Kweli mwanamke sio mtu wa kumlia yamini, ME tuchunge sana

acha wivu wa kipuuzi,we unadhani pale panashughuli gani?hujiulizi kwanini pana utelezi?
 
Story nyingi za vijana ni mapenzi kunanini?????????????????? Kwanini vijana hawaji nakitu kipyaa kwenye jamiii yetu??? Kunachangamoto nyingi mno??
hili ni jukwaa la hayo mapenzi! vitu vipya vinamajukwaa yake hko!
 

[emoji3] [emoji3] Sijui nguvu ya mapenzi kwamba wewe uko vizuri sana?why msioane sahivi awe ex? Kwa hiyo kumtii mwanaume ni kukubali kuishi naye chumba kimoja na huku hamjaoana? huo utii wa mtaa gani ndugu. Mapenzi yawe na mipaka.
 
Kumbe ushajua tatizo sio wao, ni wewe mwenyewe. Unampenda mtu mwingine kuliko unavyoipenda nafsi yako, itakucost tu. Msichana wako hakuwa mwaminifu, ila wewe ulikuwa unamlazimisha kuwa mwaminifu. Inawezekana you loved a wrong person au it wasn't the right time , ndo maana hakuona hata thamani ya kujitoa kwako kwake, the right one ataappreciate tu. Afu sometimes kumtendea mtu mazuri doesn't guarantee kuwa atareciprocate, we should do good anyway.
 
Mmh sijui na age yenu pia inachangia. Msichana wa kuwa worried naye coz kajiunga fb mmmh, bado hajajitambua vizuri I think.
 
But thats love, kwani unaweza kumpenda mtu nusu ukaita unampenda?. Love is giving whats best in you na hakunaga reserve ukiwa deep.
 
But thats love, kwani unaweza kumpenda mtu nusu ukaita unampenda. Love is giving whats best in you na hakunaga reserve ukiwa deep.
Sijakwambia umpende nusu, ila usimpende mtu mwingine ukajisahau kujipenda wewe mwenyewe. Ulimpa huyo msichana umuhimu sana kuliko hata Mungu maybe. You didn't know your worth, mpende mtu but don't lose your self worth and senses in the process
 
Tatizo mkuu haukusoma nyakat uhusiano wa chuo ni kama darasa la saba up to form six! hauna guarantee! ulitakiwa uendelee kupiga ukiwa psychological flexible! mi nakumbuka father aliniambia mwanamke mwema ni yule atakayekuja kwako ukiwa right time! righ place!
 
Hebu nifafanulie mkuu.
 
ila ungempiga''bend'' mngetoka pasu.....toto unalala nalo geto unaliacha tumbo wazi..mwana si wako man....ushaovatekiwa...
 
Y
Hebu nifafanulie mkuu.
Ipo hiv mkuu kwa hali ya sasa mapenz kwa wanawake hayatabirk kwa kuwa wanabadilika muda wowote kwa kuwa kwenye social place kama chuo kunakuwa na extrenal influence kama iliyomkuta huyu dada xo ukianzisha mahusiano nae usijiamin kupitiliza! nakumbuka hata kiimani tunasema "usimtegemee mwanadamu mtegemee mungu" mwanadamu ni kiumbe kama wengine japo kimepewa utashi! bt finaly nikushaur jikite katika kutimiza malengo binafsi ukipenda penda bt be flexible! anything can happen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…