Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.



Shukran sana Mkuu Wabara
 


mgalatia huna hoja!

Umeishia kutoa mifano isio ingia akilini kabisa na wala haihusiani na maelezo aliyotoa mkuu Ritz !

Na tabia kama hizi ni typical galatians wote wanakuwa nazo!

Nenda kakojoe ulale, unajaza server bure!
 
Last edited by a moderator:

Usitukane dini ya mtu, wewe toa hoja zilizo na mashiko utaeleweka.

Ukitaka tuanze kushambulia mitume hata mohamad hatobaki bila kuguswa tena kwa negatives zake,
Pangua hoja jenga hoja hiyo ndo akili
 



Majiti ya Roho...

Hatari saana...!!!
 
Wapi na wapi?? Bado unampimia Mungu kazi zake! Yeye kasema atamtuma Mwanae ili kwake yeye ulimwengu upate kuokoka, Kahtaan hataki! Basi nisije nikashiriki kufuru yako kwa Mungu, amini utakalo lakini ukweli unaujua.


ukweli upi?? we unaejiita mfuasi wa yesu ELIMU YA ANDIKO LAKO HUNA!!

Wapi ANDIKO LAKO LINAKWAMBIA WEWE MKIRISTO KUWA UTAPATA UZIMA WA MILELE!!??

Mbona nyie ni wepesi kufuata maneno ya wazungu kirahisi hivi??

Onyesha hapa kuwa WAKRISTO WATAPATA UZIMA WA MILELE, GUARANTEED!! wapi??

Nyie kuropoka tu ni mahodari sana.

Yesu sio MUNGU Wala hajawahi kusema yeye ni Mungu wala MWANA WA MUNGU"! Hio mmezua nyie na yule muongo PAULO.
 
naeza pia kupinga kuwa hitler hajaua wayahudi kwa kiwango unachotaka tuamini.

Hebu jiulize tu,kwanini wakristo wamejumuisha agano la kale katika maandiko?
 
nawasilisha kwa data:
Rais (mwislamu), Aijipii mwema (mwislamu),Mayor Omari Guledi (mwislamu), Katibu wake Ahmed Mustafa (mwislamu) Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa(mwislamu)
mwenyekiti wa kijiji (mwislamu) tukio limefanywa
kwenye vijiji vya waislamu akachoma misikiti akidai anapambana na ugaidi.
, sasa hapa sina koment zaidi.
 
Ugaidi upo msibishe bila kujali wanaoathirika na ugaidi. Waliowakamata ni akina nani ni wakristo tu. Jeshi la polis linaongizwa na wakristo acheni uovu wenu kwa kisingizio cha dini. Pia hizo fikra nuza kishetani kuwaona wengine makafiri wasiostahili kuishi. Rtz unaeneza ushetani kama kuna watu wana mipango ya kuua wengine unataka waachwe, mmechoma makanisa mangapi mmeua wakristo wangapi mnaharibu mali zao kwa kiasi gani. Kwani uislam unatetewa kwa mipango ovu dhidi ya waamini dini zingine acheni uovu huo kwa kutetea watu wenye mipango ovu dhidi ya binadam wengine. Mungu atatetea wenye haki hata mkiwaua na kupanga mipango yenu hamtashinda. Zanzibar hujasema chochote achani hizo.
 

We unashabikia ukristo masikini hata hujui kama ukristo umebakia jina lkn falsafa ishabadilishwa zamani na wanaoumiliki. Au unafikiri kila wanachofanya wazungu wanafanya kwa sababu ya ukristo? Poor you
 

Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 1957 kabla uhuru hiyo ndio ilikuwa takwimu halisi katika sensa iliyofanyika.
==> Pili waliouleta uislamu East Africa wamewasaidiaje waislamu kupata elimu ni suala la kihistoria. Lakini ukweli juhudi ilifanyika kubwa sana kuwapatia Elimu waislamu. Soma Quranic school in East Africa utaona jinsi gani elimu ilikuwa inatolewa. Missioneries walivokuja kama agent wa wakoloni, walileta system mpya ya elimu. Missionary education/western education ambayo mpaka leo ndio twaisoma. Kama umefanikiwa kusoma historia jinsi elimu hii ilivyo tolewa kibaguzi hutopata shida kujua kwanini waislamu waligeuzwa kuwa second class ktk taifa lao.
====>MATATIZO ya waislamu kwa Tanzania yameanza wakati wa Nyerere. Kwani kabla ya hapo watanzania walikuwa wakiishi maisha ya aina moja hapakuwa na classes.
====>UISLAMU SIO UGAIDI BALI WAISLAMU WENGI NDIO MAGAIDI. Hapa utakuwa haupo sawa. Ukitafsiri neno Terrorism utaona wazi ni nani anaestahiki kuwa mstari wa mbele kuwa yeye ni gaidi. Hapo juu nimeweka majibu ya mwanachuoni wa kiislamu wa UJERUMAN na kajaribu kuweka matukio makubwa yakinyama yaliofanywa na wasiokuwa waislamu duniani. Kama tafsiri ya ugaidi ndio hii inayotumiwa kuwahukumu waislamu basi kwa tafsiri magaidi wakubwa na nchi za Ulaya hasa Amerika.
===>Kiongozi aliyekuja baada ya Nyerere na kuuhujumu ukristo? Hilo hapana hata kidogo. Labda kama una jipya lakunihabarisha nisilolijua.
 

Mkuu naomba urejee tena maelezo yangu. Sina sehemu nimeandika mfumo kristo unafanya kazi dunia nzima. La, sijasema hayo. Nisome katikati ya maneno yangu utanipata.
=======>VATICAN ni taifa la kikristo kila mtu ajua hili. Ukristo kama nilivyokwisha sema huko nyuma sio tishio kwa mifumo hii ya kishetani. Tatizo ni uislamu kwasasa. Ndio maana vita ni dhidi ya uislamu na sio dini nyingine. Unajua wahindu(HINDUISM) ni dini yenye wafuasi wengi sana India? Kwanini hawaandamwi na Amerika na waitifaki wake? Unajua CONFUSIONISM kule China inaratio gani kwa dini nyingine? Why hawaandamwi wao ila waislamu? Kisha nikuulize kwanini ukristo upo salama mbele ya mataifa haya yenye sura ya ushetani? Tafakari! VATICAN inaweza kwakujua au kutojua ikawa inatumiwa kupambana na uislamu kwakuwa ukristo is no more a threat to them.
Mwisho tukijadili suala hili la kwa taifa letu lenye ratio ya watu inayoelekeana ni lazima kujua na kufahamu wazi kwamba ili tujikwamue na umaskini ni lazima kuwahusisha watanzania wote bila kuwainua kundi moja na kuacha kundi lingine. Sorry kwakufupisha maelezo ila ni matumaini yangu umenipata.
 

Your IGNORANCE is too massive to comprehend!
 
Ni Vipi Umeweza kutenganisha ugaidi na uislamu? Ugaidi ni kati ya mafunfisho maovu yalliyoko kwenye quran aliyowapa mtume wa muhamadi
 

Mkuu wa polisi ni Masawe mchaga chadema kafanya makusudi ili kutia doa serikali yeye huo mkuu wa polisi ndie alie amuru kuua na kuwafanyia jinai waislam kwa sababu kwanza yeye ni mpenzi wa chadema na pili ni ajent wa kanisa na marekani
Wakati bibi Chiku anasema kuna fujo kati ya raia wasiotaka kulipa kodi Masawe yeye ndie akitoa habari za kuna magaidi na akapeleka polisi wake kuteketeza vijiji na kutumia vyombo vya habari kusema uongo kuwa kuna gaidi
 
naeza pia kupinga kuwa hitler hajaua wayahudi kwa kiwango unachotaka tuamini.

Hebu jiulize tu,kwanini wakristo wamejumuisha agano la kale katika maandiko?

Agano Jipya ni Historia ya Maisha ya Bwana wetu Yesu Kristo. Agano la Kale ni Historia ya tangu Uumbaji. Ukiunganisha hivi ndiyo unapata Biblia. Kumbuka Yesu aliwambia wafuasi wake hivi: "Mimi sikuja kutengua Torati, nimekuja kuiongezea." Hivyo Historia ya Maisha ya Mungu na Wanadamu haitakuwa imekamilika endapo Agano la Kale litaachwa.

Chunguza vizuri kama unajua kusoma Koran, Waislamu wana Agano la Kale pamoja na Maisha ya Mtume wao. Agano la Kale ni letu sote Mpaka pale Yohana Mbatizaji (Mtume Muhammad) naye alipotengewa mamlaka ya kupeleka watu kwa Mungu kama zawadi ya kumfariji kwa kuonewa na kuchinjwa kwa utukutu wa malaya mwanamke aliyetuma mtoto akaombe kichwa chake.

Waislamu wana mpaka Legend ya Mtume wao kuwa na Farasi mwenye kichwa cha mwanamke aliyekuwa akimpanda kila alipokwenda. Hiyo ndiyo ilikuwa adhabu kwa Jike lile lililoomba kichwa cha Yohana. Kwa hiyo Agano la Kale haliwezi kuachwa katika misahafu yote.

Halafu Hitler alikwa ni kichocheo tu, kihoro halisi ilkuwa ni Vita. Unakumbuka kuwa wakati huo Waisraeli walihamishwa kwa mara ya pili kutoka nchi yao. Wamekuja kurudi miaka ya sitini. Soma Historia tu kwa sababu matukio ya Mungu hutokea duniani na kushuhudiwa kwa macho. Hitler ndiyo alikuja na Farasi mwekundu, alikuwa kila akiloloma dunia nzima inachukia na kuingia vitani. Alipomaliza kazi yake akayeyuka bila kujulikana ametorokea wapi, unaelewa mambo hayo?
 

Sasa kama Kanisa limejitenga na jamii lipo polini nani ataenda huko kufanya ibada?
 

Mbona hata waislamu wanaamini kuwa wakifa wanakwenda peponi? Wewe ni matatanishi sasa. Wakristo kuamini pepo baada ya kifo limekuwa kosa kumbe? Wewe una chuki binafsi, ungeacha kujadili mambo haya ingekuwa nafuu zaidi kwako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…