jogoolashamba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 348
- 71
Wacha kuanika kama umekali kitu kigumu wewe!
We unaweza kuamua kumuita mwanao baba??
Mnfnsssssss!
Sasa vipi Mungu aamue kumuita kiumbe mwingine Mungu??
Au umevuta bangi nini wewe!
Huna adabu kabisa!
Ndio tukawaita magalatia!.akili ndogo domo kuuuuuubwa linalonuka!
Hebu kaoge kwanza halafu rudi hapa.
Sikujua unashiriki kula nguruwe. Ndiyo maana unachanganya mambo! Hakuna msahafu unaomtaja Adamu kuwa Mwana wa Mungu. Vitabu vyote vinamtaja kuwa aliumbwa ili ailime na kuitunza bustani ya Eden pamoja na viumbe wengine waliokuwemo.
Kahtaan unashangaza kurukia mambo bila kuyatafakari. Soma maandiko halafu ndiyo ulinganishe, siyo unasema hata ambayo hayapo katika maandiko.Nani kasema Yesu hana Baba? Si wewe huyo unayemwita Mwana wa Mariam? Kama si ujinga ni nini kueneza kuwa Mwanamke alijitungisha mimba bila mume?
Misahafu inasema Mungu aliahidi kuleta Mkombozi. Hata hesabu zenyewe zinabainisha hivyo. Miaka ilihesabika KABLA YA KRISTO na baada ya yeye kuzaliwa na kupaa mbinguni hesabu ikawa BAADA YA KRISTO.
Mtu anayebishana na Hekima zote hizi si rahisi kumwelewesha. Unakubali hesabu ya Mtume wako (Mwanadamu) ya miaka ya AH. Ya kabla ya hapo unaijua ilikuwa inahesabika vipi? Au unadhani nyakati zimeanza Mtume wako alipoanza kuhesabu?
BADILIKA ili uwe mwenye Hekima ya kutoka kwa Muumba wako. Huwezi kuwa mjanja kuwazidi wote waliokutangulia ukashindana na matukio. Unatafuta LAANA.
Wapi na wapi?? Bado unampimia Mungu kazi zake! Yeye kasema atamtuma Mwanae ili kwake yeye ulimwengu upate kuokoka, Kahtaan hataki! Basi nisije nikashiriki kufuru yako kwa Mungu, amini utakalo lakini ukweli unaujua.
MOSSAD IIwakati wakristo wanapambana kusoma nyie mnang'ang'ania kuchinja! what do you expect?
CC: kahtaan, FaizaFoxy, Mohamed Said,wabara
kwanini wayahudi hawatumii agano jipya?.ukipata hilo jibu utajua kwanini wakristo hawatumii quran.
Madawa mmeyachanganya ninyi na sasa yanakuvurugeni na dawa halisi ni haya yanayowekwa wazi,
Mada
KWELI TUNAPIGA VITA UGAIDI AU NI VITA DHIDI YA UISLAMU?
Sasa twende ambapo pamekutatiza na si ulete porojo.
Eti anamtuma mwanae duh mawazo mgando hayo!
Ntuzu
Post(s) zako nimepitia nawe nadhani zetu umepitia,
Hapa twashindanisha hoja na bahati mbaya watu wengine wa upande wa pili wanakuja kwa nyingi kejeli,
Swali kwako Ntuzu,
1: Hizo uitazo lawama zinamlenga nani tangu usome Bandiko za Mzee Ms na huyo alengwaye kesha react chochote juu baada ya mlengwa kufikiwa na ujumbe?
2: Kwanini maeneo yanayokaliwa na Waislaamu kila litokeapo tukio fulani wananasibishwa Waislaamu na mbaya zaidi wanapachikwa kuwa ni Magaidi wakati hawana hatatafiti?
Mfano ni katika uzi huu na maeneo tajwa mengine?
Wewe silaha yako kubwa ni kutukana.wewe akili yako huwa iko M..A..K..A..L..I..O..N..I kwako!
Mpaka leo bado unautando na upogo wa kutoamini kwamba Serikali huwezitenganisha na Kanisa pamoja na mabandiko yote yaliyokwishapita hapa au Jf umejiunga jioni hii?
Hivi Serikali ni nini?
Rejea,
KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953-1985,
Ama nacho kimeandikwa na Padre wa Kiislaamu?
Hivi unataka ushahidi wa style ipi lakini sio makosa yako ni ukilema wa fikra zako ndio unakusukuma kuandika hayo unayofikiria akilini mwako.
Mkuu mlengwa Wa yote hayo ktk bandiko la Ms ni serikali na ninaamini Taarifa watakua wapeta na watakuja kulishughulikia!
Hii Dhana ya ugaidi inatumiwa vibaya na Watawala! Tunaona ata wapinzani Wa kisiasa wanaitwa magaidi! Kwahiyo Hiyo Dhana haijakaa vizuri!
Wacha longalonga na kutumwagia povu hapa!
Jibu swali!
Kuna gaidi zaidi ya huyo mwenye kibalagashia km mpika vitumbua??
Uliberali kwake!
Madawa ya kukevya kwake!
Mafia wauwaji wote wanatoka huko.
Jibu swali hapa!
Mfumo kristo ni nini? Mfumo wa damu umeitwa mfumo kwa sababu damu imeenea kote mwilini. Watu wa dini ya kikristo imehodhi asassi zote za nyeti za uongozi na mamlaka katika nchi hii, sehemu zote za nguvu/maamuzi ya dola zimeshikwa na wakristo tangu uongozi wa juu ikulu mpaka kiongozi wa mtaa uongozi wote umeshikwa na mfumo kristo. Na hao walioshika hizo nyadhifa wanazitumia kuuendeleza ukristo na kukandamiza uislamu.
Angalia hapa kazi ya mfumo Kristo tuanze na Benki ya Posta nimegusa kiduchu tu kwenye Management Wakirto watupu unadhani hili limefanyika kwa bahati mbaya.
MR. SABASABA KITEWITA MOSHINGI
Chief Executive Officer and Managing Director
MR SOSTENES NYENYEMBE
Director of Internal Audit
MS. BERNADETHE JOSEPH GOGADI
Director of Strategic Planning
MR. MOSES MANYATTA
MR. DEOGRATIUS KWIYUKWA
Director of Marketing and Business Development
MR. MICHAEL MWAKYANDILE
Director of Credit
MR. PETER MAPIGANO
Director of Human Resources
Mr. JEMA MSUYA
Director of Operation and Technology
Ms. REGINA SAMAKAFU
Ag. Director of FinanceMrs. Mystica Mapunda Ngong
Director Legal Services
Ms. NOVES MOSES
Chief Manager, Corporate Affairs
MR.BERNARD MWANDU
Chief Manager Procuremen
Takuja na Mashirika yote na taasisi zote za serikali pamoja na wizara si umetaka kujua mfumo Kirtsto ni nini.
Nyie watu mna matatizo sana
Sijui kama unaelewa maana ya quote
Quote maana yake unakijibu kilicho kwenye hiyo quote
Lakini nyie hamfanyi hivyo
Una quote kitu kingine unajibu kitu kingine
Hicho ulichokiquote hujajibu hata moja
Sijui unajifanya huoni?
Pamoja na hayo wewe unadhani kila kitu kilicho kwenye maandishi ni kweli
Unasema kuwa pamoja na mabandiko mengi ya JF bado siamini kuwa huwezi kutenganisha serikali na kanisa
Uko wapi huo ushahidi wa ku back up haya madai yako?
Au utakuja kumwambia tena mwingine kuwa na hili bandiko lako ni ushahidi wa yeye kuamini kuwa huwezi kutenganisha kanisa na serikali?
Mbona mnakesha hapa JF kuitetea hii hii serikali?
Mna walakini kwenye mfumo wenu wa kufikiri nyie
Mimi sijui serikali ni kitu gani
Kwanini wewe ambae unasema huwezi kuitenganisha na kanisa ukaniambia ni kitu gani?
Hicho kitabu alichokiandika huyo padri kina ushahidi gani wa ku back up madai yake au ni porojo zile zile?
Ntuzu
Baada ya kukiri kwako, nakufungua macho kidogo kwa nfumo huo huo wa swali:
Unadhani Waislaamu hawajawahi kuifikishia taarifa hiyo Serikali au hiyo Serikali haijui ikitendacho?
Kauli ya wata wata wata...., Waislaamu tuishachoka nayo, kinachoonekana ni kupuuzwa na Serikali katika hoja watoazo Waislaamu,
Tunaelekea wapi sasa baada ya mapuuzo na kupachikwa majina hayo?
Si kubaliani 100/100 na wewe kuwa eti Wapinzani wanaitwa Magaidi hapana si kweli,
Usikiapo Gaidi jua anakusudiwa Muislaamu kama mimi hasa hivi nilivyofuga ndevu zangu na kuvaa kanzu,
Si wewe mwenye Rozali shingoni, ili nikubaliane nawe naomba mifano ya nchi za Kikristo.
Leo unapinga maandiko ya Padre ama naye kawa Gaidi,
Teh teh teh......!