Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
Simu yangu ya kwanza kutumia ya smart nilinunuliwa zawadi kwenye Siku yangu ya kuzaliwa. Sasa nilikuwa sijui baadhi ya apps huzikuti mpaka u-download mfano:whatsapp,insta n.k nikamtext mleta zawadi nikamwambia mbona haina hata whatsap mi siitaki [emoji38][emoji85]...akanambia download Fanya hivi na hivi hivyo ushamba ukanitoka..... sasa sikutegemea kama ningeonekana mshamba mapema vile maana mleta zawadi mwenyewe alivyonielekeza ni kama hakutegemeaa
Embu tukumbishie ni kitu gani ulichowahi kufanya bila kujua kama hakifanywi hivyo na badae ukajuaa kinatakiwa kufanywa hivii!! TWAMBIE USHAMBA WAKO ULOWAHI KUFANYAA.
Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app