Hivi kwanini Dar huwa mnazunguka tu kwenye hayo majengo matatu, yaani zaidi ya hapo Dar umeimaliza, mnafaa mjenge mji usambae maghorofa kote, sio eneo moja tu unapiga piga mapicha kwenye pembe/angle tofauti. Yaani hiyo Dar inafaa ishindane na eneo moja la Nairobi, kama vile Westlands ndiko kuna majengo machache marefu ambayo unaweza kucheza cheza na mapicha kama mnavyofanya Dar.
Majengo yanafaa yazagae hivi, hebu cheki Nairobi mjini kati, na hapa bado sijahusisha KICC na kwengine kati, ni vigumu kupiga picha moja ya Nairobi CBD kama mnavyofanya Dar.