Kweli ushamba mzigo

Kweli ushamba mzigo

Mehek

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2017
Posts
7,473
Reaction score
10,426
Simu yangu ya kwanza kutumia ya smart nilinunuliwa zawadi kwenye Siku yangu ya kuzaliwa. Sasa nilikuwa sijui baadhi ya apps huzikuti mpaka u-download mfano:whatsapp,insta n.k nikamtext mleta zawadi nikamwambia mbona haina hata whatsap mi siitaki [emoji38][emoji85]...akanambia download Fanya hivi na hivi hivyo ushamba ukanitoka..... sasa sikutegemea kama ningeonekana mshamba mapema vile maana mleta zawadi mwenyewe alivyonielekeza ni kama hakutegemeaa

Embu tukumbishie ni kitu gani ulichowahi kufanya bila kujua kama hakifanywi hivyo na badae ukajuaa kinatakiwa kufanywa hivii!! TWAMBIE USHAMBA WAKO ULOWAHI KUFANYAA.

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
 
Sema bhana na vyaukubwani au unaona aibu??[emoji12]
Daaa ukubwani hapana aiseee..

Ila utotoni.. nililia mama aninunulie dawa ya meno ya Aha. Hadi akanunua.
Nilipofika home mchana nikafikia kuitumia nione maajabu yake.
 
Ushamba mzigo, miaka ya 2000 huko nilialikwa sherehe flani hivi, so kwenye sahani za misosi tukawekewa na tishu. Mi nilijua ni sehu ya msosi wacha nichanganye kuzila na msosi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
I'm jokin!

cₐᵣₑₑₘ ᵀʰᵉ ᴸᵉᵍᵉⁿᴰ

Kweli umepulizaa
 
Back
Top Bottom