Kweli ni ipi hapa kuhusu hekalu alilojenga Suleiman?

Kweli ni ipi hapa kuhusu hekalu alilojenga Suleiman?

Suluhu ya huo mgogoro inapaswa itoke kwenye kufungamana na Iman yoyote kati ya hizo.. ukiniuliza mie nitakupa jibu rahs ingawa najua haliwezekana sababu ya wahafidhina wa pande zote mbili ( Wayahudi na Waislam)..

kwanza ujue mgogoro huo ni mgumu sababu shida sio tu hilo eneo shida imekwenda mbali zaid.. kuna mambo mawili

Imani na Aili ya watu kijografia

PALESTINES SUPPORT

Islam world
kinachowaleta Waislam wotekuwa nyuma ya Palestine ni swala la kiimaani .. maana kwa iman yao hiyo sehem ni takatifu kwao haipaswi kukaliwa na watu wa iman tofauti achilia mbali kujengwa kitu hapo .. so swala la kuuvunja huo msikiti si swala ambalo kwa waislam yaani sio tu haliwezekan hata kulifikiria ni haram

Arab World and Others
Jamii ya kiarabu na wengineo wachache wako nyuma ya palestina sababu kiasili palestine wanamizizi ya o hapo toka enzi na enz.. so kwa Waraab na wengineo wanaamini sio haki kwa Israel kuatak kujimilikisha hilo Eneo.

JEWS SUPPORT

Some christians denominations

kuna baadhi ya madhehebu ya kikristo wanasuport Israel, sababu wanaendesha iman zao kitofaut kidogo na majority ya christianity denomination. wao wanafanana kiasi na jews.. ingawa wanaamini katika Kristo Yesu na Jews hawaamini. ila supoprt yao iko imeegemea kwenye maeneo sababu wanaamini ni Holy place kwa wakristo na sio Dini zingine. kwa madhehebu kama wakatoliki, Walutheri na Walokole.. Eneo hilo ni Eneo Takatifu kiimani ila hawana itikadi kuwa haipaswi dini ingine kuishi hapo ndo maana unaona kama wako 50/50 yaani hawalichukuliii kwa imani kali kama waislam wanavyochukulia

Political Pychology
Hapa Israel support yake inatokana na faida za kisiana na kiuchumi hawa wanaomsapoti wanaitaka ( Ulaya na Marekani) its all about Dominance, ni katika kuhakikia wanakuwa na grip kwenye Arab world by any mans neccessary.

na kwasababu wanatofautiana kimitazamo na Arab world basi wanahakikisha kuwa soem hao kuko destablized ili waendelee kuwa na laverage

HITIMISHO
kwa mtazamo wa kijographia na Uasili Arabs wako biased sababu hata Israel wana mizizi hapo enzi na enzi infact toka karne za nane huko hilo Eneno lilikuwa linakaliwa na mataifa 2, Hebrew tribes, philistines baadae makabila ya Kiebrania yakagombana zikagawanyika na kuzaliwa tawala za Moab, Amon, israel, judah na mengine ( mind you sio Palestines maana hakukuwa na Nchi au Eneo linaloitwa palestine).

Na eneo hili ( Lavent, maana yake The East ndo jina la Eneo hilo au kama tunavyoita sasa eastern Mediterranean shores ila jina halisi ni CAANAN na waliokuwa wanakaa hapo kabla walikuwa wanaitwa Caananites) limekuwa likipitia kwenye umiliki wa falme mbali mbali wakibadilishana umiliki katika nyakayti tofauti.. kuanzia mapharaoi wa misri, wakaja kina mfalme nebu na babylon, wakaja kina Saladin na kina ASyria. wakaja kina Alexanders na Romans . na ofcourse kama mnavyojua kila zama inaacha vimelea..

So Hata hao wapalestina kiasili ni mchanganyiko wa Philistines ( watu kutoka Greece, na masalia ya wa caanan na hao wafilisti waliletwa huko baada ya kushindwa vita na wamisri na kukimbiolia caanan ku sattle ) ingawa baada ya Roma kuja kuangusha tawala za Philistines na baadaye na yeye kuangushwa na Ottoman kuja kuchukua basi jamii ya kizaz cha sasa cha Palestines kina asilimia kuwa ya Arab DNA sababu Ottoman alitawala kwa kipindi kirefu na eneo kubwa zaidi.. ila toka Enzi na Enzi hata kipindi cha Ottoman Jews walikuwepo..

So baada ya utawala wa Ottoma kuanguka na Ulaya kuja kushika hatam, kina uingereza France na wenzao ndo walishape na kutengeneza mipaka inayotumiak leo.. na ndio waliotoa uhuru kwa nchi za kiarabu... lakini ndio walileta Agendana kuisimmaia kwa nguvu kwa Israel kupewa Nchi yao

pendekezo la kwanza lilikuwa eneo ligawanywe kwa nchi tatu Palestine, Jordan na Jews, baada ya Jews kupewa sehem ya Uganda kukataliwa. na the iron on this is.. vikao vya majadiliano haya vilifanyika kati ya Ulaya na Arab leage yaani nchi za kiarabu ikiwemo iran, saudia na wengineo na wakakkubali kwa shart kuwa wao wapewe uhuru wa kujitawala. yaan waarabu wenzao wagawanywe ila wao wapate uhuru kamili.. na ikawa hivyo wakapewa uhuru na palestine ikagawanywa.. ingawa israel akwa anajiaribu kuiba Ardhi taratibu kila kukicha ..

cha ajabu wakat Israel anapewa utaifa walikuwa hawazi hata laki moja na wakawa wanaleta vurugu na kupora ardhi nashindwa kujua kwa nini palestine walikuwa wanawaangalia tu na wanakubali kuonewa... yaani hawakujiundia hata Jeeshi kujilinda..

Anyway kama nilivyosema suliuhisho ni mapak wakubwa wakikubali.. maana kama imewezekana sudani kugawanywa kwa nini ishindikane na kuendelea kuachwa taifa moja likibinywa... maana yake kuna watu wanafaidikia na huu mgogoro, the sad thing ni kuwa palestine wanashidnw akujua hilo hata watu wa asili yao Waarab wenzao nao ni sehem ya tatizo.. ikiwa walifanya mkutano kuwagawa toka mwanzo .. Waarab wangekuwa na nia ya kuikomboa palestien au kuleta Amani wangeweka shinikizo ikaweka miapaka na wao wakasaidia kulinda hiyo mipaka .. ila Israel anajiamulia anavyotaka
Mkuu bandiko lako ni kweli tena kweli tupu!
Sema watu hasa jamaa zetu wa upande wa 2 hawataki kubukua historia ili kujua ukweli!
 
Jitahid kujiimarisha zaidi kiroho.,,soma vizuri Mwanzo ,kuzaliwa Yesu na ufunuo chapter 19 verse 11 -16,utaona kwamba Yesu ni "Neno la Mungu" ,,kimwili ni mtu aliyejitambulisha kama mwana wa Mungu",sasa Kwa mkristu ni lazma uijue lugha ya Mungu Kwa kutafakari na kufundishwa na Roho mtakatifu ambaye anajukumu la kutufundisha kuhusu huyo Neno.
Unaposali Kwa kuomba Kwa kutumia maandiko na kutamka jina La Yesu Ile nguvu ni Yesu mwenyewe ambaye ni Hilo neno(power of God) ....thank you ubarikiwe
Sijakuelewa
 
Back
Top Bottom