Kweli ushamba mzigo

Hiii ni mm kabisa sema ilinitokea kwa uncle wangu. Asbhi hata sielew nimekichana huyo ndo aunty akaja kunipa kalecture pale...ushamba huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji38][emoji38][emoji38]umenikumbusha mbalii
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nikiwa O-level nilikuwa na kademu kangu sema kajanja kajanja..siku ya tarehe 24 december akanipa zawadi imefungwa kwenye box..sasa mimi kwa papara nikaenda kuifungua siku hiyohiyo na nikampa feedback kuwa zawadi nzuri nimeipenda,alicheka sana akaniambia ilibidi niifungue tarehe 26 yaani boxing day..nilijiona kilaza kinoma
 
kipindi hicho nilikuw nimeshazoea kunywa soft drinks... first time kupiga tungi nilikuwa kwenye party flani na wana siku hiyo nilikutana na mzigo wa trump(konyagi kubwa), sasa ile naingiza mdomoni tuh nilikutana na ukakasi wa hatari yaani almanusula nitemee kwenye meza 😂😂😂 sema nikajitutumua kumeza ila yenyew ikawa inataka kurudi nje, ila ile siku siisahau asee ila kama kitu hukijui bora uulize tuh
 
[emoji1][emoji1][emoji1] kweli ushamba mzigo,,, nimecheka Kama fala hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…