Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
- #41
By the way mimi binafsi sina uelewa sana na Harmagedon.Yes
Actually Kuna vita Bado itakuja, inaitwa vita ya 'Almagedon'
Hapo ndo watakaposhuhudia muumba wa mbingu na nchi akitimiza aliyoyanena....
Maana wapo wanaofasiri kwamba itakuwa ni vita kama vita (vita halisi ya silaha za moto) na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema itakuwa vita vya nuclear (world war 3).
Lakini pia wapo wanao fasiri kuwa vita vya HARMAGEDON haitokuwa vita vya nuclear au silaha za moto kama tunavyo dhani.
Bali itakuwa ni vita kama ya Wema na Uovu (siyo vita halisi ya silaha za moto).
Sasa huwa nashindwa ni kina nani wana tafsiri sahihi ya ARMAGEDON WAR