Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
-
- #41
By the way mimi binafsi sina uelewa sana na Harmagedon.Yes
Actually Kuna vita Bado itakuja, inaitwa vita ya 'Almagedon'
Hapo ndo watakaposhuhudia muumba wa mbingu na nchi akitimiza aliyoyanena....
NOTE; Mtume Mohamed ndo mwislam wa kwanza, kabla yake hakukuwa na mwislam na alizaliwa miaka 570 baada ya YesuHabari wana JF.
Binafsi mgogoro wa wayahudi na wapalestina umenifanya nitafti vitu ambavyo hapo awali sikuwa na shida ya kuvijua.
Na hivyo vitu ambavyo nimetaka kuvitafti nimeishia njia panda tu bila kujua jibu sahihi ni lipi.
Ukiachana na mgogoro wa ardhi ulioko sasa kati ya wayahudi na wapalestina, kuna hili la HEKALU nalo ni kaa la moto.
Wayahudi wanaliita HEKALU,
WAKRISTO wanaliita KANISA na
Waislam wanaita MSIKITI
Yaani ki-ufupi wote watatu wanamaanisha kitu kile kile ambacho pia kinaonekana kuleta utata.
Sasa DINI ya KIYAHUDI na UKRISTO nitaiunganisha nitakapokuwa naelezea hili (maana tofauti ya dini hii huwa ni ndogo sana) lakini kwa UISLAM nitaielezea kitofauti kabisa.
KWA WAKRISTO : MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE anasema kwamba : HEKALU alilojenga suleiman liliharibiwa kwa mara ya kwanza na mfalme NEBUKADREZA kutoka Babeli mwaka 586 BC, kabla ya kuzaliwa YESU.
Alafu likaja kujengwa mara ya pili na DAUD nafikiri, lakini likaja likaharibiwa tena mara ya pili na Jenaral TITUS wa roman empire mwaka 70 AD baada ya kuzaliwa YESU.
Lakini mchungaji MAGHEMBE anaendelea kusema kwamba biblia imetabiri unabii wa kujengwa kwa HEKALU mara ya tatu kabla ya YESU kurudi tena.
Anaendelea kusema kuwa tayari mipango ya ujenzi imushawekwa tangu mwaka 1989 ambapo kuna kampuni ya kiyahudi imejipanga kwa ajili ya hilo, na anaesimamia mipango ya ujenzi wa HEKALU alimataja kwa jina sema nimemsahau kidogo ila ni kama RABI FRAIMAN nadhani nnavokumbukia.
Na anaendelea kusema kwamba tayari vitu vyote vilivyokuwa ndani ya HEKALU wayahudi washavitengezaga imebaki tu kusimamisha jengo.
Lakini kamalizia kwa kusema kinacho chelewesha ujenzi wa HEKALU hilo hadi sasa ni "kuna jengo la dini nyingine limejengwa pale lilipokuwa HEKALU la SULEIMAN" πππ
Hapana nadhani alimaanisha MSIKITI WA wa AL-AQSA sema aliogopa kutaja wazi.
Na kasema wayahudi hawawezi kujenga jengo HEKALU sehemu nyingine tofauti na pale lilipo hilo jengo la DINI nyingine (Bila shaka ni MASJID AL AQSA ana maanisha).
TUJE KWENYE UISLAMU sasa : Kwa mujibu wa SHEKH AL-HAJI SULLE yeye hatumii neno HEKALU bali anatumia neno MSIKITI.
SHEKH SULLE anasema kwamba MSIKITI ulijengwa na nabii Suleiman na ukaja kuharibiwa na NEBUKADREZA mwaka 586 BC.
Anaendelea kusema kwamba Msikiti huo baada ya kuharibiwa na NEBUKADREZA ulikuja kujengwa tena mara ya pili lakini ukaja ukaharibiwa tena jenaral TITUS wa RUMI Mwaka 70 AD.
Nilicho furahi hapa ni kwamba MAELEZO ya SHEKH SULLE yameenda sambamba kabisa na ya mchungaji MAGHEMBE bila kutofautiana hata kidogo ila tu tofauti ipo kwenye huyu anatumia neno HEKALU na mwingine anatumia neno MSIKITI πππ
Lakini nikaona tofauti za majina siyo isssue kubwa kwa sababu zote ni nyumba za IBADA π
SASA KUBWA KULIKO NI HII HAPA : Mchungaji maghembe anasema HEKALU la tatu bado halijajengwa ila mipango ya kulijenga imeshakamilika shida ni moja tu, mahali lilipokuwa hekalu pana jengo la dini nyingine π (masjid Al Aqsa) na wayahudi hawawezi kujenga hekalu tofauti na hapo.
Lakini SHEKH SULLE anasema MSIKITI wa Tatu ushajengwa tayari na ndiyo huo unauona sasahivi MASJID AL AQSA ambao uko Jerusalem.
Anasema msikiti huo ulijengwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA kutoka MADINA, SAUD ARABA mwaka 689-691 aliyeitwa ABD AL-MALICK πππ
Sasa hapa nishachanganyikiwa nashindwa kutambua ukweli uko wapo πππ
Kwa Wayahudi na Wakristo HEKALU/KANISA kwa mara tatu bado halijajengwa ila ndiyo lipo kwenye maandalizi ya ujenzi, na kinachokwamisha ujenzi huo hadi sasa ni uwepo wa jengi la dini nyingine, yaani msikiti wa AL-AQSA.
Lakini kwa waislam MSIKITI huo alio haribiwa na RUMI chini ya jenerali TITUS tayari umeshajengangwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA ABD AL-MALICK kutoka MADINA tangu mwaka 689-691 AD.
Sasa kina nani wapo sahihi ? Huu mgogoro ni mgumu sana kwa kweli.
Je, wayahudi watakuwa tayari kuubomoa msikiti wa AL-AQSA ili wajenge hekalu lao ? yatakuwa maamuzi magumu na ni hatari yanayoweza kusababisha umwagaji damu mbaya sana, maana ni mgongano wa imani tofauti.
Lakini Je, Waislam watakubali msikiti wao ubomolewe na wayahudi ili wao wajenge HEKALU lao ?
SHEKH SULE anasema waislam wote duniani wapo tayari kuulinda huo msikiti kwa gharama yeyote ile.
Hapo ndipo kitendawili kilipo .
Wenye dini yao hukataa na kusema kuwa Mohammed hakuanzisha uislam.NOTE; Mtume Mohamed ndo mwislam wa kwanza, kabla yake hakukuwa na mwislam na alizaliwa miaka 570 baada ya Yesu
Ni dini ya kiujanjaujanja
wanajichanganya tu. vitabu vyao vinasema mtume ndo muislam wa kwanza akifuatiwa na demu wake na wanandugu wengine wa familia yakeWenye dini yao hukataa na kusema kuwa Mohammed hakuanzisha uislam.
Wanasema Uislam ndiyo dini ya asilia ya mwanadamu tangu Adam na Eva π π π
Kuna muda huwa nakaa na kufikiri kwamba "kwanini Mungu anaitwa wa Upendo hufanya watu wauane" huwa sipati majibu kwa kweli.
Wapalestina wanat teseka sana kwa kweli.
Sasahivi GAZA ni kama jehanum.
Lakini ninacho shangaa waziri mkuu wa zamani wa israel (RAPHAEL BANNETI) anasema kwamba "suala la wapalestina kuteseka huko GAZA wao haliwahusu na wala si suala lao, kama ulimwengu una wahurumia basi uka wasaidie" .
Na kauli moja ya hovyo sana jamaa ametoa na viongozi wa dunia wanapiga kelele tu kuwa tunasimama na Israeli π₯²
Unaumiza kichwa chako bure kwasababu story nyingi za kwenye bibilia na Quran ni za kusadikika. Hivyo kuzeelewa kwa kutumia vitu halisia ni kuumiza kichwa bure. Hivi unajuwa hao wanao itwa Jewish Leo ni wakimbizi tu walio tengenezewa nchi kwenye nchi ya watu wengine.Habari wana JF.
Binafsi mgogoro wa wayahudi na wapalestina umenifanya nitafti vitu ambavyo hapo awali sikuwa na shida ya kuvijua.
Na hivyo vitu ambavyo nimetaka kuvitafti nimeishia njia panda tu bila kujua jibu sahihi ni lipi.
Ukiachana na mgogoro wa ardhi ulioko sasa kati ya wayahudi na wapalestina, kuna hili la HEKALU nalo ni kaa la moto.
Wayahudi wanaliita HEKALU,
WAKRISTO wanaliita KANISA na
Waislam wanaita MSIKITI
Yaani ki-ufupi wote watatu wanamaanisha kitu kile kile ambacho pia kinaonekana kuleta utata.
Sasa DINI ya KIYAHUDI na UKRISTO nitaiunganisha nitakapokuwa naelezea hili (maana tofauti ya dini hii huwa ni ndogo sana) lakini kwa UISLAM nitaielezea kitofauti kabisa.
KWA WAKRISTO : MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE anasema kwamba : HEKALU alilojenga suleiman liliharibiwa kwa mara ya kwanza na mfalme NEBUKADREZA kutoka Babeli mwaka 586 BC, kabla ya kuzaliwa YESU.
Alafu likaja kujengwa mara ya pili na DAUD nafikiri, lakini likaja likaharibiwa tena mara ya pili na Jenaral TITUS wa roman empire mwaka 70 AD baada ya kuzaliwa YESU.
Lakini mchungaji MAGHEMBE anaendelea kusema kwamba biblia imetabiri unabii wa kujengwa kwa HEKALU mara ya tatu kabla ya YESU kurudi tena.
Anaendelea kusema kuwa tayari mipango ya ujenzi imushawekwa tangu mwaka 1989 ambapo kuna kampuni ya kiyahudi imejipanga kwa ajili ya hilo, na anaesimamia mipango ya ujenzi wa HEKALU alimataja kwa jina sema nimemsahau kidogo ila ni kama RABI FRAIMAN nadhani nnavokumbukia.
Na anaendelea kusema kwamba tayari vitu vyote vilivyokuwa ndani ya HEKALU wayahudi washavitengezaga imebaki tu kusimamisha jengo.
Lakini kamalizia kwa kusema kinacho chelewesha ujenzi wa HEKALU hilo hadi sasa ni "kuna jengo la dini nyingine limejengwa pale lilipokuwa HEKALU la SULEIMAN" πππ
Hapana nadhani alimaanisha MSIKITI WA wa AL-AQSA sema aliogopa kutaja wazi.
Na kasema wayahudi hawawezi kujenga jengo HEKALU sehemu nyingine tofauti na pale lilipo hilo jengo la DINI nyingine (Bila shaka ni MASJID AL AQSA ana maanisha).
TUJE KWENYE UISLAMU sasa : Kwa mujibu wa SHEKH AL-HAJI SULLE yeye hatumii neno HEKALU bali anatumia neno MSIKITI.
SHEKH SULLE anasema kwamba MSIKITI ulijengwa na nabii Suleiman na ukaja kuharibiwa na NEBUKADREZA mwaka 586 BC.
Anaendelea kusema kwamba Msikiti huo baada ya kuharibiwa na NEBUKADREZA ulikuja kujengwa tena mara ya pili lakini ukaja ukaharibiwa tena jenaral TITUS wa RUMI Mwaka 70 AD.
Nilicho furahi hapa ni kwamba MAELEZO ya SHEKH SULLE yameenda sambamba kabisa na ya mchungaji MAGHEMBE bila kutofautiana hata kidogo ila tu tofauti ipo kwenye huyu anatumia neno HEKALU na mwingine anatumia neno MSIKITI πππ
Lakini nikaona tofauti za majina siyo isssue kubwa kwa sababu zote ni nyumba za IBADA π
SASA KUBWA KULIKO NI HII HAPA : Mchungaji maghembe anasema HEKALU la tatu bado halijajengwa ila mipango ya kulijenga imeshakamilika shida ni moja tu, mahali lilipokuwa hekalu pana jengo la dini nyingine π (masjid Al Aqsa) na wayahudi hawawezi kujenga hekalu tofauti na hapo.
Lakini SHEKH SULLE anasema MSIKITI wa Tatu ushajengwa tayari na ndiyo huo unauona sasahivi MASJID AL AQSA ambao uko Jerusalem.
Anasema msikiti huo ulijengwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA kutoka MADINA, SAUD ARABA mwaka 689-691 aliyeitwa ABD AL-MALICK πππ
Sasa hapa nishachanganyikiwa nashindwa kutambua ukweli uko wapo πππ
Kwa Wayahudi na Wakristo HEKALU/KANISA kwa mara tatu bado halijajengwa ila ndiyo lipo kwenye maandalizi ya ujenzi, na kinachokwamisha ujenzi huo hadi sasa ni uwepo wa jengi la dini nyingine, yaani msikiti wa AL-AQSA.
Lakini kwa waislam MSIKITI huo alio haribiwa na RUMI chini ya jenerali TITUS tayari umeshajengangwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA ABD AL-MALICK kutoka MADINA tangu mwaka 689-691 AD.
Sasa kina nani wapo sahihi ? Huu mgogoro ni mgumu sana kwa kweli.
Je, wayahudi watakuwa tayari kuubomoa msikiti wa AL-AQSA ili wajenge hekalu lao ? yatakuwa maamuzi magumu na ni hatari yanayoweza kusababisha umwagaji damu mbaya sana, maana ni mgongano wa imani tofauti.
Lakini Je, Waislam watakubali msikiti wao ubomolewe na wayahudi ili wao wajenge HEKALU lao ?
SHEKH SULE anasema waislam wote duniani wapo tayari kuulinda huo msikiti kwa gharama yeyote ile.
Hapo ndipo kitendawili kilipo .
Ichukua muda kunielewa kwa sababu tayari ushatanguliza unadharia na kusadikika.Unaumiza kichwa chako bure kwasababu story nyingi za kwenye bibilia na Quran ni za kusadikika. Hivyo kuzeelewa kwa kutumia vitu halisia ni kuumiza kichwa bure. Hivi unajuwa hao wanao itwa Jewish Leo ni wakimbizi tu walio tengenezewa nchi kwenye nchi ya watu wengine.
Kabisa aisee.ndo ujue dunia hii hakuna cha habari ya haki za binadamu wala nini utasaidiwa ikiwa watoa msaada wana uhakika watafaidikia kwa namna flani.. iwe kifedha, kirasilimali.. kidini yaani kivyovyote.. ukiwa huna pontential youyote tutabaki kukupigia kelele za kuwa unaonewa tukiwa mbali wenye nguvu ya kukusaidia wanataka wajue wanafaidikaje kwanza ndo wakusaidie
wewe utakuwa umepotoka...hii hii dini inayoagiza watu kukatwa vichwa ndio dini ya amani?!!!...hiyo ni dini ya shetani kamiliHilo mbona lipo wazi japo watasema tunawakashfu. Dini ya kiislama.ni dini ya Mpinga Kristo. Ni dini iliyojengwa juu ya Uyahudi na ukristo na imejengwa katika mwili. Wana mafundisho mazuri ya kustaarabisha na kumfanya mwanadamu amjue Mungu. Ni kweli imejengwa kwenye mafundisho ya kutenda matendo mema na utoaji. Hilo ni kitu kizuri ila wamekosa kitu kimoja. Kumkiri Yesu kuwa ni Bwana na Mwokozi wa Maisha yao. Wamekosa kumkiri na kumjua kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu. Wao wanamchukulia na kumdharau kuwa si kitu.
Biblia inasema wazi kuwa Roho ya Mpinga Kristo ni ile Roho inayopinga kuwa "Yesu hajaja kwa Jinsi ya mwili I.e kupinga uungu wa Yesu". Mpinga Kristo au "Masih Dajali" wanavyosema wao atakapodhihirika katika mwili atakuja kusuruhisha na kupatanisha kati ya mataifa baada ya kuvunjwa kwa huo Msikiti. Tukio hilo litatokea baada ya Unyakuo wa Kanisa. Biblia ipo wazi kuwa atafanya Amani na Patanisho kwa miaka 3.5 na kisha baada ya hapo atawageuka Wayahudi na wakristo walioachwa kwenye Unyakuo na ndio kutakuwa na dhiki kuu kwao kwa miaka 3.5
Baada ya hapo, Kristo atakuja mawinguni akiwa na watakatifu wake naye atafanya vita dhidi ya Islam waliojikusanya kupambana na wayahudi ili kulifuta taifa la Israel katika uso wa duniani. Jeshi la watu zaidi ya 20M waliotoka pande zote za nchi watakusanyika kwenye bonde la Megido kwa ajili ya siku ya Bwana. Naye Kristo atawakatilia mbali hao watu na Mpinga Kristo na Nabii wa uongo watakamatwa na kisha kutupwa kwenye ziwa la Moto.
Kwa mtini jifunzeni na muyaonapo hayo jua bwana yu karibu kurudi. Yajayo hayafurahishi hata kidogo.
Indeed, Mohammed aliuwawa kwa kuwekewa sumu na wanawake wa Kiyahudu ambao alikuwa na kawaida ya kuvamia vijiji vya Wayahudi na kuua wanaume kisha kubaka wanawake zao (wajane). Wayahudi walipomchoka, wakamuwekea sumu kwenye chakula.Hivi kumbe mohammed aliuliwa na wayahudi π€
Lakini kinachonishangaza zaidi ni wanaposema kwamba "Quran ni kitabu kilicho shushwa direct na Mungu kutoka mbinguni kama kilivyo leo" kwamba hakikuandikwa na mwanadamu.
Sina hakika sana na madai yako maana sijui chochote kuhusu kifo cha Mohammed kilitokea mazingira gani, japo najua aliwahi kuoa mwanamke wa kiyahudi.Indeed, Mohammed aliuwawa kwa kuwekewa sumu na wanawake wa Kiyahudu ambao alikuwa na kawaida ya kuvamia vijiji vya Wayahudi na kuua wanaume kisha kubaka wanawake zao (wajane). Wayahudi walipomchoka, wakamuwekea sumu kwenye chakula.
Mliobobea katika historia, muwe mkiamua kuichambua, basi msiache mwanya wa wafia dini na mashabiki zao kubaki na hoja za kimihemuko.Habari wana JF.
Binafsi mgogoro wa wayahudi na wapalestina umenifanya nitafti vitu ambavyo hapo awali sikuwa na shida ya kuvijua.
Na hivyo vitu ambavyo nimetaka kuvitafti nimeishia njia panda tu bila kujua jibu sahihi ni lipi.
Ukiachana na mgogoro wa ardhi ulioko sasa kati ya wayahudi na wapalestina, kuna hili la HEKALU nalo ni kaa la moto.
Wayahudi wanaliita HEKALU,
WAKRISTO wanaliita KANISA na
Waislam wanaita MSIKITI
Yaani ki-ufupi wote watatu wanamaanisha kitu kile kile ambacho pia kinaonekana kuleta utata.
Sasa DINI ya KIYAHUDI na UKRISTO nitaiunganisha nitakapokuwa naelezea hili (maana tofauti ya dini hii huwa ni ndogo sana) lakini kwa UISLAM nitaielezea kitofauti kabisa.
KWA WAKRISTO : MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE anasema kwamba : HEKALU alilojenga suleiman liliharibiwa kwa mara ya kwanza na mfalme NEBUKADREZA kutoka Babeli mwaka 586 BC, kabla ya kuzaliwa YESU.
Alafu likaja kujengwa mara ya pili na DAUD nafikiri, lakini likaja likaharibiwa tena mara ya pili na Jenaral TITUS wa roman empire mwaka 70 AD baada ya kuzaliwa YESU.
Lakini mchungaji MAGHEMBE anaendelea kusema kwamba biblia imetabiri unabii wa kujengwa kwa HEKALU mara ya tatu kabla ya YESU kurudi tena.
Anaendelea kusema kuwa tayari mipango ya ujenzi imushawekwa tangu mwaka 1989 ambapo kuna kampuni ya kiyahudi imejipanga kwa ajili ya hilo, na anaesimamia mipango ya ujenzi wa HEKALU alimataja kwa jina sema nimemsahau kidogo ila ni kama RABI FRAIMAN nadhani nnavokumbukia.
Na anaendelea kusema kwamba tayari vitu vyote vilivyokuwa ndani ya HEKALU wayahudi washavitengezaga imebaki tu kusimamisha jengo.
Lakini kamalizia kwa kusema kinacho chelewesha ujenzi wa HEKALU hilo hadi sasa ni "kuna jengo la dini nyingine limejengwa pale lilipokuwa HEKALU la SULEIMAN" πππ
Hapana nadhani alimaanisha MSIKITI WA wa AL-AQSA sema aliogopa kutaja wazi.
Na kasema wayahudi hawawezi kujenga jengo HEKALU sehemu nyingine tofauti na pale lilipo hilo jengo la DINI nyingine (Bila shaka ni MASJID AL AQSA ana maanisha).
TUJE KWENYE UISLAMU sasa : Kwa mujibu wa SHEKH AL-HAJI SULLE yeye hatumii neno HEKALU bali anatumia neno MSIKITI.
SHEKH SULLE anasema kwamba MSIKITI ulijengwa na nabii Suleiman na ukaja kuharibiwa na NEBUKADREZA mwaka 586 BC.
Anaendelea kusema kwamba Msikiti huo baada ya kuharibiwa na NEBUKADREZA ulikuja kujengwa tena mara ya pili lakini ukaja ukaharibiwa tena jenaral TITUS wa RUMI Mwaka 70 AD.
Nilicho furahi hapa ni kwamba MAELEZO ya SHEKH SULLE yameenda sambamba kabisa na ya mchungaji MAGHEMBE bila kutofautiana hata kidogo ila tu tofauti ipo kwenye huyu anatumia neno HEKALU na mwingine anatumia neno MSIKITI πππ
Lakini nikaona tofauti za majina siyo isssue kubwa kwa sababu zote ni nyumba za IBADA π
SASA KUBWA KULIKO NI HII HAPA : Mchungaji maghembe anasema HEKALU la tatu bado halijajengwa ila mipango ya kulijenga imeshakamilika shida ni moja tu, mahali lilipokuwa hekalu pana jengo la dini nyingine π (masjid Al Aqsa) na wayahudi hawawezi kujenga hekalu tofauti na hapo.
Lakini SHEKH SULLE anasema MSIKITI wa Tatu ushajengwa tayari na ndiyo huo unauona sasahivi MASJID AL AQSA ambao uko Jerusalem.
Anasema msikiti huo ulijengwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA kutoka MADINA, SAUD ARABA mwaka 689-691 aliyeitwa ABD AL-MALICK πππ
Sasa hapa nishachanganyikiwa nashindwa kutambua ukweli uko wapo πππ
Kwa Wayahudi na Wakristo HEKALU/KANISA kwa mara tatu bado halijajengwa ila ndiyo lipo kwenye maandalizi ya ujenzi, na kinachokwamisha ujenzi huo hadi sasa ni uwepo wa jengi la dini nyingine, yaani msikiti wa AL-AQSA.
Lakini kwa waislam MSIKITI huo alio haribiwa na RUMI chini ya jenerali TITUS tayari umeshajengangwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA ABD AL-MALICK kutoka MADINA tangu mwaka 689-691 AD.
Sasa kina nani wapo sahihi ? Huu mgogoro ni mgumu sana kwa kweli.
Je, wayahudi watakuwa tayari kuubomoa msikiti wa AL-AQSA ili wajenge hekalu lao ? yatakuwa maamuzi magumu na ni hatari yanayoweza kusababisha umwagaji damu mbaya sana, maana ni mgongano wa imani tofauti.
Lakini Je, Waislam watakubali msikiti wao ubomolewe na wayahudi ili wao wajenge HEKALU lao ?
SHEKH SULE anasema waislam wote duniani wapo tayari kuulinda huo msikiti kwa gharama yeyote ile.
Hapo ndipo kitendawili kilipo .
Hakuna sheikh atakayekupinga endapo utamuuliza Mohammed alikufa na nini, yaani ni kitu kisichopingika. Alivamia eneo la Wayahudi na kuua waume zao kisha akalazimisha yeye na wafuasi wake (maharamia) kupikiwa chakula, ndipo akatokea mwanamke shujaa wa Kiyahudi aliyeshawishi wenzake kumuwekea Mohammed sumu kwenye chakula.Sina hakika sana na madai yako maana sijui chochote kuhusu kifo cha Mohammed kilitokea mazingira gani, japo najua aliwahi kuoa mwanamke wa kiyahudi.
Lakini pia namna umempa sifa mbaya mtume kwamba alikuwa anabaka, una hakika na hili au umeazimia tu kumchafua mtume
Majeshi yalisha zunguka miaka mingi iliyopita 70 A.D, moto ukateketeza hekalu na israel wengi wakafa.Yaani wanasema ili kiama kije (mwana wa adamu arudi) ni lazima israel ipigwe kwanza.
Hahahaha wazee wa makobazi wanakuogopa sana mkuu unawapa sindano kaliSuala la Mashariki ya kati limenijenga Imani yangu mala Mbili.
Nimekoma sana kiroho na imaniyangu IMEKUWA kamili machoni Mwa Bwana.
LIMENIFANYA NIMUAMINI MUNGU KWA UTIMILIVU WOTE.
Vijana JifunzeniMambo ya mashariki ya kati mtafika hatuna mtaanza kumuona Mungu.
Na nyinyi WA makobazi njooni kwa Yesu.
Yesu alikuwa akiingia kwenye Sinagogi kusali. Sinagogi maana yake ni msikiti wa Kiyahudi.Habari wana JF.
Binafsi mgogoro wa wayahudi na wapalestina umenifanya nitafti vitu ambavyo hapo awali sikuwa na shida ya kuvijua.
Na hivyo vitu ambavyo nimetaka kuvitafti nimeishia njia panda tu bila kujua jibu sahihi ni lipi.
Ukiachana na mgogoro wa ardhi ulioko sasa kati ya wayahudi na wapalestina, kuna hili la HEKALU nalo ni kaa la moto.
Wayahudi wanaliita HEKALU,
WAKRISTO wanaliita KANISA na
Waislam wanaita MSIKITI
Yaani ki-ufupi wote watatu wanamaanisha kitu kile kile ambacho pia kinaonekana kuleta utata.
Sasa DINI ya KIYAHUDI na UKRISTO nitaiunganisha nitakapokuwa naelezea hili (maana tofauti ya dini hii huwa ni ndogo sana) lakini kwa UISLAM nitaielezea kitofauti kabisa.
KWA WAKRISTO : MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE anasema kwamba : HEKALU alilojenga suleiman liliharibiwa kwa mara ya kwanza na mfalme NEBUKADREZA kutoka Babeli mwaka 586 BC, kabla ya kuzaliwa YESU.
Alafu likaja kujengwa mara ya pili na DAUD nafikiri, lakini likaja likaharibiwa tena mara ya pili na Jenaral TITUS wa roman empire mwaka 70 AD baada ya kuzaliwa YESU.
Lakini mchungaji MAGHEMBE anaendelea kusema kwamba biblia imetabiri unabii wa kujengwa kwa HEKALU mara ya tatu kabla ya YESU kurudi tena.
Anaendelea kusema kuwa tayari mipango ya ujenzi imushawekwa tangu mwaka 1989 ambapo kuna kampuni ya kiyahudi imejipanga kwa ajili ya hilo, na anaesimamia mipango ya ujenzi wa HEKALU alimataja kwa jina sema nimemsahau kidogo ila ni kama RABI FRAIMAN nadhani nnavokumbukia.
Na anaendelea kusema kwamba tayari vitu vyote vilivyokuwa ndani ya HEKALU wayahudi washavitengezaga imebaki tu kusimamisha jengo.
Lakini kamalizia kwa kusema kinacho chelewesha ujenzi wa HEKALU hilo hadi sasa ni "kuna jengo la dini nyingine limejengwa pale lilipokuwa HEKALU la SULEIMAN" πππ
Hapana nadhani alimaanisha MSIKITI WA wa AL-AQSA sema aliogopa kutaja wazi.
Na kasema wayahudi hawawezi kujenga jengo HEKALU sehemu nyingine tofauti na pale lilipo hilo jengo la DINI nyingine (Bila shaka ni MASJID AL AQSA ana maanisha).
TUJE KWENYE UISLAMU sasa : Kwa mujibu wa SHEKH AL-HAJI SULLE yeye hatumii neno HEKALU bali anatumia neno MSIKITI.
SHEKH SULLE anasema kwamba MSIKITI ulijengwa na nabii Suleiman na ukaja kuharibiwa na NEBUKADREZA mwaka 586 BC.
Anaendelea kusema kwamba Msikiti huo baada ya kuharibiwa na NEBUKADREZA ulikuja kujengwa tena mara ya pili lakini ukaja ukaharibiwa tena jenaral TITUS wa RUMI Mwaka 70 AD.
Nilicho furahi hapa ni kwamba MAELEZO ya SHEKH SULLE yameenda sambamba kabisa na ya mchungaji MAGHEMBE bila kutofautiana hata kidogo ila tu tofauti ipo kwenye huyu anatumia neno HEKALU na mwingine anatumia neno MSIKITI πππ
Lakini nikaona tofauti za majina siyo isssue kubwa kwa sababu zote ni nyumba za IBADA π
SASA KUBWA KULIKO NI HII HAPA : Mchungaji maghembe anasema HEKALU la tatu bado halijajengwa ila mipango ya kulijenga imeshakamilika shida ni moja tu, mahali lilipokuwa hekalu pana jengo la dini nyingine π (masjid Al Aqsa) na wayahudi hawawezi kujenga hekalu tofauti na hapo.
Lakini SHEKH SULLE anasema MSIKITI wa Tatu ushajengwa tayari na ndiyo huo unauona sasahivi MASJID AL AQSA ambao uko Jerusalem.
Anasema msikiti huo ulijengwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA kutoka MADINA, SAUD ARABA mwaka 689-691 aliyeitwa ABD AL-MALICK πππ
Sasa hapa nishachanganyikiwa nashindwa kutambua ukweli uko wapo πππ
Kwa Wayahudi na Wakristo HEKALU/KANISA kwa mara tatu bado halijajengwa ila ndiyo lipo kwenye maandalizi ya ujenzi, na kinachokwamisha ujenzi huo hadi sasa ni uwepo wa jengi la dini nyingine, yaani msikiti wa AL-AQSA.
Lakini kwa waislam MSIKITI huo alio haribiwa na RUMI chini ya jenerali TITUS tayari umeshajengangwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA ABD AL-MALICK kutoka MADINA tangu mwaka 689-691 AD.
Sasa kina nani wapo sahihi ? Huu mgogoro ni mgumu sana kwa kweli.
Je, wayahudi watakuwa tayari kuubomoa msikiti wa AL-AQSA ili wajenge hekalu lao ? yatakuwa maamuzi magumu na ni hatari yanayoweza kusababisha umwagaji damu mbaya sana, maana ni mgongano wa imani tofauti.
Lakini Je, Waislam watakubali msikiti wao ubomolewe na wayahudi ili wao wajenge HEKALU lao ?
SHEKH SULE anasema waislam wote duniani wapo tayari kuulinda huo msikiti kwa gharama yeyote ile.
Hapo ndipo kitendawili kilipo .
Sio kweli.Huwa mkuu nasahihisha sana humu ndani Dome of rock kama inavyoonekana kwenye picha sio Masjid al Aqsa bali ni jengo tu ndani ya Eneo linaloqualify kama AL Aqsa.
View attachment 2788246
Hilo ni jengo kama majengo mengine.
Kwa sisi waisilamu Masjid Al Aqsa ni eneo na sio Jengo, Waisilamu Palestina waki swali Al Aqsa wanaswali Open space
Hii picha inaonesha umati wa watu kama 250,000 wanaswali huku wakiipa Mgongo Dome of rock.
View attachment 2788247
Hii Ni ramani inaonesha Al Aqsa
View attachment 2788248
Huo mstari wa orange eneo lolote ni Masjid Al Aqsa.
Pia hilo eneo kwa miaka zaidi ya 1000 dini zote 3 zipo hapo, Palestina ya kabla ya 1948 ilikua na wayahudi na wakristo na wote wanaabudu kwa Kuheshimiana.
Waisrael wa sasa hawaongozwi na Dini ni Zionist wanatumia tu Uyahudi kama kisingizio. Myahudi hali nguruwe, myahudi hali kibudu, myahudi hakubali Ushoga etc lakini Israel ya sasa inafanya yote hayo. Orthodox jews ambao wanafuata Torah wengi hawakubaliani na taifa la sasa la Israel. Hivyo usishangae waki chukua hilo eneo wakalifanya Mc Donald ama KFC ama hata wakaweka Danguro la Mashoga.
Mfano wa Anti Zionist jew
View: https://m.youtube.com/watch?v=gVuHgaTdysY
Nenda youtube search Anti Zionist jews upate faida ya upande mwengine wa Jews ambao unawapenda waisilamu na wakristo wa Palestina na wao wanavaa vitambaa vyeupe na nyeusi kama wapalestina wengine.
Jitahid kujiimarisha zaidi kiroho.,,soma vizuri Mwanzo ,kuzaliwa Yesu na ufunuo chapter 19 verse 11 -16,utaona kwamba Yesu ni "Neno la Mungu" ,,kimwili ni mtu aliyejitambulisha kama mwana wa Mungu",sasa Kwa mkristu ni lazma uijue lugha ya Mungu Kwa kutafakari na kufundishwa na Roho mtakatifu ambaye anajukumu la kutufundisha kuhusu huyo Neno.MImi bhan kwenye suala la dini huwa nipo neutral sana.
Sina maana ya kwamba siamini uwepo wa Mungu, hapana.
Neutrality yangu ipo kwenye "Dini ipi ni sahihi kwa Mungu (perfect religion)" hapo ndipo U-neutrality wangu ulipo.
By the way nakubaliana zaidi na hizi dini tatu (Uyahudi,Ukristo na uislam) kwa maana ndizo naona huamini katika Mungu mmoja (Yehova/Allah), lakini ukinambia ni dini zipi kati hizi tatu ni sahihi zaidi, huwa nabaki neutral sana ani.
Hii ni kwa sababu tofauti ya hizi dini tatu huwa ni ndogo sana.
Ukristo umejengwa mizizi yake ya imani kutoka dini ya kiyahudi isipokuwa tu wametofatiana kwenye Yesu/Messiah.
Kwa dini ya kiyahudi Yesu/messiah hajaja bado wanamsubiri mpaka leo, ila kwa wakristo Yesu alishakuja na akakataliwa na wayahudi.
Hiyo ndiyo tofauti yao kuu kati ya uyahudi na ukristo, ni kuhusu Yesu/Messiah tu.
Lakini pia Ukristo na Uyahudi una tofautiana sehemu moja tu kwamba "Uyahudi na Ukristo hazimtambui au kumzungumzia Mohammed kuwa ni mtume wa Mungu, nikiwa na maana hajaandikwa kabisa kwenye vitabu vya dini hizi mbili (Biblia ya kikristo au kiyahudi hazijamzungumzia mtume Mohammed).
Na muda huo huo waislam wanaamini Mohammed ndiyo mtume wa mwisho wa Mungu.
Lakini ukitoka Mohammed, mitume ambao wako kwenye dini zote ni wale wale, sijui kina Ibrahim, Musa n.k.
Ila tatizo kubwa sasa liko hapa "mitume na manabii hao waliopo kwenye hizi dini wamezungumziwa katika matendo tofauti sana"
Mfano : Ukristo unasema Yesu alizaliwa kwenye hori/zizi la ng'ombe, Uslam unasema Maryam alimzaa Yesu jangwani chini ya mtende tena akiwa peke yake bila msaada wowote, then kukatokea miujiza ujiza pale.
Ukristo unasema Yesu alisubuliwa akafa alafu akafufuka na kupa mbinguni, Uislam unasema Yesu aliondoshwa na Mungu ki-miujiza akapaishwa mbinguni then watu waka-msulubu Yuda wakijua ndiyo Yesu π
Ukristo unasema aliyetaka kutolewa na Ibrahimu kuwa Sadaka alikuwa ni Isaka na eneo ilikuwa ni Yerusalem lilipo jengwa HEKALU la Suleiman, Uislam unasema aliyetaka kutolewa na Ibrahim kuwa sadaka alikuwa ni Ishmael (ismail) na eneo ilikuwa ni Mecca ilipojengwa Al-kaaba leo hii π π π
Utofauti wa stori ni nyingi nikisema niandike hapa nitajaza page, nimeamua tu niseme baadhi.
Lakini nilichotaka kusema ni kwamba "Utofauti wa hizo hadithi za matukio bado hazitoshi kumfanya mwanadamu asiamini uwepo wa Mungu".
NB : Mimi ni Mkristo na namwini Yesu kama mwana wa Mungu ila simwamini Yesu kama Mungu, maana Yesu ndiye aliyesema yeye ni mwana Mungu na hakusema yeye ni Mungu.
Japokuwa waliokuja kuandika kuhusu Yesu badae ndiyo waliokuja kuonesha kana kwamba Yesu alikuwa ni Mungu, japo mimi siamini katika hilo kwa sababu moja keamba "hakuna mahali kwenye Biblia Yesu amesema yeye ni Mungu, bali amesema tu Yeye ni mwana wa Mungu aliyegumwa na Baba (Mungu) kuyatenda mapenzi ya Mungu.
Na hata alipopaa alisema "naenda kwa Baba kuwaandalia makao ili nilipo mimi nanyi muwepo, maana nyumbani mwa Baba yangu mna makao Mengi".
Sasa huwezi kulazimisha kusema Yesu ni Mungu wakati yeye mwenye alikataa kuwa siyo Mungu.
Japo waliokuja badae kuandika kuhusu yeye kama kina TITO walikuja kuonesha Yesu alikuwa ni Mungu.
Lakini pia mimi siamini kama Uislam unamdharau Yesu, ni kwamba tu wana mwamini kama nabii na alikuwa na nguvu kuliko hata Mohammed.
Na hata wanasema Quran imetaja jina la Yesu mara nyingi kuliko la Mohammed, so mimi sidhani kama anadharauliwa na uislam au waislam.
Ni vile tu wame-base kwa Mohammed kwa sababu ndiye mtume wa Mwisho wa Mungu kwa mujibu wa imani yao.