Kweli ushamba mzigo

Kweli ushamba mzigo

Nilibandika jagi la umeme la plastic kwenye jjiko la umeme,, nikawasha.
Nilivoskia jagi la umeme nikajua linapikiwa kwenye jjiko la umeme, daa nilishangaa linayeyuka halafu nilikua kwa anko wangu, hakuwepo. Mke wake alinisema sana, niliona aibu, nilikua nimemaliza form four, dah
Hahah dah
 
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
 
2017 bro kasafiri ikabidi nikaishi na familia yake coz hayo maeneo ni wageni. Mara paap gas ikakata sasa kumbe kudisconect mtungi na jiko ni kupeleka kile cha kuwashia kwenye deattach then unatoa mtungi. Mzee baba Si nikaenda kuulizia kama wanabisisi ili nidisconect daaah
Basi baada ya shemeji kunielekeza nikabaki aibu ng'eeeeeee
 
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Sasa ulikua hauoni uzito, 😂😂
 
Hiyo avatar kuna mtu naifananisha!
Simu yangu ya kwanza kutumia ya smart nilinunuliwa zawadi kwenye Siku yangu ya kuzaliwa. Sasa nilikuwa sijui baadhi ya apps huzikuti mpaka u-download mfano:whatsapp,insta n.k nikamtext mleta zawadi nikamwambia mbona haina hata whatsap mi siitaki [emoji38][emoji85]...akanambia download Fanya hivi na hivi hivyo ushamba ukanitoka..... sasa sikutegemea kama ningeonekana mshamba mapema vile maana mleta zawadi mwenyewe alivyonielekeza ni kama hakutegemeaa

Embu tukumbishie ni kitu gani ulichowahi kufanya bila kujua kama hakifanywi hivyo na badae ukajuaa kinatakiwa kufanywa hivii!! TWAMBIE USHAMBA WAKO ULOWAHI KUFANYAA.

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siku ya kwanza kutumia tea bags nilichana nikamimina majani[emoji85][emoji85] mbaya zaidi ilikuwa mazingira ya shule nilichekwa hadi namaliza form four. Kilichonisaidia walikuwa wananiogopa hakuna mtu aliewahi kunicheka live walikuwa wanacheka pembeni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli wewe ni shindikana; ukorofi since day one
 
Mara ya kwanza kuvaa kizbao nilivaa kile cha sweta asa kwa kilivokaa hakina mikono mi nikakichukulia kama kaushi/vest so nikawa nikipata mtoko wa heshima maeneo yenye baridi nakivaa ndani ya shati. Nilikuja kuaibika siku nimetinga chuo, nimesajiliwa kama kawa nikaelekezwa hostel. Kufika mle nikawakuta wana nikawapa hi ile navua ili nikaoge wanashangaa kidume navua shati ndani kuna kizbao aisee walicheka hadi machozi. Kuna mtanga mmoja eti hadi akawa anaogopa akahisi wameletewa mganga maana hajawahi kuona. Kwa kweli nilijiona pimbi na niliichukia siku yangu ya kwanza chuo
Hahaha ahsante kwa kunichekesha mweeh
 
Mara ya kwanza kununua tracksuit yenye ka kizibao kwa ndani,Gari ya ofisini ilikuwa inakuja kunichukua saa 11 alfajiri muda ambao kunakuwa na kiubaridi,daah nikajikoki bwana nikavaa tracksuits yangu na raba mweeeh kufika alasiri muda wa kurudi home jua kali natokaje na ile truck na jua lote lile,sitasahau wenzangu walinicheki hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila huu ni uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli, lakini hata siku ya kwanza nilipokula kongoro nilijijisi kama nalishwa nyama na wachawi maana niliona nyama yake haina ladha kabisa kama nakula uyoga [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Ushamba mbaya sana
Huwezi muita mwanao

"mzigowapumbu masulupwete"

Sent using Jamii Forums mobile app
images%20(7).jpeg

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

ᴸᵉᵍᵉⁿᵈᵃʳʸ [emoji377]
 
Back
Top Bottom