakuwa umeidanganya nafsi yako.
 
On point. ..
 
Naamini kilichompeleka huko ni tamaa tu na itafikia stage atanikumbuka tu kwa wema wote nilomtendea. Im a good guy na miongoni mwa vitu ambavyo atanikumbuka ni my character in b.e.d.s.t.u.y activity!
What goes around comes around!
 
Ha ha ha tatizo hilo nipana sn na limetengenezwa kwa miaka mingi sn kwa garama kubwa tn sio kuanzia hp nchi za mbali now watu wanakula faid tu mwanzo ilikuwa kama bure ila saivi ndio matukio yake hebu mrudie Mungu
 
William Shakespeare alisema , I'm happy because idont expect any thing from any body because expectations always hurt when what you expected won't happen. ...
 
Wewe mwenyewe ndo umemuharibu.... Kwa nn uliendelea kuwasiliana na ex wako?
Alikuwa ananitafuta most times kwa ishu za kazi assignments, discussions. We were in the same class, same group of class activities na mie ndio nilikuwa mwenyekiti wa group letu.

Mwanzo wa ku date na huyo ex classmate wangu ni kuwa nilizinguanaga na huyo dogo at first.

Kuna kipindi kimoja cha likizo ya semister ya mwisho first year alianza kunletea mapicha picha alikuwa ameanza kunizeveza maana tulikuwa twawasiliana kwa simu tu kwao Migo Migo kwetu Tabata. Ilitokea akaendaga Mkuranga kusimamia lodge ya dada yake mpya ilianzishwa ila wafanyakazi wakawa na hujuma faida haionekani. Kwa sasa imekuwa kiwanja maarufu kwa wala bata na kikubwa tu inaitwa "Asante".

Alipoenda huko tukawa tunawasiliana freshi mwanzoni ila after a few weeks akawa amepunguza sana mawasiliano. Siku nzima kimya hakupigi. Unamtext hajibu. Ikafikia siu hapokei na akipokea anakwambia kachoka anahitaji kupumzika. Yani ikawa mateso. Mda anaosema analala ukipiga simu number busy mpaka saa 7 za usiku. Saa ingine hapokei simu mpaka umpigie na namba ngeni ila whatsapp unaona yupo online. Unamtext hajibu ila kitu ipo delivered.

Niliteseka mno kujua hatma yangu baadae nikampa ultimatum kuwa kama anaona kuna umuhimu wa mapenzi baina yetu then afanye maamuzi hio hali imenichosha. Siku za kufungua chuo zilikuwa zimekaribia akawa amejirudi ila guts zangu ziliniambia kuwa there was really something wrong behind ile shida alonipa and most likely cheating. Hivyo nikawa nishajikatiaga tamaa nikavuta demu kitaa nikagonga kupooza stess maana nliona kama mbwai mbwai. Yule demu akawa amenipenda mno akawa anantumia mesej za magazet zile kila saa.

Nilipanga siku tunayosafiri nikikutana na huyo dogo kwenye basi tu nimkague simu yake on the spot, na akileta ujeuri tu kunipa ntajua kuna jambo analoficha. Na kweli kama nilivyotaraji akawa mbishi kunipa akafuta meseji ndio akanipa. Mungu si athumani baadae tukiwa njiani jamaa likampigia hakupokea. Likamtumia romantic message ya safari njema nikaiona na kuisoma. Kumuuliza huyo nani akawa anababaika kuwa alikuwa moja ya mteja kule lodge kwao alimzoea tu na alimtaka sana ila hakudet nae. Baada ya kuona simu yake alitaka na yangu aone napo kama kunani na mie kwa makusudi sikufuta text za yule demu wa kitaa ili asijione mjanja sana. Nami nimefanya yangu kipindi alichonipotezeaga.

Katikati ya safari ndio text zikazidi ingia za yule demu wa kitaa. Huyo dogo akawa anaumia sana kuona vile kweli akawa anahisi nimemchit. Ila nilimpooza nkamwambia huyo ni just a friend niliwahi kusoma nae zamani ila sijamchanya koz pa yupo mbali zenji huko tulikutana mtandaoni tu. Dogo akawa ameshindwa kuielewa ile hali nikambembeleza wee na kumwambia kuwa sina kweli uhusiano nae na nitamkataa kama haamini ataona. Tulipofika chuo dogo akawa amenikaushia. Nikamwambia bas kama unahisi nimekukosea sana nisamehe maana pia wewe umenikosea kumbuka. Lets bury this tuendelee na mapenzi. Still hakuwa muelewa. Akaanza toa kauli mbaya kila nikimpigia nabembeleza tusameheane tuendelee mtoto hataki. Mashosti zake sijui wakampa bichwa eti a move on wakati hajawahi na hakuujua mziki. Alikuwa ananipenda mno by that time. Akanisumbua for about two weeks nikaamua nami nimpotezee niendelee na mengine maana alikuwa ana act kama ame move on kibishi ingawa roho iliniuma sana.

Ndipo nilipoanzisha uhusiano na huyo classmate wangu ambaye alikuwa a very close friend of mine, groupmate and she was so romantic and funny. Turns out alikuwa kwenye uhusiano na mtu ambaye hakuwa anamjali so katika process ya sharing of stories tukajikuta tupo in love with each other and thats where all it began. From sex to hiking, to schooling together tukawa kama vipepeo. She gave me love bila kipimo nikawa so obsessed nae.

Shida ikaanza pale dogo alipokuwa over jealous na kile ambacho alikiona baina yangu mie na classmate wangu huyo. She was dying inside kwa wivu na ndipo alipogundua thamani yangu kwake. Kiukweli huyo classmate alikuwa so hottt. Ni mzuri sana in every aspect na alimzidi kila kitu huyo dogo ndio vikaanza vilio sasa kwamba mbona nimempotezea. Akawa anapiga simu kila siku nazipotezea kama yeye alivyofanyaga maana alinionesha kuwa kasha move on. Anawalilia washkaji zangu kuwa she really loves me waniombee msamaha and shit.

Alilia kwa semister nzima the next semister nikamsamehe maana ilikuwa kama kero sasa.Pia nilitaka kuwa exclusive patner kwa yule mate wangu ili nitulie nae mazima maana at that time alikuwa anachepuka tu namimi. Ila msela wake bado anaendelea nae as well ila mate akawa mzito kufanya decision nikampunguza. Dogo nae ndipo shida zilipoanzia hapo akataka tukae wote ili ahakikishe kuwa siendelei na yule classmate wangu. She wanted that to happen so abruptly ila haikuwa rahisi kwangu kukata mawasiliano ghafla cause mate nlikuwa nimemkoleza sana tayari na i was always on her mind. Niliwaza jinsi gani angeumia juu ya hilo ila dogo alinibana to an extent akanipa ultimatum ni either tuendelee or nimcancel mate. Sikuwa na option ila kum cancel mate kutokana na situation ilokuwepo.

Ikawa kero kwa semister nzima ni kushikiwa simu muda wote akute chats zake humo ndio balaa. Alililia sana Amani ya moyo nikaahidi ataipata tu. Nipo serious nitampotezea kabisa after sometime naweka more efforts katika hilo. Mpaka mwisho wa siku nikaweza m cut off yule mate baada ya kukaa nje ya chuo mwaka mzima.

Now ile Amani ya moyo aloitaka nikaweza mpa ajiskie yupo free kwangu. Kilichotokea ndio hayo mapicha picha alonletea mpaka sitamani kupenda tena. Yale yalokuwa yanamkwaza yeye amenifanyia mimi bila huruma wala kujali hata chembe kwa kiburi kuwa mbona hata wewe ulinifanyiaga nilimuuliza is this a revenge? Akawa anakanusha ila akawa anatumia past kama silaha ya kunifanyia ushenzi ingawa tulishaongeaga yakaisha tukasameheana.

Heaven Sent atoto
 

Ni wajinga ndio maana hawajawa na uhakika wa kuoana wanaishi pamoja mara kila mtu kasepa.
 
Sijui na age yenu ilichangia, ndo maana mkawa na drama za hapa na pale, Leo akikuumiza unamsamehe, kesho na wewe unamlipizia mmh. Anyway shit happens , take some responsibility for your part in what has happened, then songa mbele. Tunajifunzaga kupitia makosa, na kupitia hata hayo mahusiano ambayo hayakudumu, kuna vitu positive pia tunaondoka navyo
 

Kwahiyo kwa mfano wa huyo wako umekuja na maamuzi ya jumla eti!!! Wanaume mkitendwa mnavyojua kutia huruma!! Kuna wanawake wanakutana na magume gume hatari pia. Hakuna upande ulio safe 100%. We ulimpata asie wako, shukuru songa mbele. Atakuja wako maisha yatasonga. Huwezi unguza shule kisa wanafunzi wamefeli wakati wapo waliofaulu, tambua wapi ulijikwaa songa mbele.
 

Mapenzi ya chuo ni kama ya form two tu, wachache wanajitambua. Ye atulie asome mke atampataga tu wakati sahihi ukifika. Kuna watu wana mazito zaidi yake. Ajifunze asonge mbele, si kila anaekuja kwako ndio wako,wengine wanapita kutufundisha tu japo sometimesni in a hard way, ila ndio lesson learnt. Sio ndio uconclude kuwa wanawake wote vimeo,wakati good ones wapo kibao tu ni wewe tu na unavyochanga karata zako.
 
Amen to that
 
Hii kweli shughuli... Are you people serious up there??.... I think you should be more serious to your studies young man.... These things have got their time. Your are f**king each other like there is no tomorrow!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…