The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
wajanja tunasoma comment za washamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba direction mkuuHaya njoo
Hahah dahNilibandika jagi la umeme la plastic kwenye jjiko la umeme,, nikawasha.
Nilivoskia jagi la umeme nikajua linapikiwa kwenye jjiko la umeme, daa nilishangaa linayeyuka halafu nilikua kwa anko wangu, hakuwepo. Mke wake alinisema sana, niliona aibu, nilikua nimemaliza form four, dah
Sasa ulikua hauoni uzito, 😂😂Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Uzito nilikuwa nauhisi ila ntafanyaje mi wakati huo naamini ndo kinavovaliwaSasa ulikua hauoni uzito, 😂😂
Simu yangu ya kwanza kutumia ya smart nilinunuliwa zawadi kwenye Siku yangu ya kuzaliwa. Sasa nilikuwa sijui baadhi ya apps huzikuti mpaka u-download mfano:whatsapp,insta n.k nikamtext mleta zawadi nikamwambia mbona haina hata whatsap mi siitaki [emoji38][emoji85]...akanambia download Fanya hivi na hivi hivyo ushamba ukanitoka..... sasa sikutegemea kama ningeonekana mshamba mapema vile maana mleta zawadi mwenyewe alivyonielekeza ni kama hakutegemeaa
Embu tukumbishie ni kitu gani ulichowahi kufanya bila kujua kama hakifanywi hivyo na badae ukajuaa kinatakiwa kufanywa hivii!! TWAMBIE USHAMBA WAKO ULOWAHI KUFANYAA.
Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
Kweli wewe ni shindikana; ukorofi since day oneMimi siku ya kwanza kutumia tea bags nilichana nikamimina majani[emoji85][emoji85] mbaya zaidi ilikuwa mazingira ya shule nilichekwa hadi namaliza form four. Kilichonisaidia walikuwa wananiogopa hakuna mtu aliewahi kunicheka live walikuwa wanacheka pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ahsante kwa kunichekesha mweehMara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Kweli wewe ni shindikana; ukorofi since day one
[emoji1787][emoji23]First time napewa tunda nilikosea kuingiza niliingiza sehemu sio yenyewe daahh kweli ushamba mzigo [emoji124][emoji124]
Kweli, lakini hata siku ya kwanza nilipokula kongoro nilijijisi kama nalishwa nyama na wachawi maana niliona nyama yake haina ladha kabisa kama nakula uyoga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Ushamba mbaya sana
Huwezi muita mwanao
"mzigowapumbu masulupwete"
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3]View attachment 1351532
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
Mkimya wewe au jirani yako?[emoji16][emoji16][emoji16] hamna bwana ni vile nilikuwa mkimya sana
Sent using Jamii Forums mobile app