Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

Unashangaza sana kijana. You had ur time and enjoyed it. Over.

Kwani alikwambia anashida kuwa life partner wako.

Tena kichuo chuo huyo binti mbona kakuheshimu sana.

Chuoni mtu una kula kibuti na kesho unamuona demu yuko na best yako anagongwa live na wanakualika kwa birthday. Vipi kijana. Komaa sasa,.
 
Nadhani kuna ukweli sana ndani ya hilo.
Ndio mkuu... Mimi nishafanya utafiti na nmegundua hilo..

Ma ex wangu watatu wote wameloewa sasa hivi niliwaumiza vibaya sana... Ni watiifu Kwa waume zao kupita maelezo
 
Zingatia, usijiumize moyo tena
Sidhani kama itatokea tena,its the second time im getting into deep sorrow and regret kwa mtu ambaye sikuwahi hata kuwaza kuwa atanitenda.
I've learn't my lesson kwamba love should be something in addition ila sio jambo la kutilia maanani tena maishani...Atakaefuata its either she wanna stay with me or she doesn't atembee tu na hio ni kwa kufuata nachotaka mimi tu. Nimejaribu kufuatisha kanuni za mapenzi ya kubembelezana ila this is what i get at last!
 
Hata mimi ukishaleta issue za tuishi chumba kimoja nakupotezea umenioa?
We unaongea tu kwa kuwa hujui nguvu ya mapenzi na its up to you kuchagua kati ya kumtii umpendaye au kumkwaza.
Mi huyo ex nilikaa nae kipindi cha mwanzo na yeye mwenyewe alipendekeza hilo. She did all the shit kama mpenzi wangu na hakuwahi kuniletea ushenzi wowote. I was more than a man to her. Haambiwi hasikii.
 
Ndio mkuu... Mimi nishafanya utafiti na nmegundua hilo..

Ma ex wangu watatu wote wameloewa sasa hivi niliwaumiza vibaya sana... Ni watiifu Kwa waume zao kupita maelezo
Duh, so nitafute waliotendwa? Ila ukumbuke hawa viumbe wanajisahau kirahisi kama kuku. What if she gets comfortable na mtu mpya. The best way ni kuwaburuta tu no mercy na kwa mazoea yangu mademu wanaoteseka na wapenzi wao huwa hawaachagi.
 
I hope ameyasikia, kayashika na atayatendea kazi. Good girls wapo kibao



Don't become who hurt you

Its not about becoming dear but its about knowing my worth. Unajua ukimpenda mtu sana unasahau na kujipenda mwenyewe na kujikuta you are giving too much of yourself. Nilidhani kumjali mwanamke inasaidia kumpa emotional strength at least awe na shukurani kwa hilo maana a million of others are crying with relationships kwamba hawapendwi jinsi wanataka.
Its enough with being nice na sasa its going to be all about principles and ultimatums hasa ambazo zitaniweka katika upande salama. Its either she abides or she leaves. Hakuna compromise tena. Nimeizika rasmi!
 
Duh, so nitafute waliotendwa? Ila ukumbuke hawa viumbe wanajisahau kirahisi kama kuku. What if she gets comfortable na mtu mpya. The best way ni kuwaburuta tu no mercy na kwa mazoea yangu mademu wanaoteseka na wapenzi wao huwa hawaachagi.
Yeah ukibahatika kupata aliyetendwa ukampenda hawezi kukusaliti hata kidogo
 
Hii noma sana.... mwanamkee akishakuwa yuko busy na insta fb and other popular social chatting... hesabu apo mnashare papuchi
Ni hatari sana man, yani niliposikia rafikia yake kamuunga facebook moyo ulipiga paa nikajua tu ipo siku nitapata matokeo yake na hayatakuwa ya kunipendeza maana demu wa kabla tulizinguana kwa ishu hio hio. Nilimwambia dogo kuwa hio kitu italeta miyeyusho ila hakuelewa mapema!
 

Asante mkuu yani hawa mademu bhana ni sawa na fumbo lisilo na jibu moja. Uzuri mi huwa sihangaiki na wale ambao ni vicheche. I selected her baada ya kuona speedometer haijatembea sana! She deserved my love kwa jinsi alivyokuwa awali. Pia uzuri mie sina desturi ya kufyonza njia za majitaka.
 
Aiseee!!
 
So sad.
 
Bora hta wewe umenielewa vyema.
Kama mapenzi yanaundwa katika msingi wa uaminifu kwanini uogope kuwa muwazi kwa mwenzako. Unapotaka simu yako isishikwe nae ama kudukuliwa ikiwa lengo la kufanya hivyo ni ku maintain uaminifu we unaekataa unakuwa na maana gani labda?
Na majority wanaokataa ni wanawake maana wanataka tumia huo mwanya kufanya maovu kwa kivuli cha kusingizia kwamba hujiamini ili ujione fala kwa kumdukua wakati si jambo baya! You are seeking for assurance.
Kama mtu huwezi kuwa muaminifu then be single and act a slut for as much as you can. Nobody will bother, ama mwanzoni sema im in this for fun ili mtu asikuchukulie serious akapoteza rasilimli zake bure tu.
 
It really is asee, sucks as **** kupoteza muda kw mtu ambaye haelewi what it is to love.
Sometimes we must let our past be a lesson for our future
Take it as a challenge
Then take two steps ahead everyday
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…