Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Kweli tunapiga vita ugaidi au ni vita dhidi ya uislam?

Status
Not open for further replies.
Reference yakitabu nimekuwekea katika Post yangu hapo nyuma,

Sasa tambua lengo langu si kukulazimisha wewe kuukubali ukweli,

Ila ni kwa faida ya wasomaji tu wenye kutaka kupata mwanga na uhalisia wa mambo,

Hicho kitabu wale wapendwa katika bwana Bookshops nyingi kama si zote za makanisa Katoliki chapatikana,

Eiyer
Siku ukifunguka akili na upofu wa kupotosha haki ukakutoka, utani-tg tuendelee na mida itayo kuwa inakupa uzito wa kuelewa.



Shukran sana Mkuu Wabara
 
Ninaweza kusema Ritz ni mkurugenzi wa benki ya dunia
Je,itakuwa kweli wewe ni mkurugenzi wa benki ya dunia?

Ninaweza kusema kuwa juicy unayokunywa kila siku ni kinyesi cha watoto wa kizungu
Je,itakuwa ni kweli?

Naweza kusema kinyesi changu ni keki
Je, inaweza kuwa kweli?

Naweza kusema kuwa kahtaan kafumaniwa jana huko Liverpool na kupewa kichapo cha hatari na sasa yuko hoi hospital
He,itakuwa ni kweli?


Tatizo lenu hamjui hata ushahidi ni kitu gani
Mmebaki tu kuleta mabandiko yenuhapa bila kusema mmetoa wapi hayo madai yenu na ushahidi mkiambatanisha

Mna ugonjwa mbaya sana nyie!!


mgalatia huna hoja!

Umeishia kutoa mifano isio ingia akilini kabisa na wala haihusiani na maelezo aliyotoa mkuu Ritz !

Na tabia kama hizi ni typical galatians wote wanakuwa nazo!

Nenda kakojoe ulale, unajaza server bure!
 
Last edited by a moderator:
Wewe huna elimu ndio sababu ukaandika uliyo andika!
Ohh mimi mkiristo kabisa!
Kwanza hapo tu! Ni nani aliyekuambia wewe "uwe mkiristo"? Hio si mmebuni tu nyie!
Cha pili ulitegemea huo MFUMO KRISTO UWE NA OFISI HAPO DAR NDIO UUJUE KUWA UPO?
Unajisifu kuwa umesoma halafu unaongea utumbo namna hii!
Eti.mi SIDHANI...bla..bla...bla..!
We kwa akili yako watu wanaishi KWA KUDHANI??

Nyie ndio maana yule MNAFIKI PAULO hakupata tabu kuwa Convince kuwa japo yeye aliuwa mamilioni ya WAKRISTO WA KWELI eti alioteshwa kuwa yeye ni Nabii!
Na nyie mambulula wooote mkamkubali

We kaa na elimu yako ya kata!
Watanzania wengine wenye busara na elimu watafahamh nini kinaongelewa hapa.

Usitukane dini ya mtu, wewe toa hoja zilizo na mashiko utaeleweka.

Ukitaka tuanze kushambulia mitume hata mohamad hatobaki bila kuguswa tena kwa negatives zake,
Pangua hoja jenga hoja hiyo ndo akili
 
Wewe umekubali kuwa ni mkiristo ambae HUNA FAIDA NA HUO UKRISTO WAKO!
Na hilo wala halinishangazi hata kidogo!
Wanaofaidika na huo Ukristo ni wale wachungwaji na makatikista na mapadri!

Wanakusanya mahela yenu wanaongeza manyumba tu!
Na zile ruzuku zinazotoka vatican wewe mtu wa chini huwezi kuziona!
Vumilia tu na bado adhabu ya Mungu inawangoja!

Unashauri na kulialia kuwa "wewe hupendi watu watoa kashfa" na hilo umeliona kwangu tu!!
Hebu msome huyu mtumishi wa kanisa aitwae Eiyer ambae ana tabia ya kuchungulia wanawake wenye vinguo vifupi anavyoandika.!



Alivyokosa malezi kutoka kwa wazee wake. Anamjibu hivyo mtu mzima sawa na baba yake!

Mimi watu kama hawa nawafananisha na mizoga ya nyamafu!
Faida hawana. Zaidi ya kujaza vyoo tu!
Na wewe usiwe mnafiki! Km unapenda haki basi na hao makafiri wanaotoa kashfa wafahamishe kuwa Yesu hapendi. Na hio ni tabia ya KAFIRI PAULO!

Now back to the thread.
Thank you.



Majiti ya Roho...

Hatari saana...!!!
 
Wapi na wapi?? Bado unampimia Mungu kazi zake! Yeye kasema atamtuma Mwanae ili kwake yeye ulimwengu upate kuokoka, Kahtaan hataki! Basi nisije nikashiriki kufuru yako kwa Mungu, amini utakalo lakini ukweli unaujua.


ukweli upi?? we unaejiita mfuasi wa yesu ELIMU YA ANDIKO LAKO HUNA!!

Wapi ANDIKO LAKO LINAKWAMBIA WEWE MKIRISTO KUWA UTAPATA UZIMA WA MILELE!!??

Mbona nyie ni wepesi kufuata maneno ya wazungu kirahisi hivi??

Onyesha hapa kuwa WAKRISTO WATAPATA UZIMA WA MILELE, GUARANTEED!! wapi??

Nyie kuropoka tu ni mahodari sana.

Yesu sio MUNGU Wala hajawahi kusema yeye ni Mungu wala MWANA WA MUNGU"! Hio mmezua nyie na yule muongo PAULO.
 
Wao walimkataa Yesu wakamsulubu na kumtundika Msalabani kama walivyokuwa wakiwafanyia wevi. Na laana yao ilidhihirika wakati wa vita vya dunia. Wao wenyewe wankubali kuwa ilikuwa kosa kuitwa Mwisrael. Walikufa kwa kufungiwa ndani ya mabehewa na kupigwa sumu. Walipasuliwa wakiwa wazima etc. Na Hitler mpaka leo hajulikani alitokomea wapi baada ya vita hivyo.

Kwa kuwa walimkataa ndipo akapeleka wokovu kwa mataifa yaliyokuwa hayana dini. Kabla ya kuja Kristo Wazungu wa Ulaya waliishi kama Wanyama. Baada ya Wokovu ndiyo wimbi la Ukristo likavuma kutokea Ulaya.

Kasome Historia Kahtaan.
naeza pia kupinga kuwa hitler hajaua wayahudi kwa kiwango unachotaka tuamini.

Hebu jiulize tu,kwanini wakristo wamejumuisha agano la kale katika maandiko?
 
nawasilisha kwa data:
Rais (mwislamu), Aijipii mwema (mwislamu),Mayor Omari Guledi (mwislamu), Katibu wake Ahmed Mustafa (mwislamu) Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa(mwislamu)
mwenyekiti wa kijiji (mwislamu) tukio limefanywa
kwenye vijiji vya waislamu akachoma misikiti akidai anapambana na ugaidi.
, sasa hapa sina koment zaidi.
 
Ugaidi upo msibishe bila kujali wanaoathirika na ugaidi. Waliowakamata ni akina nani ni wakristo tu. Jeshi la polis linaongizwa na wakristo acheni uovu wenu kwa kisingizio cha dini. Pia hizo fikra nuza kishetani kuwaona wengine makafiri wasiostahili kuishi. Rtz unaeneza ushetani kama kuna watu wana mipango ya kuua wengine unataka waachwe, mmechoma makanisa mangapi mmeua wakristo wangapi mnaharibu mali zao kwa kiasi gani. Kwani uislam unatetewa kwa mipango ovu dhidi ya waamini dini zingine acheni uovu huo kwa kutetea watu wenye mipango ovu dhidi ya binadam wengine. Mungu atatetea wenye haki hata mkiwaua na kupanga mipango yenu hamtashinda. Zanzibar hujasema chochote achani hizo.
 
MFUMO KRISTO ndio unaotawala Dunia.Ukisikia Adhabu ya Kifo iondolewe ujue ni Kampeni za Kuendeleza Mfumo Kristo,Ukisikia Serikali inatambua Ndoa ya Mke Mmoja kwa ajili ya huduma kwa Mfanyakazi ujue ndio Mfumo wenyewe.Hii kitu haikwepeki labda uhamie Sayari ya Mars ambayo wakristo ndio Pekee waliokwishafika huko.

We unashabikia ukristo masikini hata hujui kama ukristo umebakia jina lkn falsafa ishabadilishwa zamani na wanaoumiliki. Au unafikiri kila wanachofanya wazungu wanafanya kwa sababu ya ukristo? Poor you
 
Maelezo yako matamu sana ila ebu fafanua kidogo yafuatayo
1. Hiyo 60% ya waislam umeipataje?
2. Waliouketa uislam waliwasaidia vipi waislam ktk elimu isiyokuwa ya dini?
3. Je! Matatizo ya waislam yameanza na utawala wa nyerere au yalianza tangu enzi za ukoloni
4. Vipi kama nikisema uislam sio ugaidi ila magaidi wengi ni waislam nitakuwa nimekosea
5. Je unaamini kabisa viongozi waislam waliofuata hawajafanya upendeleo kwa waislam na kuhujumu ukristo?

Nyerere km binadamu kuna makosa ya kisera na kimikakati aliyofanya ila bado hatujawahi pata kiongozi mzalendo na mpenda nchi kama nyerere

Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 1957 kabla uhuru hiyo ndio ilikuwa takwimu halisi katika sensa iliyofanyika.
==> Pili waliouleta uislamu East Africa wamewasaidiaje waislamu kupata elimu ni suala la kihistoria. Lakini ukweli juhudi ilifanyika kubwa sana kuwapatia Elimu waislamu. Soma Quranic school in East Africa utaona jinsi gani elimu ilikuwa inatolewa. Missioneries walivokuja kama agent wa wakoloni, walileta system mpya ya elimu. Missionary education/western education ambayo mpaka leo ndio twaisoma. Kama umefanikiwa kusoma historia jinsi elimu hii ilivyo tolewa kibaguzi hutopata shida kujua kwanini waislamu waligeuzwa kuwa second class ktk taifa lao.
====>MATATIZO ya waislamu kwa Tanzania yameanza wakati wa Nyerere. Kwani kabla ya hapo watanzania walikuwa wakiishi maisha ya aina moja hapakuwa na classes.
====>UISLAMU SIO UGAIDI BALI WAISLAMU WENGI NDIO MAGAIDI. Hapa utakuwa haupo sawa. Ukitafsiri neno Terrorism utaona wazi ni nani anaestahiki kuwa mstari wa mbele kuwa yeye ni gaidi. Hapo juu nimeweka majibu ya mwanachuoni wa kiislamu wa UJERUMAN na kajaribu kuweka matukio makubwa yakinyama yaliofanywa na wasiokuwa waislamu duniani. Kama tafsiri ya ugaidi ndio hii inayotumiwa kuwahukumu waislamu basi kwa tafsiri magaidi wakubwa na nchi za Ulaya hasa Amerika.
===>Kiongozi aliyekuja baada ya Nyerere na kuuhujumu ukristo? Hilo hapana hata kidogo. Labda kama una jipya lakunihabarisha nisilolijua.
 
Mkuu nashukuru Kwa maelezo yako mazuri!

Niseme kitu kimoja CHAMVIGA, km ulivyosema Kua Mimi nasimamia hoja, ningependa ktk mijadala km hii kutowajumulisha wakristo Wote na Kua Kundi moja! Kuna wengine karibu mnaweza kushabiriana ila tofauti inakuja Kua ni ukristo na uislam!

Mimi Naelewa Unabii unasema nini ktk Dunia Hii tangu mwanzo mpaka sasa na hapo baadae!

Umesema Kua huu mfumo unafanya Kz karibu Dunia nzima! Na pia umegusia Vatican na tunaelewa Vaticani ni Watu Wa Imani gani! Kwa Hiyo Imani ya Uvatican ndio sababu ya huu mfumo duniani? Na Je Vaticani Ndo inaweza ikawa ndio mwakilishi Wa uasi duniani? Au ni Marekani Au Vaticani iko nyuma ya Marekani? Au Marekani anaisadia Vaticani kudhoofisha mifumo thabiti Na kuingiza mifumo ya kipagani na kuitawala Dunia na kupitisha sheria za kuabudu siku moja?

Mkuu naitaji majibu yako ktk haya vizuri!

Mkuu Nimekuuliza haya si Kwa faida Yangu tu, Bali Kwa mtu yeyote atakaetaka kujua ukweli!

Mkuu naomba urejee tena maelezo yangu. Sina sehemu nimeandika mfumo kristo unafanya kazi dunia nzima. La, sijasema hayo. Nisome katikati ya maneno yangu utanipata.
=======>VATICAN ni taifa la kikristo kila mtu ajua hili. Ukristo kama nilivyokwisha sema huko nyuma sio tishio kwa mifumo hii ya kishetani. Tatizo ni uislamu kwasasa. Ndio maana vita ni dhidi ya uislamu na sio dini nyingine. Unajua wahindu(HINDUISM) ni dini yenye wafuasi wengi sana India? Kwanini hawaandamwi na Amerika na waitifaki wake? Unajua CONFUSIONISM kule China inaratio gani kwa dini nyingine? Why hawaandamwi wao ila waislamu? Kisha nikuulize kwanini ukristo upo salama mbele ya mataifa haya yenye sura ya ushetani? Tafakari! VATICAN inaweza kwakujua au kutojua ikawa inatumiwa kupambana na uislamu kwakuwa ukristo is no more a threat to them.
Mwisho tukijadili suala hili la kwa taifa letu lenye ratio ya watu inayoelekeana ni lazima kujua na kufahamu wazi kwamba ili tujikwamue na umaskini ni lazima kuwahusisha watanzania wote bila kuwainua kundi moja na kuacha kundi lingine. Sorry kwakufupisha maelezo ila ni matumaini yangu umenipata.
 
ukweli upi?? we unaejiita mfuasi wa yesu ELIMU YA ANDIKO LAKO HUNA!!

Wapi ANDIKO LAKO LINAKWAMBIA WEWE MKIRISTO KUWA UTAPATA UZIMA WA MILELE!!??

Mbona nyie ni wepesi kufuata maneno ya wazungu kirahisi hivi??

Onyesha hapa kuwa WAKRISTO WATAPATA UZIMA WA MILELE, GUARANTEED!! wapi??

Nyie kuropoka tu ni mahodari sana.

Yesu sio MUNGU Wala hajawahi kusema yeye ni Mungu wala MWANA WA MUNGU"! Hio mmezua nyie na yule muongo PAULO.

Your IGNORANCE is too massive to comprehend!
 
Ni Vipi Umeweza kutenganisha ugaidi na uislamu? Ugaidi ni kati ya mafunfisho maovu yalliyoko kwenye quran aliyowapa mtume wa muhamadi
 
nawasilisha kwa data:
Rais (mwislamu), Aijipii mwema (mwislamu),Mayor Omari Guledi (mwislamu), Katibu wake Ahmed Mustafa (mwislamu) Mkuu wa Mkoa Chiku Galawa(mwislamu)
mwenyekiti wa kijiji (mwislamu) tukio limefanywa
kwenye vijiji vya waislamu akachoma misikiti akidai anapambana na ugaidi.
, sasa hapa sina koment zaidi.

Mkuu wa polisi ni Masawe mchaga chadema kafanya makusudi ili kutia doa serikali yeye huo mkuu wa polisi ndie alie amuru kuua na kuwafanyia jinai waislam kwa sababu kwanza yeye ni mpenzi wa chadema na pili ni ajent wa kanisa na marekani
Wakati bibi Chiku anasema kuna fujo kati ya raia wasiotaka kulipa kodi Masawe yeye ndie akitoa habari za kuna magaidi na akapeleka polisi wake kuteketeza vijiji na kutumia vyombo vya habari kusema uongo kuwa kuna gaidi
 
naeza pia kupinga kuwa hitler hajaua wayahudi kwa kiwango unachotaka tuamini.

Hebu jiulize tu,kwanini wakristo wamejumuisha agano la kale katika maandiko?

Agano Jipya ni Historia ya Maisha ya Bwana wetu Yesu Kristo. Agano la Kale ni Historia ya tangu Uumbaji. Ukiunganisha hivi ndiyo unapata Biblia. Kumbuka Yesu aliwambia wafuasi wake hivi: "Mimi sikuja kutengua Torati, nimekuja kuiongezea." Hivyo Historia ya Maisha ya Mungu na Wanadamu haitakuwa imekamilika endapo Agano la Kale litaachwa.

Chunguza vizuri kama unajua kusoma Koran, Waislamu wana Agano la Kale pamoja na Maisha ya Mtume wao. Agano la Kale ni letu sote Mpaka pale Yohana Mbatizaji (Mtume Muhammad) naye alipotengewa mamlaka ya kupeleka watu kwa Mungu kama zawadi ya kumfariji kwa kuonewa na kuchinjwa kwa utukutu wa malaya mwanamke aliyetuma mtoto akaombe kichwa chake.

Waislamu wana mpaka Legend ya Mtume wao kuwa na Farasi mwenye kichwa cha mwanamke aliyekuwa akimpanda kila alipokwenda. Hiyo ndiyo ilikuwa adhabu kwa Jike lile lililoomba kichwa cha Yohana. Kwa hiyo Agano la Kale haliwezi kuachwa katika misahafu yote.

Halafu Hitler alikwa ni kichocheo tu, kihoro halisi ilkuwa ni Vita. Unakumbuka kuwa wakati huo Waisraeli walihamishwa kwa mara ya pili kutoka nchi yao. Wamekuja kurudi miaka ya sitini. Soma Historia tu kwa sababu matukio ya Mungu hutokea duniani na kushuhudiwa kwa macho. Hitler ndiyo alikuja na Farasi mwekundu, alikuwa kila akiloloma dunia nzima inachukia na kuingia vitani. Alipomaliza kazi yake akayeyuka bila kujulikana ametorokea wapi, unaelewa mambo hayo?
 
Nani aliokudanganya kuwa vijiji vya Madina, Dibungo na Lwande vimejitenga na jamii? vijiji vipo huko miaka na miaka, leo useme vimejitenga na jamii? Mbona tunaona makanisa yako maporini hakuna hata kijiji lakini hatusikii kuwa limechomwa moto kwa kujitenga na jamii? Misikiti kwanini ichomwe moto?

Sasa kama Kanisa limejitenga na jamii lipo polini nani ataenda huko kufanya ibada?
 
ukweli upi?? we unaejiita mfuasi wa yesu ELIMU YA ANDIKO LAKO HUNA!!

Wapi ANDIKO LAKO LINAKWAMBIA WEWE MKIRISTO KUWA UTAPATA UZIMA WA MILELE!!??

Mbona nyie ni wepesi kufuata maneno ya wazungu kirahisi hivi??

Onyesha hapa kuwa WAKRISTO WATAPATA UZIMA WA MILELE, GUARANTEED!! wapi??

Nyie kuropoka tu ni mahodari sana.

Yesu sio MUNGU Wala hajawahi kusema yeye ni Mungu wala MWANA WA MUNGU"! Hio mmezua nyie na yule muongo PAULO.

Mbona hata waislamu wanaamini kuwa wakifa wanakwenda peponi? Wewe ni matatanishi sasa. Wakristo kuamini pepo baada ya kifo limekuwa kosa kumbe? Wewe una chuki binafsi, ungeacha kujadili mambo haya ingekuwa nafuu zaidi kwako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom