Kweli nasema Simba leo akishinda nipigwe

Huo mwiko huko nyuma haukutoshi unahitaji banio tena?
 
Reactions: Tui
Kwa: Moderator wote wa Jf
Kutoka: Mashabiki wa Simba SC
Tarehe: 02|02|2025
Mada: Ombi la Kuzuiwa kwa mleta mada Kuingia Kwenye huu Mtandao


Ndugu Mmiliki na Viongozi Wote


Natumai barua hii itawafikia salama. Ninawaandikia kwa niaba ya Mashabiki wa Simba SC kuwa ambaye ameeleza kwa hiari yake kwamba anataka kuzuiwa kuingia kwenye mtandao wenu wa kijamii.


Kwa mujibu wa maombi yake, anaomba akaunti yake izimwe kabisa au apate vizuizi vya kudumu ili asiweze kufikia mtandao huu tena. Tunaamini kuwa kwa kufanya hivyo, mtamsaidia kufanikisha nia yake na kuheshimu uamuzi wake wa kujitenga na matumizi ya mtandao huu.


Tafadhali fanyeni utaratibu unaohitajika na uthibitishe utekelezaji wa ombi hili. Ikiwa kuna hatua zozote zinazohitajika kutoka kwake, tafadhali tujulishe mapema ili kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa utaratibu unaofaa.


Natumai ombi hili litashughulikiwa kwa haraka. Asante kwa ushirikiano wenu.


Wako kwa heshima,
Donnie charlie
Goma
DRC
 
Banned
 
Kuna mwingine anayeitwa Shetani wa Yanga alidai Simba akishinda dhidi ya Tabora United basi mama yake mzazi ashenyentwe.
Hao wavimba macho wamekithiri sana kwa ubaradhuli wao. Yupo sasa anaombewa radhi mitandaoni.
 
Mishabiki ya yanga ni mijinga sana.
 
Una Elimu gani?una umri gani? Hebu onesha sehemu ambayo mleta mada amesema apigwe ban humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…