Kweli ushamba mzigo

Kweli ushamba mzigo

[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81] dah nimecheka mnoo
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
 
Nimeenda chuo mwaka wa kwanza kujisajili kukawa sijui kuna ishu gani inahitajika internet connection kuikamilisha, basi nikaenda moja stationary yenye huduma ya internet pale nje ya mabibo hostel. Basi kukawa kunahitajika kuandika email, basi nikaandika nikafika kwenyr kuweka alama '@' nashindwa. Naiona kabisa ila nikibonyeza inakuja '2'. Furukuta huku na kule lakini wapi. Ikabidi nimwite dada wa stationary kuwa hii a yenye mkia ulioenda nyuma haibonyezeki. Basi akaja akabonyeza shift+2 ikatokea @. Yule dada aliniangaliaaaaaa...... nilitamani nitoke nduki niache kila kitu kwa aibu niliuoipata.
 
Hahaha kwamba a yenye mkia ulioenda juu. Ulifunika aisee
 
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mzee hii nmecheka km nakuona

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmekubal we ndo general baba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
 
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Niko najaza CA hapa nimecheka mpaka watu wananishangaa.
 
Basi bwana na usukuma wangu napanda ndege kwa mara ya kwanza nakwenda San Francisco California masomoni. Tukanyanyua Dar na British Airways. Humo njiani nilifanya vituko vingi sana vya kishamba kwa sababu kila kitu kilikuwa kigeni.

Basi tukafika London asubuhi asubuhi hivi. Nilikuwa na masaa kama manne hivi ya kusubiri hapo kabla dege la kwenda California halijanyanyua. Mfadhili alikuwa amenipa pocket money ya kutosha basi Msukuma wa kujisopu sopu nikaamua kuzunguka madukani huko. Kigingi cha kwanza nikaambiwa nikabadilishe dola nilizokuwa nazo ziwe pounds. Nikafanya hivyo.

Baada ya kupata breakfast nikanunua pafyumu/cologne moja kali sana kwa paundi 78. Sasa tumekaribia kuondoka naona vibao vimeandikwa kila mahali hapo uwanjani "no explosive or flammable materials on board". Huku nikisoma lile box la pafyumu limeandikwa "highly flammable" nikawa najisemea hapa leo nimechemsha. Nikashindwa la kufanya mpaka boarding call inatolewa abiria tuanze kupanda ndege nikakimbia chooni na kuitupa ile cologne eti ni flammable nisije nikakamatwa wakati wa kupanda ndege; au nikipanda nayo huko juu inaweza kukamata moto ndege ikaanguka. Basi nikapoteza £78 kizembe sana. Mpaka leo huwa nikikumbuka paundi zile huwa zinaniuma aisee [emoji51][emoji51][emoji51]
 
Nakumbuka wakati nimeanza kutumia WhatsApp miaka minne kabla ya leo
Nilishindwa kueka profile picture (d.p) nilihangaika lakin waapi

Kila nikieka inakuja kua nimeweka status ,,na kufuta status siwezi Dah nliteseka sana kwa kweli

Nlikuja kufundishwa nkajua baada ya kuomba msaada
 
Back
Top Bottom