Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa katika vijiji vya Handeni.

Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.

Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji vimeteketezwa.

Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha ya risasi.

Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana waliokuwa wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na askari.

Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga baada ya kukutwa porini.

Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.

Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa Tanga kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa porini ni Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande walioshambuliwa na askari pasi na sababu.

Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor Omari Guledi na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.

Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja katika masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha kuhamishwa Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''

Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh Chanmbuso.

Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na maadamano yoyote.

Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na habari za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande.

Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji vilivyoshambuliwa.

Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti maarufu Tanga aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na kuchomwa moto, Qur'an zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam zilizoteketezwa kwa kisingizo cha ugaidi.

Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.

PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.

Shukran sana Mwalimu Moh Said

TUTAENDELEA KUELEZEA UHALISIA
 
Wewe Umeona hao wasomi ndio wamaana sana eti ili uonekane msomi uingie chooni na toilet paper ngoja jua likuchome utafikiri mtu akipita utafikiri beberu la mbuzi.

Swala la kuchinja niimani za watu sio eti kwasababu ni msomi ndio mambo ya mungu yasiende yanavyo takiwa.
hizo imani ndiyo zinawatia ujinga!
 
MOSSAD II
Bahati mbaya upo nyuma ya ukuta wa jirani, hivyo ushahidi wako ni wa kusikia, si KUSIKIA NA KUONA,

Watu tuishasoma zamani na tunafanyia kazi, tatizo ni Mfumo uliopo na si mtu aliyepo,

Kwahivyo hata wewe unataka kujifanya hujui kuwa Waislaamu walishajitambua waliwekwa daraja la tatu pamoja na elimu zao,
Ila kwa sasa wanatisha kwa vifaa vichwani mwao na wanahitaji kuona haki zao na usawa unapatikana kwa watanzania wote bila kujali DINI?
waislamu bado hamjitambui na ushahidi jinsi mnavyoendelea kulalamikia mambo yasiyo na tija! sasa wewe umesoma nini kama viongozi wa nchi ni waislamu na bado unalalamikia MFUMO KRISTO!
 
Heshima yake ipi,
Wacha ukiritimba wewe,
Upoje
 
waislamu bado hamjitambui na ushahidi jinsi mnavyoendelea kulalamikia mambo yasiyo na tija! sasa wewe umesoma nini kama viongozi wa nchi ni waislamu na bado unalalamikia MFUMO KRISTO!

Mfumo umekushika pabaya,
Tunachodai Waislaamu si kuwa tunaomba wala kulalamika,
Tunataka HAKI na USAWA,

Hivyo hatuhitajii huruma toka kwa yeyote awaye,

Kiza kikizidi, tambua asubuhi imekaribia,

Sasa jogoo awike ama asiwike ajue atachinjwa tu.
 
hizo imani ndiyo zinawatia ujinga!

IMANI HIZI NDIO ZINAWAPA AKILI ????

The First Council of Nicaea and the "missing records"

Thus, the first ecclesiastical gathering in history was summoned and is today known as the Council of Nicaea. It was a bizarre event that provided many details of early clerical thinking and presents a clear picture of the intellectual climate prevailing at the time. It was at this gathering that Christianity was born, and the ramifications of decisions made at the time are difficult to calculate.

About four years prior to chairing the Council, Constantine had been initiated into the religious order of Sol Invictus, one of the two thriving cults that regarded the Sun as the one and only Supreme God (the other was Mithraism). Because of his Sun worship, he instructed Eusebius to convene the first of three sittings on the summer solstice, 21 June 325
(Catholic Encyclopedia, New Edition, vol. i, p. 792), and it was "held in a hall in Osius's palace" (Ecclesiastical History, Bishop Louis Dupin, Paris, 1686, vol. i, p. 598).

In an account of the proceedings of the conclave of presbyters gathered at Nicaea, Sabinius, Bishop of Hereclea, who was in attendance, said,
"Excepting Constantine himself and Eusebius Pamphilius, they were a set of illiterate, simple creatures who understood nothing"

(Secrets of the Christian Fathers, Bishop J. W. Sergerus, 1685, 1897 reprint).

This is another luminous confession of the ignorance and uncritical credulity of early churchmen. Dr Richard Watson (1737-1816), a disillusioned Christian historian and one-time Bishop of Llandaff in Wales (1782), referred to them as "a set of gibbering
------" (An Apology for Christianity, 1776, 1796 reprint; also, Theological Tracts, Dr Richard Watson, "On Councils" entry, vol. 2, London, 1786, revised reprint 1791).

From his extensive research into Church councils, Dr Watson concluded that "the clergy at the Council of Nicaea were all under the power of the devil, and the convention was composed of the lowest rabble and patronized the vilest abominations" (An Apology for Christianity, op. cit.).

It was that infantile body of men who were responsible for the commencement of a new religion and
the theological creation of Jesus Christ.

The Church admits that vital elements of the proceedings at Nicaea are "strangely absent from the canons"
(Catholic Encyclopedia, Farley ed., vol. iii, p. 160).

We shall see shortly what happened to them. However, according to records that endured, Eusebius "occupied the first seat on the right of the emperor and delivered the inaugural address on the emperor's behalf"
(Catholic Encyclopedia, Farley ed., vol. v, pp. 619-620).

There were no British presbyters at the council but many Greek delegates. "Seventy Eastern bishops" represented Asiatic factions, and small numbers came from other areas (Ecclesiastical History, ibid.).

Caecilian of Carthage traveled from Africa, Paphnutius of Thebes from Egypt, Nicasius of Die (Dijon) from Gaul, and Donnus of Stridon made the journey from Pannonia.

It was at that puerile assembly, and with so many cults represented, that a total of 318 "bishops, priests, deacons, subdeacons, acolytes and exorcists" gathered to debate and decide upon a unified belief system that encompassed only one god
(An Apology for Christianity, op. cit.).

By this time, a huge assortment of "wild texts" (Catholic Encyclopedia, New Edition, "Gospel and Gospels") circulated amongst presbyters and they supported a great variety of Eastern and Western gods and goddesses:
Jove, Jupiter, Salenus, Baal, Thor, Gade, Apollo, Juno, Aries, Taurus, Minerva, Rhets, Mithra, Theo, Fragapatti, Atys, Durga, Indra, Neptune, Vulcan, Kriste, Agni, Croesus, Pelides, Huit, Hermes, Thulis, Thammus, Eguptus, Iao, Aph, Saturn, Gitchens, Minos, Maximo, Hecla and Phernes

(God's Book of Eskra, anon., ch. xlviii, paragraph 36).
 
Kujadili jambo na nyie ni kazi sana

Nijasema nimepinga
Nimekuambia uniambie hicho kitabu kinasema nini na ushahidi wa madai yake unipe

Wewe unasema nimepinga
Nani kakuambia kuwa mtu akidai ushahidi ni kupinga jambo?

Au unataka nikubali tu kikondoo kuwa madai yake ni kweli?H
iyo kazi mnaiweza nyie

Inaonekana hujui tofauti kati ya anaedai ushahidi na anaepinga
Kama umeshindwa kujua tofauti ndogo kiasi hicho unachokitetea wewe ni chema na chenye mantiki kweli?

I doubt it!!

Reference yakitabu nimekuwekea katika Post yangu hapo nyuma,

Sasa tambua lengo langu si kukulazimisha wewe kuukubali ukweli,

Ila ni kwa faida ya wasomaji tu wenye kutaka kupata mwanga na uhalisia wa mambo,

Hicho kitabu wale wapendwa katika bwana Bookshops nyingi kama si zote za makanisa Katoliki chapatikana,

Eiyer
Siku ukifunguka akili na upofu wa kupotosha haki ukakutoka, utani-tg tuendelee na mida itayo kuwa inakupa uzito wa kuelewa.
 
Mkuu km umenielewa Nimesema hii Dhana ya ugaidi inatumika vibaya! Sijui umenielewa?

Sasa kwanini serikali imekua nzito kutatua Kero zenu Au Ndo huo mfumo Kristo?

Ntuzu
Hapo juu mwisho kabisa ni jibu lisilo na shaka,
Nami nisiwe mchoyo wa fadhila kusema
Ahsanta sana kwa kunielewa,
Sasa tafuta swali ulilete twendelee kuelimishana,
 
Nimewaulizeni nyie ndugu zangu Wote Kua kuna vita mliwahi pigana hapo nyuma na tawala moja iliyokua inatawala Dunia na mkashinda! Nilitaka kujua Hiyo tawala ni tawala gani?
 
Asante!
Umemtaja Marehemu Mwalimu! Je Huyu Mzee wetu alipata muongozo toka wapi? Au yalikua ni maamuzi yake tu?

Na Je huoni km tawala karibu zote duniani zina mafungamano na MUASI? Na ukikataa masharti yake wanakutoa madarakani Kwa njia yeyote ile! Na Je Huyu MUASI ni nani?

Naomba uwe muwazi Na ujibu haya Kwa uwazi

Mkuu ntuzu.
Niseme tu wazi kuwa nimekupenda bure kwa kuwa unajitahidi sana katika mijadala mingi niliyokushuhudia kusimamia hoja na sio matusi. Kabla sijajibu swali lako hapo juu ngoja niwekewazi baadhi ya nukta muhimu kulingana na maelezo yangu ya post hapo kabla.
Duniani kwasasa ni wazi bila kificha kuna vita takatifu ya haribu uislamu na waislamu. Hii ni vita ya tangu zama. Ilianza wakati uislamu unahuishwa na Mtume wetu Muhammad Salam na amani zimfikie na ilifuatia hivyohivyo mpaka leo. Kinachobadilika ni mbinu tu. Mnamo karne za mwanzo kabisa katika historia kipindi ukristo ukiwa salama alipandikizwa myahudi Paul na kujitahidi kuutia manjonjo kwa kuleta bible mpya huku mafundisho yakale yakiwa baadhi yamefutwa. Kiukweli alifanikiwa kuuharibu ukristo ndio maana leo wakristo hawajui haki ipi na batwili ni ipi 7bu ya kuchakachuliwa vitabu vyao. Harakati hizo zilipofaulu kwa ukristo mbeleni ukaja uislamu nao ukawa tatizo kwa waharibu dini wale. Wakajaribu kuchafua wameshindwa kuuharibu uislamu. Propaganda, kuwaua waislamu kidhulma n.k ikawa ndio mbinu ya kupambana na waislamu/uislamu. Harakati za kuhakikisha waislamu popote walipo duniani wanakuwa inferior na kujiogopa wenyewe na imani yao. Hii ndio inayoendelea kwasasa duniani kwote. Vita ya ugaidi ni vita dhidi ya uislamu. Achana na hizi kelele za kibongo za kina Mwigulu. Vita inayopigwa ni ya kuwanyong'onyeza waislamu ili wajiokope na kuogopa imani yao. Hii vita inapiganwa kistrategia na ina magent wengi sana duniani kwote na kila sehemu muhimu yenye mkusanyiko wa watu wa dini tofauti, University na kwingineko. MFUMO KRISTO huu umeasisi na mwl Nyerere kama agent mojawapo wa hao maadui wa uislamu. Nyerere alikuwa kibaraka wa mataifa ya ulaya. Huyu ndio aliahidi kulipa kanisa nafasi nzuri na kuhakikisha waislamu hawaamki kimaisha TANZANIA. Aibu tu ndio iliyomfanya kuregulate mambo baadae na nafasi ya waislamu kupata angalau elimu. Huyu ndio alikuwa akitoa maliasili za taifa letu bure huko VATICAN na kurudishwa tanzania kama misaada kwa makanisa huku waislamu wakiendelea kusuffer. Najua hapa kama nilivyoeleza huko juu kuwa uzalendo wa wazee wetu ndio uliopelekea yote hayo kutokea. Ingekuwa Nyerere angekuwa muadilifu Taifa hili lisingekuwa masikini na kuwa hapa tulipo. Miaka 23 ya utawala wake ulikuwa wa hasara kubwa sana kwa taifa. Huwezi kuminya waislamu wanaounda karibu 60% utegemee maendeleo. Mfumo kristo ni dhana pana. Na sasa utakuwa umepata taswira. Unafanya kazi duniani nzima au Tanzania tu hilo limeshajibiwa na maelezo yangu ya awali. NYERERE alikuwa akiongozwa Shetani na yeye akiwa shetani(sijatukana).
 
Maelezo yako matamu sana ila ebu fafanua kidogo yafuatayo
1. Hiyo 60% ya waislam umeipataje?
2. Waliouketa uislam waliwasaidia vipi waislam ktk elimu isiyokuwa ya dini?
3. Je! Matatizo ya waislam yameanza na utawala wa nyerere au yalianza tangu enzi za ukoloni
4. Vipi kama nikisema uislam sio ugaidi ila magaidi wengi ni waislam nitakuwa nimekosea
5. Je unaamini kabisa viongozi waislam waliofuata hawajafanya upendeleo kwa waislam na kuhujumu ukristo?

Nyerere km binadamu kuna makosa ya kisera na kimikakati aliyofanya ila bado hatujawahi pata kiongozi mzalendo na mpenda nchi kama nyerere
 
Mkuu ntuzu.
Niseme tu wazi kuwa nimekupenda bure kwa kuwa unajitahidi sana katika mijadala mingi niliyokushuhudia kusimamia hoja na sio matusi. Kabla sijajibu swali lako hapo juu ngoja niwekewazi baadhi ya nukta muhimu kulingana na maelezo yangu ya post hapo kabla.
Duniani kwasasa ni wazi bila kificha kuna vita takatifu ya haribu uislamu na waislamu. Hii ni vita ya tangu zama. Ilianza wakati uislamu unahuishwa na Mtume wetu Muhammad Salam na amani zimfikie na ilifuatia hivyohivyo mpaka leo. Kinachobadilika ni mbinu tu. Mnamo karne za mwanzo kabisa katika historia kipindi ukristo ukiwa salama alipandikizwa myahudi Paul na kujitahidi kuutia manjonjo kwa kuleta bible mpya huku mafundisho yakale yakiwa baadhi yamefutwa. Kiukweli alifanikiwa kuuharibu ukristo ndio maana leo wakristo hawajui haki ipi na batwili ni ipi 7bu ya kuchakachuliwa vitabu vyao. Harakati hizo zilipofaulu kwa ukristo mbeleni ukaja uislamu nao ukawa tatizo kwa waharibu dini wale. Wakajaribu kuchafua wameshindwa kuuharibu uislamu. Propaganda, kuwaua waislamu kidhulma n.k ikawa ndio mbinu ya kupambana na waislamu/uislamu. Harakati za kuhakikisha waislamu popote walipo duniani wanakuwa inferior na kujiogopa wenyewe na imani yao. Hii ndio inayoendelea kwasasa duniani kwote. Vita ya ugaidi ni vita dhidi ya uislamu. Achana na hizi kelele za kibongo za kina Mwigulu. Vita inayopigwa ni ya kuwanyong'onyeza waislamu ili wajiokope na kuogopa imani yao. Hii vita inapiganwa kistrategia na ina magent wengi sana duniani kwote na kila sehemu muhimu yenye mkusanyiko wa watu wa dini tofauti, University na kwingineko. MFUMO KRISTO huu umeasisi na mwl Nyerere kama agent mojawapo wa hao maadui wa uislamu. Nyerere alikuwa kibaraka wa mataifa ya ulaya. Huyu ndio aliahidi kulipa kanisa nafasi nzuri na kuhakikisha waislamu hawaamki kimaisha TANZANIA. Aibu tu ndio iliyomfanya kuregulate mambo baadae na nafasi ya waislamu kupata angalau elimu. Huyu ndio alikuwa akitoa maliasili za taifa letu bure huko VATICAN na kurudishwa tanzania kama misaada kwa makanisa huku waislamu wakiendelea kusuffer. Najua hapa kama nilivyoeleza huko juu kuwa uzalendo wa wazee wetu ndio uliopelekea yote hayo kutokea. Ingekuwa Nyerere angekuwa muadilifu Taifa hili lisingekuwa masikini na kuwa hapa tulipo. Miaka 23 ya utawala wake ulikuwa wa hasara kubwa sana kwa taifa. Huwezi kuminya waislamu wanaounda karibu 60% utegemee maendeleo. Mfumo kristo ni dhana pana. Na sasa utakuwa umepata taswira. Unafanya kazi duniani nzima au Tanzania tu hilo limeshajibiwa na maelezo yangu ya awali. NYERERE alikuwa akiongozwa Shetani na yeye akiwa shetani(sijatukana).

Mkuu nashukuru Kwa maelezo yako mazuri!

Niseme kitu kimoja CHAMVIGA, km ulivyosema Kua Mimi nasimamia hoja, ningependa ktk mijadala km hii kutowajumulisha wakristo Wote na Kua Kundi moja! Kuna wengine karibu mnaweza kushabiriana ila tofauti inakuja Kua ni ukristo na uislam!

Mimi Naelewa Unabii unasema nini ktk Dunia Hii tangu mwanzo mpaka sasa na hapo baadae!

Umesema Kua huu mfumo unafanya Kz karibu Dunia nzima! Na pia umegusia Vatican na tunaelewa Vaticani ni Watu Wa Imani gani! Kwa Hiyo Imani ya Uvatican ndio sababu ya huu mfumo duniani? Na Je Vaticani Ndo inaweza ikawa ndio mwakilishi Wa uasi duniani? Au ni Marekani Au Vaticani iko nyuma ya Marekani? Au Marekani anaisadia Vaticani kudhoofisha mifumo thabiti Na kuingiza mifumo ya kipagani na kuitawala Dunia na kupitisha sheria za kuabudu siku moja?

Mkuu naitaji majibu yako ktk haya vizuri!

Mkuu Nimekuuliza haya si Kwa faida Yangu tu, Bali Kwa mtu yeyote atakaetaka kujua ukweli!
 
Miezi michache iliyopita vyombo vya habari vilisheheni taarifa ya magaidi waliokuwa katika vijiji vya Handeni.

Taarifa zilifika Tanga kuwa kulikuwa na magaidi wanaishi katika mahandaki na operesheni maalum ilikuwa ikifanyika kuwateketeza.

Propaganda ikaenezwa kuwa walikuwa hawaitambui serikali ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

Habari zilivuja Tanga mjini na vitongiji vyake kuwa kuna vijiji vimeteketezwa.

Kwa hakika kuna watu waliletwa Hospitali ya Bombo wakiwa na majeraha ya risasi.

Kwa watu waliofika Hospitali ya Bombo kwa kweli waliwaona vijana waliokuwa wamefungwa pingu wakiwa katika vitanda vyao huku wakilindwa na askari.

Taarifa zikafika vilevile kuwa kuna watoto wadogo wamefikishwa Tanga baada ya kukutwa porini.

Watoto hawa walikuwa wamehifadhiwa katika moja ya shule za hapo mjini.

Katika hali kama hiyo vilevile zikafika taarifa tofauti kwa Waislam wa Tanga kuwa hao walioletwa Hosptali ya Bombo na watoto waliookotwa porini ni Waislam wa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande walioshambuliwa na askari pasi na sababu.

Juhudi za Umoja wa Taasisi za Kiislam Tanga (SHITA) chini ya Mayor Omari Guledi na Katibu wake Ahmed Mustafa kukutana na Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa kupata ukweli zikagonga mwamba.

Hali ikawa tete baada ya Sheikh Rajab Ramadhani Chambuso mmoja katika masheikh vijana mjini Tanga kukamatwa na kuwekwa rumande kisha kuhamishwa Handeni ambako alifunguliwa kesi ya ''kushawishi mauaji.''

Ikavuma kuwa patakuwa na maandamano kushinikiza kuachiwa kwa Sheikh Chanmbuso.

Askari wa FFU walizingira misikiti kadhaa Ijumaa hiyo lakini hapakuwa na maadamano yoyote.

Alipopata dhamana na kuachiwa Sheikh Chambuso alikuja Tanga na habari za kutisha kuhusu dhulma iliyopita katika vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande.

Habari hizi alielezwa na mahabusi wendake katika hivyo vijiji vilivyoshambuliwa.

Sheikh Chambuso katika hotba aliyotoa katika moja ya misikiti maarufu Tanga aliwafahamisha Waislam kuhusu misikiti iliyovujwa na kuchomwa moto, Qur'an zillizochoiwa moto na nyumba za Waislam zilizoteketezwa kwa kisingizo cha ugaidi.

Wananchi jioneeni wenyewe yote hayo katika hizi picha.

PS: Weka cursor kwenye picha click utapata na maelezo ya picha.

1.Vipi vijiji hivyo vipo kwa mujibu wa sheria

2.Vipi wale ambao si waislam wanatendewaje ktk maeneo hayo
 
Mkuu nani yuko nyuma ya Marekani baada ya hii mipango yake kutimia ya kuitawala Dunia! Ni nini kitatokea Au kutakua na sheria gani na taratibu gani?

Maana Kwa mujibu Wa kile ninacho Amini Kutokana na maandiko ya Biblia lazima USA itawale!
Naomba unisaidie!

Nyuma ya marekani katika uadui wake kwa uislan ni wayahudi extremists,na walokole wa mareakani pamoja na vatican.
Hio mipango yake kutawala dunia sijui kama atafanikiwa kwa urusi inakuja juu na china haikamatiki.ama kushinda vita yake dhidi ya uislam ni mfano ya mtu anaepigana na upepo...ataua na kuharibu nchi za kiislam lakini hatofanikiwa.tumeona Afghanistan na iraq.libya.nk
Uislam ndio utakua sheria ya dunia ataposhuka masihi kukanusha misalaba yenu na kuivunja.
Sikawahi kuona biblia ikiatabiria marekani labda kama ndio hiyo mpya walotunga kupambana na uislam .
Marekani inapita tu katika historia kama roman empire.persian empire.otoman empire.british empire iliokua dunia nzima leo imebaki kaji england tu huku ireland sconltland wakijitoa.na american empire itaanguka na dola uislam utashika hatamum wanayajua haya ndio maana ya hii vita ya crusade.
Vipi uislam utatawala dunia kesho inshaalah nitakupa data
 
Mkuu nashukuru Kwa mchango wako!

Marekani na ulaya kutawala Dunia Hicho kitu kiko wazi Kwa mujibu Wa Biblia ingawa wewe Hauiamini Biblia Lakini Mimi ndivyo inavyonieleza hivyo! Kwahiyo si kwamba America inapita tu! Ni mataifa machache sn yaliyobaki ambayo yaliorozeshwa Kua ni mihimili ya maovu Duniani!

Wachina, Warusi Hawa Wote wako Na Kura ya turufu ktk baraza la umoja Wa mataifa Kwa Hiyo ni kitu kimoja kwamba wanaweza wakakaa wakasikilizana kimaslahi na kuruhusu mambo yaende ndivyo sivyo! Tumeona Libya na ata mzozo Wa Syria wanavyojadili namna ya kuivamia! Kwahiyo Hawa Wote ni kitu kimoja! Na Itafikia hatua watakaa na kupitisha katiba ya Dunia na sheria!

Pia umezitaja imani ambazo zitakua nyuma ya america! Ni sawa na pia kutakua na waislam ambao hawako sawia kiimani watakua nyuma ya USA!
 
Wewe umekubali kuwa ni mkiristo ambae HUNA FAIDA NA HUO UKRISTO WAKO!
Na hilo wala halinishangazi hata kidogo!
Wanaofaidika na huo Ukristo ni wale wachungwaji na makatikista na mapadri!

Wanakusanya mahela yenu wanaongeza manyumba tu!
Na zile ruzuku zinazotoka vatican wewe mtu wa chini huwezi kuziona!
Vumilia tu na bado adhabu ya Mungu inawangoja!

Unashauri na kulialia kuwa "wewe hupendi watu watoa kashfa" na hilo umeliona kwangu tu!!
Hebu msome huyu mtumishi wa kanisa aitwae Eiyer ambae ana tabia ya kuchungulia wanawake wenye vinguo vifupi anavyoandika.!

Alivyokosa malezi kutoka kwa wazee wake. Anamjibu hivyo mtu mzima sawa na baba yake!

Mimi watu kama hawa nawafananisha na mizoga ya nyamafu!
Faida hawana. Zaidi ya kujaza vyoo tu!
Na wewe usiwe mnafiki! Km unapenda haki basi na hao makafiri wanaotoa kashfa wafahamishe kuwa Yesu hapendi. Na hio ni tabia ya KAFIRI PAULO!

Now back to the thread.
Thank you.

Ipi bora kuchukua hela na kununua nyumba
Au
Kuchukua hela na kununua uchawi wa kimajini
 
Last edited by a moderator:
Mohamed Said Uko wapi Maalim?

Naona Vijana wanakuita Mwalimu! Sasa Mbona darasa waliacha peke yake bila Mwalimu?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom