Kweli Wakenya wana pesa, wazidi kutalii Tanzania

Wewe hujaaangalia video unajump into conclusion unazeeka vibaya sana
 
Hadi nimecheka hapa kwa sauti, yaani hizo ghorofa tatu ndio umezizunguka kama nilivyosema, huwa mnazipiga picha kwenye angle tofauti tofauti, huko kwengine ni kiwango cha apartments ambazo kwetu hapa zipo nje ya mjini.

Unajua mwanamke ni Lazima kwanza Awe mzuri ndio make up inamkubali, sasa Demu akiwa na sura ya Kikenya hata apake poda kopo zima ndio kwanza anafanana na babu yake,
the same thing, Hapo kuna Sky-creepers za Maana ndio maana kila angle inatoka mchicha, sasa Nairobi kwanza CBD imejaa majengo ya kizee na ya mkoloni, haina Mvuto halafu ukigeuza tu Camera unakutana na Slum kubwa Duniani yenye wakazi milioni mbili unusu (60% ya Population ya Nairobi) na Ukigeuka huku tena ni slums nyingine za Dondora, Huruma, Mathare nk.
Dar haina Mpinzani Hapa East Africa
 
Wewe unaijua westlands kwa mdomo tu kule vijiweni.Lakini kiukweli Westland ina ukubwa zaidi ya Posta,Upanga,Kariokoo na Ilala combined
 
Wewe unaijua westlands kwa mdomo tu kule vijiweni.Lakini kiukweli Westland ina ukubwa zaidi ya Posta,Upanga,Kariokoo na Ilala combined View attachment 1255355View attachment 1255356

Nimefikia Ibis Hotel twice in my trips to Nairobi, Nimekunywa bia pale kwenye bar (rooftop) na kupiga picha the whole of Westlands,
Tena Nikatembea kwa Mguu toka Hotelini mpaka shopping mall moja iko oposite na Oracle, Harufu tupu kule, Wakenya ni Wachafu sana, Ni aibu mno mji ulio juu ya usawa wa bahari, wenye baridi kali kuwa na harufu nzito na mafuriko..I can assure you The whole Westlands is half of Kariakoo.
 
Wewe hadi picha zenyewe zinakupa tabuu kuangalia
 
Hayo majengo hayakujengwa na mkoloni. Yalijengwa 1970s na 80s. KICC, Times Towers, Teleposter towers na mengine yalijengwa 1970s na 1980s. Halafu najua hujafika westlands mwaka huu. Kuja ujionee mambo.
 
May be ulifika Westlands kwa ndoto
 
Siku ingine isifananishe Westlands na hicho kijiji chenu
 
Kama sio watalii ni nini? Kwani wakija huko hawatumii hela zao au mnawapa makau na vyakula?. You are so amusing.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hayo majengo hayakujengwa na mkoloni. Yalijengwa 1970s na 80s. KICC, Times Towers, Teleposter towers na mengine yalijengwa 1970s na 1980s. Halafu najua hujafika westlands mwaka huu. Kuja ujionee mambo.
Hivi haya majina ya tony bado wanapewa Watoto wa kiume
Kule marekani wanapewa Watoto wa kike na wakiume wenye maumbo ya kike **** mwanamusiki alikuwa anaitwa tony bra.... son sijui kama nimepatia jina lake ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…