Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anadai eti ni banio 🥲Pigaaaaaaa ban hili topolo
Mwewe Nilie Kidagaa Changu, Haya Ona Sasa Dagaa Wako Wameliwa
Huo mwiko huko nyuma haukutoshi unahitaji banio tena?Sioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana.
Hujawahi kutuangusha kamwe.ushauri wako umefanyiwa kazi na mkia wamejaa kwenye mfumo. Leo rasmi yanga tunajikita kileleni na hatushuki mpaka mtu apate mimba. Hakuna kulala...
Simba wakishinda leo nipigwe banio.kwa mila zetu mwanaume hutakiwi kupigwa kwa mwiko wala banio la sufuria. Ni dharau. Ila kwa leo nipo tayari kabisa. Sioni mkia wakishinda. Sioni kabisa.
Dogo jiangalie utarudishwa kijijini makunduchi.
Dogo jiangalie utarudishwa kijijini makunduchi.
Dogo jiangalie utarudishwa kijijini makunduchi.Mods huyu mbona bado anapumua?😂😂
BannedSioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana.
Hujawahi kutuangusha kamwe.ushauri wako umefanyiwa kazi na mkia wamejaa kwenye mfumo. Leo rasmi yanga tunajikita kileleni na hatushuki mpaka mtu apate mimba. Hakuna kulala...
Simba wakishinda leo nipigwe banio.kwa mila zetu mwanaume hutakiwi kupigwa kwa mwiko wala banio la sufuria. Ni dharau. Ila kwa leo nipo tayari kabisa. Sioni mkia wakishinda. Sioni kabisa.
Kuna mwingine anayeitwa Shetani wa Yanga alidai Simba akishinda dhidi ya Tabora United basi mama yake mzazi ashenyentwe.
Mishabiki ya yanga ni mijinga sana.Sioni....kila nikitizama naona leo Mkia lazima achapwe. Tabora United wamemaliza mchezo na sasa wanaenda tu kukamilisha ratiba mzee saidi mitangano hongera sana.
Hujawahi kutuangusha kamwe.ushauri wako umefanyiwa kazi na mkia wamejaa kwenye mfumo. Leo rasmi yanga tunajikita kileleni na hatushuki mpaka mtu apate mimba. Hakuna kulala...
Simba wakishinda leo nipigwe banio.kwa mila zetu mwanaume hutakiwi kupigwa kwa mwiko wala banio la sufuria. Ni dharau. Ila kwa leo nipo tayari kabisa. Sioni mkia wakishinda. Sioni kabisa.
Una Elimu gani?una umri gani? Hebu onesha sehemu ambayo mleta mada amesema apigwe ban humu JF.Kwa: Moderator wote wa Jf
Kutoka: Mashabiki wa Simba SC
Tarehe: 02|02|2025
Mada: Ombi la Kuzuiwa kwa mleta mada Kuingia Kwenye huu Mtandao
Ndugu Mmiliki na Viongozi Wote
Natumai barua hii itawafikia salama. Ninawaandikia kwa niaba ya Mashabiki wa Simba SC kuwa ambaye ameeleza kwa hiari yake kwamba anataka kuzuiwa kuingia kwenye mtandao wenu wa kijamii.
Kwa mujibu wa maombi yake, anaomba akaunti yake izimwe kabisa au apate vizuizi vya kudumu ili asiweze kufikia mtandao huu tena. Tunaamini kuwa kwa kufanya hivyo, mtamsaidia kufanikisha nia yake na kuheshimu uamuzi wake wa kujitenga na matumizi ya mtandao huu.
Tafadhali fanyeni utaratibu unaohitajika na uthibitishe utekelezaji wa ombi hili. Ikiwa kuna hatua zozote zinazohitajika kutoka kwake, tafadhali tujulishe mapema ili kuhakikisha zoezi hili linafanyika kwa utaratibu unaofaa.
Natumai ombi hili litashughulikiwa kwa haraka. Asante kwa ushirikiano wenu.
Wako kwa heshima,
Donnie charlie
Goma
DRC