MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja niwaulize classmates wako
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mara ya kwanza kuingia bank,nilimpa mkono teller kwa nia ya kusalimiana kumbe yeye alikuwa anataka kasatasi niliyoishika...niliishia kuchekwa.
Hahaha kwamba a yenye mkia ulioenda juu. Ulifunika aiseeNimeenda chuo mwaka wa kwanza kujisajili kukawa sijui kuna ishu gani inahitajika internet connection kuikamilisha, basi nikaenda moja stationary yenye huduma ya internet pale nje ya mabibo hostel. Basi kukawa kunahitajika kuandika email, basi nikaandika nikafika kwenyr kuweka alama '@' nashindwa. Naiona kabisa ila nikibonyeza inakuja '2'. Furukuta huku na kule lakini wapi. Ikabidi nimwite dada wa stationary kuwa hii a yenye mkia ulioenda nyuma haibonyezeki. Basi akaja akabonyeza shift+2 ikatokea @. Yule dada aliniangaliaaaaaa...... nilitamani nitoke nduki niache kila kitu kwa aibu niliuoipata.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nmekubal we ndo general babaMara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Niko najaza CA hapa nimecheka mpaka watu wananishangaa.Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Mara ya kwanza kuingia bank,nilimpa mkono teller kwa nia ya kusalimiana kumbe yeye alikuwa anataka kasatasi niliyoishika...niliishia kuchekwa.