Kweli Wakenya wana pesa, wazidi kutalii Tanzania

Kweli Wakenya wana pesa, wazidi kutalii Tanzania

Nenda youtube utazikuta
Mombasa inatambaa wakat Dar inapaa
1.Dar SGR To be electrified
2.Dar port is U/C
3.Major roads constructions more than 300km
4.Flyovers and interchanges U/C
5.Highway U/C
6.BRT sec phase U/C
7.Another Cable stayed bridge is U/C
8.Power plant expansion KINYEREZI II&III
9.Water projects about 95% of dar residents are now using taping water
10.Major constructions of health facilities from low level to tertiary level

To mention the few
 
Ipo siku ulikuwa jamaa poa, ila siku hizi umejiunga na Praise Team.
 
Kumbe ndio mnafanya sai...heheeee
Mombasa inatambaa wakat Dar inapaa
1.Dar SGR To be electrified
2.Dar port is U/C
3.Major roads constructions more than 300km
4.Flyovers and interchanges U/C
5.Highway U/C
6.BRT sec phase U/C
7.Another Cable stayed bridge is U/C
8.Power plant expansion KINYEREZI II&III
9.Water projects about 95% of dar residents are now using taping water
10.Major constructions of health facilities from low level to tertiary level

To mention the few
 
Wa kwanza huyo...
Wakenya msije sema atukuwajulisheni kuhusu maendeleo ya tz kufikia mwakani pale mtakapoona tuna zindua miradi yetu iliyo kamilika kila kona ya tz with a smart move ndipo TV zenu zitakuwa zinalialia kama tulivyo zindua brt
 
Hadi nimecheka hapa kwa sauti, yaani hizo ghorofa tatu ndio umezizunguka kama nilivyosema, huwa mnazipiga picha kwenye angle tofauti tofauti, huko kwengine ni kiwango cha apartments ambazo kwetu hapa zipo nje ya mjini.
Unajitoa ufahamu?
Tpa
Pspf
Mnf
Jubilee
Mafuta house
Viva tower
Uhuru height

Hizo chache hazizidi tatu?
 
Kweli kabisa
Wakenya msije sema atukuwajulisheni kuhusu maendeleo ya tz kufikia mwakani pale mtakapoona tuna zindua miradi yetu iliyo kamilika kila kona ya tz with a smart move ndipo TV zenu zitakuwa zinalialia kama tulivyo zindua brt
 
Mombasa inatambaa wakat Dar inapaa
1.Dar SGR To be electrified
2.Dar port is U/C
3.Major roads constructions more than 300km
4.Flyovers and interchanges U/C
5.Highway U/C
6.BRT sec phase U/C
7.Another Cable stayed bridge is U/C
8.Power plant expansion KINYEREZI II&III
9.Water projects about 95% of dar residents are now using taping water
10.Major constructions of health facilities from low level to tertiary level

To mention the few
Hizi zote pia Mombasa ziko/zinajengwa kwaivo punguza ushabiki
 
Hayo majengo hayakujengwa na mkoloni. Yalijengwa 1970s na 80s. KICC, Times Towers, Teleposter towers na mengine yalijengwa 1970s na 1980s. Halafu najua hujafika westlands mwaka huu. Kuja ujionee mambo.
Acha uongo wewe....
Hivi unajua Times Tower (Hazina house) imejengwa lini?

Hebu Tafuta picha ya Nairobi CBD mwaka 1998 kirudi nyuma kama itaona hicho kighorofa.

Wakati Bin laden anafanya yake (Bombs) hapo jirani Times Tower ilikuwa na umri gani. Evidence zipo pambana kwanza na hali yako
 
juzi kati nilikuwa natzama kipindi cha JK LIVE pale citizen Tv koinange alikuwa anamhoji balozi mmoja jina lake limenitoka kidogo..lkn yule balozi alisema ktk nchi za afrika mashariki wakenya wanafanya sana biashara na watz na hata route za watz na waKe ni nyingi kuliko miaka yote... watz wanaingia sanaa kenya pia..so mi nafikiri hili swala limechochewa sansana na issue za biashara
 
Kenya inategemea Tanzania kwa % kubwa katika biashara, pamoja na kwamba Kenya inae Uganda mdau mkubwa katika bandari yake ya Mombasa lakini bado Kenya inategemea sana Tanzania kibiashara, nimeshangaa kuona juzi msururu wa oil tankers bandari ya Tanga zikibeba mafuta kupeleka Kenya

Haya mambo awali hayakuwepo kabisa tulizoea kuona malori ya bidhaa za vyakula na malighafi za viwandani lakini saivi tankers za mafuta na gas ya kupikia yanatoka Tanzania kuelekea Kenya kwa wingi.
 
Back
Top Bottom