Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Mfumo gani weka wazi?

Km usipoweka wazi basi huna uhakika na kile unachokisema!

Mkuu ntuzu.
Olemhola mwanawane,

Huu mfumo mkuu muanzilishi hassa ni mkoloni, na alipoondoka akamkabidhi nyerere kuuendeleza. Yule bwana akauimarisha vizuri sana kwa imani yake ya kikatoliki!
Historia yake ndefu mno.

Na kama ndugu yangu crabat alivyokuonjesha hapo juu umeona mwenyewe.

Huu mfumo KRISTO mkuu ndio unaotugawa hapa TZ.
Unatubagua , na HUU NDIO UTAKUWA SABABU KUBWA YA AMANI YETU KUPOROMOKA.
Soma kwa kituo halafu leta maoni yako.

Wabeja nkoi.
 
Last edited by a moderator:

Tumia akili usitumie ma sa bu ri---- yako kufikiri, huyo sheikh Ponda ni msemaji na mtetezi wa waislamu.Na kama kweli sheikh Ponda Ana makosa why wanamtesa (kumfunga na kumwachia Mara kwa Mara?)
 
Hivi huo ugaidi walikuwa wanamfanyia nani huko vijijini? wewe?

Wakati nyie weusi mnagombana kwa dini za kuletwa na meli, wenzenu waliowaleteeni "dini" hizo, waarabu na wazungu, wanazidi kushirikiana kibiashara zaidi kuleta maendeleo kwa nchi zao. Tazama jinsi uchumi wa Middle East kwa sasa unavyoendeshwa na resources (human, technical, etc.) za "makafiri" wa kizungu.

Fanyeni kazi muendelee...after all hakuna aliyekufa akarudi kusimulia kilichoko huko mnakoambiwaga kuna pepo...Sasa hihi kuna mijitu mieusi inauana huko Afrika ya Kati eti ikijitambua kwa ukristo na uislamu!
 

We mbulula aliyekwambia WAISLAMU NI WANYONGE NI NANI!
Paka shume wanapenda sana kula uchafu.
Na ule uchafu wa mfumo kristo ndio ulio ktk matumbo yenu. Mnajamba uvundo kila mkiandika hapa.
Mojamed said halalamiki BALI ANAELIMISHA JAMII ambayo imejaa Mambulula kama wewe!
Watu wazima mpaka leo HII 21st century BADO MNAABUDU PICHA YA MZUNGU NA SANAMU YAKE!! Na kwa akili za namna hii ni vigumu sana kwa WASOMI kama Mohamed said kuwaelimisha. Lkn kwa sababu juu ya kuwa wanafunzi wengi akili mbovu mwalimu huwa hachoki kufundisha!
Na hicho ndicho anachokifanya

Muheshimiwa Mohamed Said.

Na kwa upungufu wa fikra zako unadhani hizo hujuma wanazofanyiwa waislamu zitakufanya wewe na wale makafiri wengine kuishi maisha ya amaani kabisa!

Time will tell donkeys!
And when the right time comes! People like urself will pee in their pants.!!
 
Last edited by a moderator:

Nale mwala bhageshi!

Unajua Mkuu Nilitaka kujua undani Wa huu mfumo Na kuna maswali nimemuuliza Crabat baada ya kutoa hayo maelezo yake! Na vile vile ningependa kukuuliza ata wewe! Ivi huu mfumo Uko Tz tu Au hu mfumo chanzo chake ni Kanisa la Roman Tz tu? Na Kama si Tz tu kwanini kuilaumu serikali ktk huu mfumo Wa kidunia? Ebu Nikuombe na niwaombe muutolee maelezo Kwa ndani Zaidi huu mfumo Kwasababu Nahisi kuna vitu Bado vinapwaya Au Nahisi Kua serikali yetu haipaswi kulaumiwa!

Naitaji maelezo Zaidi!
Obeja wang'wiswe
 
Last edited by a moderator:

du du du huo ni mdomo wako unaotoa maneno machafu kama CHOO CHA SHIMO?
 
Ni vigumu kutofautisha kati ya muislam na gaidi,maana ugaidi na uislam ni pande mbili za shiling moja,kwa hyo kupambana na ugaidi ni lazma kupambana na uislam.

cc: FaizaFoxy, kahtaan, Ritz
 

Muhimu kweti sisi watanzania ni kile kinachotokea hapa kwetu!
Na tukiongelea MFUMO KRISTO basi tunaongelea uliopo HAPA TZ!
Yale yalioko nje ya Tz hayatuhusu sisi. Na km wewe mkuu ntuzu unapenda kuufahamu zaidi tena kwa undani huu mfumo kristo. Basi tafuta kitabu kimoja hapo Dar.au mwanza . Na arusha. Kilichotengenezwa na wasomi KINACHOONGELEA MFUMO KRISTO.
Watu wanapiga kelele bila hata kusoma na kufahamu waislamu wanasema nini kuhusu MFUMO KRISTO.

Tukwibhona ntondo!
 
Kwenye mambo ya dini mm sitiii neno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Napita tu mm mwenyewe mgeni.
 
du du du huo ni mdomo wako unaotoa maneno machafu kama CHOO CHA SHIMO?

We unaujua mdomo mchafu??
Mdomo mchafu ni ule unaosema kuwa MUNGU AMEZAA. NA MUNGU NI miungu mitatu kwa mmoja! Na Mungu ni dhaifu kuliko Viumbe wake!
Na Mungu ALIUWAWA NA VIUMBE WAKE.!
Hio ndio MDOMO UNAONUKA KULIKO CHOO CHAKO CHA SHIMO!
Myahudi mweusi!
 

Nilijua tu huku ndo mnakoelekea. MUNGU NA AWASAMEHE. KWANI HAMJUI MLINENALO
 
je rais kikwete ameruhusu vita dhidi ya uislamu?

Mossad II,
Tatizo ni kuwa baada ya mauaji na udhalilishaji kupitika katika vijiji vya Madina,
Dibungo na Lwande kumalizika taarifa zikaanza kuvuja mjini Tanga chini kwa
chini na ukubwa na uzito wa jambo hili ukafahamika kwa serikali hofu ikaingia.

Itakuwaje endapo opersheni ile itajulikana kwa Waislam.
Kilichofuata ni juhudi za kufunika yale mauaji na uchomaji misikiti ba nyumba.

Sehemu yote ile ikapigwa pete kwa watu kuingia.

Muislam wa kwanza kufika Madina aliingia kwa kujificha na usiku ilipopita saka
saka ya nyumba kwa nyumba wenyeji wake walimtorosha kwa pikipiki hadi
Segera.

Huyu ndiye akawa mtu wa kwanza kuwafikishia Waislam yalitotokea huko.

Katika hali kama hii si swali la kutafuta nani karuhusu unyama ule.
Kitu cha kufanya ni kufanya uchunguzi.

Baada ya uchunguzi ndiyo tunaweza kusubiri kauli ya rais.
 

Attachments


Kwelitupu,
Unanisoma kinyumenyume hata siku moja sijapata kuwaeleza Waislam
kuwa ni wanyoge.

Wala historia ya Waislam Tanzania kuanzia Vita vya Maji Majihadi kuja
kupigania uhuru nimewaeleza Waislam katika historia yao ya mapambano.

Vitabu vyangu na papers zangu zipo kote zitafute usome.
Historia kama hii ''inferiority complex'' itaingia wapi?

We unaniona nimeingia hapa uwanjani kwa jina langu kamili bila ya kujificha.

Hii ni dalili ya unyonge au uoga?

Mimi silalamiki.
Kulalamika neno hilo linatokana na ulalamishi.

Mimi silalamiki mimi nasomesha historia ya wazee wangu iliyofichwa kwa
zaidi ya nusu karne ikapachikwa na kuwapa watu heshima zisizozao.

Mimi silalamiki mimi naweka bayana dhulma na uchafu mwingine
wanaotendewa Waislam wa Tanzania.

Mimi najiamini sana na nimesimama kwingi duniani katika majukwa
ya kigeni nikiwa peke yangu na nikazungumza yote niliyotaka na
kujibu maswali yao.

Hii si dalili ya mtu asiyejiamini.
Una shaka kuhusu utukufu wa Uislam?

Angalia mfano wa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika.

Nani waliongoza mapambano yale?
Nani waliasisi TANU nani walitoa fedha za kupambana na Muingereza?

Isome historia hii utapata jibu.

Angalia hii picha hapa chini.

Chiku Galawa hakutaka kusikiliza upuuzi...
Hakutaka kusikiza upuuzu upi?

Unajua kuwa tatizo la ushuru lilitokea Kilindi alipouliwa mgambo?

Je unajua kuwa hao watoza ushuru walikwenda kudai ushuru nyumbani
kwa mtu na si sokoni?

Je unajua kuwa Madina hawakuhusika na yaliyotokea Kilindi?

Je unajua kuwa Sheikh Hamisi Msuri kauliwa mbele ya msikiti Madina
na hakuwa na habari yoyote kuhusu ushuru wa hiliki?

Je unajua kuwa Lwande nako msikiti ulivunjwa na matofali yake yakapelekwa
kujenga zahanati ya serikali?

Je unajua kuwa vibarua walikataa kuchukua kazi ya kuhamisha matofali ya
msikiti kwenda kwenye kiwanja cha serikali kujenga zahanati?

Unajua kuwa propaganda iliyokuwa inavumishwa ni kuwa ati Waislam wa
huko walikuwa wanaishi katika mahandaki?

Nani mpuuzi?
Msemakweli kipi kimekufanya utumie neno hili ''upuuzi?''

Sisi wapuuzi?

Anevamia na kuchoma na misikiti na kuvunja nyumba au yule anetaka haki
isimame?

Mbona kama kulikuwa na magaidi kazi ilikuwa ni ndogo tu ya kuwakamata?
Nani mpuuzi?

Yule anaepeleka askari kuua na kuchoma misikiti na nyumba na kuiba mali zao?
Angalia picha ya msikiti mabao haupo msingi umechimbwa.

Msikiti na ushuru wa hiliki kuna uhusiano upi?
Nani mpuuzi?
Nani mpuuzi?

Nani mpuuzi kuiko yule aneamini ati Lwande kulikuwa na mahandaki ya Al Shabab?
Hii inaitwa cock and bull story.

Chiku Galawa...
Msemakweli ahsante kwa kuniletea jina hili.

Kajiingiza vizuuuri katika historia.

Believe this and you will believe everything.
Nani mpuuzi?

Yule anetoa amri kuwa yeyete aliyevaa kanzu na kuonyesha athari za
Uislam ashushwe kwenye basi na airuhusiwe kuingia Handeni...

Unajua kuwa hizi ni mbinu wakitumia Manazi wa Hitler dhidi ya Wayahudi
wakati wa Vita Kuu ya Pili?

Haya leo wanafanyiwa Waislam tena wa vijijini...
Kisha unawaita wapuuzi.

Chiku Galawa...

Ziko picha nyingi In Sha Allah tutaziweka hapa.
Msemakweli huenda ulikuwa hujui.

Kanzu za Waislam ndizo zilizopigania uhuru wa Tangnayika na ushahidi ni
hiyo picha.

Wangefufuka hawa wazee wetu wakaiona nchi walioikomboa kuwa
inachukia kanzu wangesema, ''Au tumefufuka nchi nyingine?''
 

Attachments

  • TITI MOHAMED, NYERERE NA BARAZA LA WAZEE WA TANU.jpg
    85.9 KB · Views: 54
Hapo kwenye blue, kama hiyo ni sababu ya kumpa heshima OSAMA, basi wewe si Muislamu. Ila kama muislamu wa kweli anatakiwa awe kama wewe, basi uislamu ni tatizo.
 

gheee!
 
Last edited by a moderator:

Pole sana mzee wangu kwa majukumu yakuelimisha watanzania. Mungu akupe afya na umri mrefu uendelee kutupa ilmu.
 


Mkuu kuna haja ya kuuchambua kimataifa Kwasababu km mfumo huu chanzo chake ni ukatoriki huu sio msimamo Wa Hilo Kanisa Kwa Tz ni Dunia nzima! Au km ni Tz tu tujue! Ndio maana nikasema Nahisi kuna vitu vingi ambavyo Kwa namna moja Au ingine hamvisemi wazi wazi!

Semeni ndugu zangu km chanzo chake ni hapa Tz tu tujue Au Km muongozo huo unatoka Vatican kwenda Kwa serikali za Dunia nzima tujue!
 

Hakuna sehemu nimesema CHANZO CHAKE NI UKATOLIKI!
Kumbuka mtawala aliyetuletea sisi UKRISTO alikuwa ni muingereza!
Na WAINGEREZA SIO CATHOLICS! Bali ni CHURCH OF ENGLAND.

LKN aliyeuendeleza kwa NGUVU ZOTE NI MKATOLIKI NYERERE.

Sasa ya nini sisi tuingilie MAMBO YA KIMATAIFA WAKATI YETU BADO YANATUSHINDA??
Tunacho takiwa sisi Watz tulione hilo kwa pamoja na tusaidiane KUONDOA HUU MFUMO KRISTO KTK NCHI YETU!
LA si hivyo. Balaa kubwa inakuja mbele!
Asante
 


Mkuu nimekuelewa! Unajua Yule ndugu Crabat ktk maelezo Yake yale mengi ameutaja Ukatoriki na Vatican na ndio maana Mimi nikapenda kujua huu mfumo kristo ni msimamo Wa katoliki Tz tu Au Vatican!

Mimi Nafikiri niachane na hiki kitu nitatafuta njia ingine kujifunza Zaidi!

Obeja sn nkoi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…