Kweli Wakenya wana pesa, wazidi kutalii Tanzania

Video mbalimbali za vloggers wa Kenya wakiwa Tanzania

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app

Wana disposable income ya kutumia kwenda vacation!

Ndio uzuri wa nchi inayoenda middle income status!

Njoo kwa bwana mawe sasa,bure kabisa halafu linasena “we are on ze raiti traki”,mbuzi mee kabisa!

Watanzania tuna hasara ya karne!
 
Sio soon mkuu, yaani Tanga ni nzuri na kubwa kuliko Mombasa, Tanga ipo Well planned kuliko mji wowote wa Kenya
Nikweli ukizingstia hiyo video ni ya miaka mitano nyuma
 
Wakenya wazidi kuja tz
 
Cheki wadada wenzako wakikenya wanazidi kuja kushangaa dar na kuvuta hewa safi ya bahari , siyo wewe unaendelea kuvuta hewa chafu ya mavii Kwa slums huko kenya
Kwhyo hku watu hawatalii katika miji yetu..
 
Wadada wenzako wa kikenya wanakuja dar kula raha ya dunia siyo wewe unashinda Kenya kunuka mavii ya slums
 
Cheki wadada wenzako wakikenya wanazidi kuja kushangaa dar na kuvuta hewa safi ya bahari , siyo wewe unaendelea kuvuta hewa chafu ya mavii Kwa slums huko kenya
Duh!!si kenya inakuumiza sana..pole sana jombaaaa
 
Wakenya wa JF wa post toka turkana ,korogocho,kibera,mathare

Wakenya wa JF hamna kitu kabisa

Real Kenyan wakija bongo hawataki kurudi kwao Kenya
True kuna huyu MK254 alitelekeza mke na Watoto kenya Kwa miaka 10 kajificha dar huku kajitangazia kuwa amefariki huko kwao Kenya ,hadi magu alipo chukua nchi ikuwa mbinde kumuondoa Tanzania
 
The new york of east Africa dar es salaam
 
True kuna huyu MK254 alitelekeza mke na Watoto kenya Kwa miaka 10 kajificha dar huku kajitangazia kuwa amefariki huko kwao Kenya ,hadi magu alipo chukua nchi ikuwa mbinde kumuondoa Tanzania
Mi binafsi namfahamy mkenya mmoja niliwahi kaa nae mtaa mmoja dar anaitwa Sam enzi hizo alikuwa anafanya kazi voda na gari alipewa Nissan hardbody ya voda
 
Cheki wadada wenzako wakikenya wanazidi kuja kushangaa dar na kuvuta hewa safi ya bahari , siyo wewe unaendelea kuvuta hewa chafu ya mavii Kwa slums huko kenya
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona unasound kama vile tukiwa watoto tulikua tunashangilia wazungu wakija kutalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…